CCM: Kamati Kuu Kulikoni Tena?

Shalom,

Mbona wawekezaji hawaji? Tumeambiwa huji tena kwasababu mama kakunyima nauli. Eti ukipewa pesa unaoa Kyela mpaka ziishe.

Mtoto wa watu uliyemwacha na mimba huku kajifungua, njoo utoe pesa za matunzo. Huyo msichana alikuwa na mchumba wake, ukamdanganya kwamba utampeleka USA, wewe mkulu kwa usanii umenishinda.

Niko na kakako Malafyale hapa. Ni mzee wa heshima, sio kama wewe msanii na kibaka wa wake za watu. Wewe inabidi uwe unashinda na Kinanasi tu maana mambo yenu yanafanana.

Haya maneno ya kwako au umetumwa na mwakalinga? huyu mtoto wa pateli sijui anataka mimi niishi vipi. nikifadhiliwa na mzungu kuna tatizo gani. Mboni mimi sikusemi kwa kuoa mke chata si maamuzi yako na mitoto mnayotoa
 
Hawana jipya hawa CCM na hivyo sasa hivi ni kujihami tu na ubunge mwakani na kutaka kuonewa huruma tu na hakuna kitu chcochote kile
 
Kamba zingine bwana! Huyo mama Kilango mwenyewe kisha wakimbia wenzake kwasababu amewaona hawana mpango. Kubwabwaja kwingi matendo sifuri.

Wewe mzungushe tu kwa wafadhili wamsaidie arudi tena kule Same. Angalau yeye anahangaika kusaidia jimbo lake kuliko hao wabunge wa taifa.

Faidi pesa zetu kupitia hao waheshimiwa.
Engineer unatisha, yaani umeshajua field marshal ni nani na yuko na nani?How do you know?
 
Mkuu FMES tafadhali tupatie mpya za hicho kikao cha kamati kuu.
 
- Wakuu wote salaam sana, so far tetesi ni kwamba Rais amekiita kikao hicho ili aweke waazi msimamo wake alioutoa jana, na dataz zingine ni kwamba uchaguzi huu unaokuja unakuja na kishindo kizito sana,

- Kuna tetesi za Karamagi kupigwa chini kwenye ubunge, Chenge naye kupigwa chini kwenye ubunge, na kuna tetesi za hao kujitoa wenyewe kabla ya uchaguzi, infact the dataz ni kwamba hata Lowassa ana wasi wasi sana na jimbo lake, na sio siri tena kwamba Rostam huko Igunga is "dead" na soon atatangaza kujitoa jimboni rasmi, maana in private ameshasalim amri.

Tupo pamoja wakuu na niko kwenye good spirit than never before, maana hapa Iowa mambo yote yako sawa na masilahi ya taifa kwa wananchi!

Respect.

Field Marshall Es!

(GT, vipi ndugu yangu text, namba yako tatizo kidogo!)
 
Engineer unatisha, yaani umeshajua field marshal ni nani na yuko na nani?How do you know?

- Kelele za mlango, could be twittering too! Karibu ndugu yangu tusaidie wananchi majimboni huko! yaani tuhamishie hoja nzito kwenye matendo kama ninavyofanya huku niliko mkuu.

Respect.

FMEs!
 
- Wakuu wote salaam sana, so far tetesi ni kwamba Rais amekiita kikao hicho ili aweke waazi msimamo wake alioutoa jana, na dataz zingine ni kwamba uchaguzi huu unaokuja unakuja na kishindo kizito sana,

- Kuna tetesi za Karamagi kupigwa chini kwenye ubunge, Chenge naye kupigwa chini kwenye ubunge, na kuna tetesi za hao kujitoa wenyewe kabla ya uchaguzi, infact the dataz ni kwamba hata Lowassa ana wasi wasi sana na jimbo lake, na sio siri tena kwamba Rostam huko Igunga is "dead" na soon atatangaza kujitoa jimboni rasmi, maana in private ameshasalim amri.

Tupo pamoja wakuu na niko kwenye good spirit than never before, maana hapa Iowa mambo yote yako sawa na masilahi ya taifa kwa wananchi!

Respect.

Field Marshall Es!

(GT, vipi ndugu yangu text, namba yako tatizo kidogo!)
ooh the man is back!ulipotea mkuu.
pole na mihangaiko bwana.
kwahiyo wale makuwadi woote NJE NDANI SIO?
 
- Wakuu wote salaam sana, so far tetesi ni kwamba Rais amekiita kikao hicho ili aweke waazi msimamo wake alioutoa jana, na dataz zingine ni kwamba uchaguzi huu unaokuja unakuja na kishindo kizito sana,
MKUU,
unamaanisha msimamo kuhusu ilani ya uchaguzi?
ya chama?
 
Mkulu FMES,nafurahi kukuona ukiwa na nguvu mpya.Karibu jamvini baada ya kimya cha siku kadhaa.

Tunategemea habari nyeti za taifa kila tunapokuona ukiibuka.Mungu azidi kukujalia afya ili mapambano yazidi kupamba moto.Tanzania ina wenyewe bwana na wenyewe ndiyo sisi hakuna cha Makamba wala EL hii ni nchi yetu sote kwahiyo tufanye kitu kwaajili ya ujenzi na ustawi wa Taifa letu.

Mkuu FMES kudos kwa kazi unayoifanya.
 
- Mkuu wangu tupo pamoja sana, ni masilahi ya taifa tu hakuna kingine ingawa kikao cha kesho kitakuwa na ulinzi wa ajabu sana maana mafisadi hawataki kabisa habari kuvuja kabla hawajazi-control lakini tutabanana nao tu, na tutajitahidi sana kuzitafuta dataz za yatakayojiri.

