CCM: Kamati Kuu Kulikoni Tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM: Kamati Kuu Kulikoni Tena?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Field Marshall ES, Sep 8, 2009.

 1. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0
  Wakuu wote JF heshima mbele sana,

  - According to the dataz nilizozipata sasa hivi ni kwamba Kamati Kuu ya CCM itakutana kwa kikao cha dharura kuanzia tarehe 11, September 2009. Ni hivi majuzi tu kamati hiyo na NEC yake walikutana na kuleta kizaa zaa ambacho mpaka leo bado wananchi hatujamaliza kutafakari yaliyojiri, baadaye yakaja ya Chadema na sasa CCM kukutana tena, kuna nini hasa? Na je kuna uhusiano wowote wa hivi vikao?

  - Anyways, sasa naomba kuwaomba wakulu wangu kumradhi, maana niko safarini na mpiganaji mmoja kati ya wapiganaji 11, hata hizi dataz nimezinasa kwa bahati na haraka sana, nimekwua out of access yoyote toka majuzi ni leo tu kwa bahati hapa nimeomba mtandao wa msamaria mwema, hata hivyo baada ya kumaliza hii post sitakuwa na access tena ya mtandao wala dataz mpaka nitakaporudi mjini tena, na itachukua muda sana maana huku kuna shughuli nzito sana za masilahi ya taifa.

  Salaam kwa wote!

  Respect and Out!

  Field Marshall Es! ni Wazee wa Sauti ya Umeme!
   
 2. O

  Ogah JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kila la kheri Mkuu......wee ukipata zimwage hapa jamvini
   
 3. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Salute Mkuu, hiyo nyekundu tunatakiwa tuifanye watanzania wote. Tusiishie kwenye key boards tu. Maslahi ya Tanzania mbele. Be blessed and all the best mkuu.
   
 4. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #4
  Sep 8, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  Wapiganaji wa nini? wa viti vya ubunge tena 2010? acha kutufanya watoto! wadanganye hao hao! CCM ninyi nyote mafisadi, jitetee utakavyo!

  wakati mwingine napata kichefuchefu kusikia FMES yuko na wapiganaji!!!! sijui wa nini, hakuna fisadi liyeenda jela, hakuna liyerudisha mali,hakuna nothing! mnabaki wapiganaji rudi safarini nitakuuliza maswali mazito, nyie ni watu wa kuogopwa kama ukoma! mnatumwa na CCM kubaka mawazo ya baadhi watu humu na kufanya watu wawaze na kuitumaini CCM!
   
 5. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #5
  Sep 8, 2009
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  asante kwa taarifa mkuu, leo niko huku mtera tunapanga mikakati ya kugombea Ubunge kwenye hili jimbo kupitia CCM... naamini hicho kikao kitakua kinafanyikia Kule Ikulu Dar es salaam maana huku kuko shwari hakuna heka heka
   
 6. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  [QUOTE=Waberoya;576586]Wapiganaji wa nini? wa viti vya ubunge tena 2010? acha kutufanya watoto! wadanganye hao hao! CCM ninyi nyote mafisadi, jitetee utakavyo!

  wakati mwingine napata kichefuchefu kusikia FMES yuko na wapiganaji!!!! sijui wa nini, hakuna fisadi liyeenda jela, hakuna liyerudisha mali,hakuna nothing! mnabaki wapiganaji rudi safarini nitakuuliza maswali mazito, nyie ni watu wa kuogopwa kama ukoma! mnatumwa na CCM kubaka mawazo ya baadhi watu humu na kufanya watu wawaze na kuitumaini CCM![/QUOTE]

  waberoya unaelekea kuwa mtu wa hatari sana huko unapoelekea ni kwenye upotofu mkubwa kazi yako ni kupinga tu kila kitu bila hoja be optimist kuna watu wanajaribu kutetea watanzania na wamejitoa sana acha kuwakatisha tamaa ushindi hauji kwa siku moja,
   
 7. E

  Engineer JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 265
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamba zingine bwana! Huyo mama Kilango mwenyewe kisha wakimbia wenzake kwasababu amewaona hawana mpango. Kubwabwaja kwingi matendo sifuri.

  Wewe mzungushe tu kwa wafadhili wamsaidie arudi tena kule Same. Angalau yeye anahangaika kusaidia jimbo lake kuliko hao wabunge wa taifa.

  Faidi pesa zetu kupitia hao waheshimiwa.
   
 8. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Mkuu Waberoya alikchokifanya ni kutoa mawazo yake either being a pessimist or an optimist.
  Nothing much to comment kuhusu kikao cha CCM coz hawanaga lolote jipya linalohuzu ujenzi wa utaifa ya kwao ni ya kwao tuuuuuuuu!
  Hawanachua roho za watu sana!
   
 9. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2009
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Mkuu FMES,

  Nahisi wana mpango wa makamanda.

  Neno kamanda limekuwa linatumiwa na CHADEMA na chama kilionya katika vikao vilivyopita kuhusiana na tabia ya watu kuendelea kuigawa CCM kwa kisingizio cha ukamanda wa ufisadi.

  Muda umefika kulea watu ambao hawan heshima na wanokichafua chama.Wana mpango wa kupindua chama na inabidi wachshughulikiwe na nakuhakikishia hao makamanda wana khali mbaya na majimbo yao ndiyo maana wameamua kujiingiza katika vita ya wivu wa kike
   
 10. Shishye

  Shishye JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mimi sio mwanachama wa chama chochote lakini najua for sure kwamba CCM inatapatapa, inahaha, haina mwelekeo, you name it. maana wanachofanyia wananchi sicho wanachotakiwa kuwa wanafanya. Mkono wa Mungu utawaelemea tu, haki ya mnyonge haipotei.

  Nahisi mkakati wa Chadema wa kufanya mambo kisasa uliotangazwa juzi kwenye mkutano wao mkuu umewatoa njozini, tutasikia mengi.
   
 11. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2009
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  huenda ikawa ndo kumongonyoka kwa CCM, makamanda watajiunga upinzani na watapata support kubwa.
   
 12. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2009
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,722
  Likes Received: 1,212
  Trophy Points: 280
  Ni kikao cha dharula au kipo kwenye kalenda yao?

  Nahisi kuna kitu kikubwa kinakuja katika siasa za nji hii. Tuombe tu mwisho uwe mwema, maana tumeshasikia wana CCM wameuana.
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  nadhani hapo neki ''PANAFUKUTA''
   
 14. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #14
  Sep 8, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,582
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280


  kaka nawe umepotoka kwa kunipinga mimi? vitu vingapi unavyoweza kuwathibitishia wana JF