- Ahadi yetu ni ile ile kuhabarishana na kuelimishana na siku zote kujaribu kuwa one step ahead ya habari muhimu za taifa letu, wote tunashirikiana tukijali masilahi ya taifa.

- Pia nimpokea dataz zingine sasa hivi kwamba mafisadi nao wamepanga kukutana kwa siri huko Mbeya, nyumbani kwa mstaafu wa idara baada tu ya kikao hiki cha CC kesho, na wao tutawamulika tu mpaka kieleweke. Kumbe siku hzi vikao vyao vingi hufanyika huko kwa mstaafu wa idara, sasa nyie watu wa Mbeya makelele ya Kyela tu mbona hizi dataz hamzitafuti?

Respect.

FMEs!
 
- Uptodates so far ni kwamba kitakuwa ni kikao cha siku moja tu na kitafanyika Ikulu na hiki ni kikao maalum cha ridhaa ya Mwenyekiti wa CCM,

- Tutajitahidi kadri ya uwezo wetu kuleta yaliyojiri huko ndani na tukishindwa tutasema pia.

Respect.

FMEs!
 
...Mkono wa Mungu utawaelemea tu, haki ya mnyonge haipotei.

You deserve to be called the servant of the Lord. You have spoken what I have anxiously been waiting to see for days now. I really don't know why many people neglect the power of GOD! I sturdly support you Shishye. It may not be today, or even tomorrow, but the grief moments and tears of the destitutes will surely not allow CCM rule the country incessantly.
 
- Wakuu wote salaam sana, so far tetesi ni kwamba Rais amekiita kikao hicho ili aweke waazi msimamo wake alioutoa jana, na dataz zingine ni kwamba uchaguzi huu unaokuja unakuja na kishindo kizito sana,

- Kuna tetesi za Karamagi kupigwa chini kwenye ubunge, Chenge naye kupigwa chini kwenye ubunge, na kuna tetesi za hao kujitoa wenyewe kabla ya uchaguzi, infact the dataz ni kwamba hata Lowassa ana wasi wasi sana na jimbo lake, na sio siri tena kwamba Rostam huko Igunga is "dead" na soon atatangaza kujitoa jimboni rasmi, maana in private ameshasalim amri.

Tupo pamoja wakuu na niko kwenye good spirit than never before, maana hapa Iowa mambo yote yako sawa na masilahi ya taifa kwa wananchi!

Respect.

Field Marshall Es!

(GT, vipi ndugu yangu text, namba yako tatizo kidogo!)

Marshal ES,

Siku hizi umegeuka Hussein Yahaya kujifanya unatabiri yale ambayo ni obvious?

Hayo uliyoyaandika hapo juu nayo ni breaking news!

Vipi mmeking mabakuri mangapi huko kwa ajili ya huyo mama yako?

Akifanya JK eti mkinga mabakuri lakini akifanya mzee au mama, unamwaga masifa yasiyo na maana.

Ila mimi namkubali mama Kilango, angalau anajua kukinga bakuri na sio kubwabwaja tu majukwaani, huku wananch wanaumia.
 
Eng,

Kama huna la kusema si bora ukae kimya tu!!! Hayo mabakuli ya mama yapi?? Tangu lini mama amekwenda kukinga bakuli huko ughaibuni?? Wote tunajua nchi yate sasa ni ya kimatonya na matonya mkuu ni JK mwenyewe na juzi amekiri hadharani kuwa safari zake za nje ni za umatonya. Sasa unapoanza kusingizia watu kwa chuki zako binafsi inabidi tukushangae unless utupe ushahidi lini mama kakinga bakuli!!!
 
Naona NEC-CCM waliomtishia mtu mzima nyau imeshindikana, wanaendelea kupambana na mafisadi wenzao ndani ya CCM sasa kwa vile wanaojiita wasafi ndani ya samaki walioonza wamekataa kukaa kimya kama walivyokubaliana wameona waitane tena kuangalia ni vipi watawaziba pumzi kabisa hao kina Six na kundi lake.

Kwani ni ajabu na kweli kwamba Mkuu wa kaya alikubali kuwa mafisadi papa ni washikaji wake na hawakamatiki kwani wanaakili sana kuliko mbinu zote za usalama wa taifa unaoongozwa na mshikaji wake mwingine Othman na mzee wa takukuru fisadi Hosea. Kwa mantiki hii ni lazima fisadi papa aonekane na akili sana kwani anachunguzwa na fisadi nyangumi .Na majibu anapewa baba ya fisadi-JK.
 
Sidanganyiki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

HAKUNA MAKAMANDA WA UFISADI NDANI YA CCM.

You are either "with them" or "against them". NUKTA.....

Huwezi kukata tawi la mti ukiwa umelikalia...
 
Ziara za akina Mwakyembe na wapinga ufisadi zimeshaanza kuwachanganya so si kitu cha ajabu kusikia wanaitana haraka haraka na ghafla, mwanzo tulisikia wamewanyamazisha wapinga ufisadi, acording tu watu walioangalia kipindi cha juzi cha mwaswali kwa raisi wanasema kuwa mkuu wa nchi amesema kuwa hawakunyamazishwa hao wapinga ufisadi sasa hapo kuna vitu vwili tofauti lazima wachanganyikiwe maana kwa kauli ya Raisi ni kama amewapa madaraka zaidi ya akina Mwakyembe na akina Olesendeka kuendelea kupinga kwa nguvu zote hawa mafisadi. Ngoja tuone kama hujasikia vichekesho vingine
 
Back
Top Bottom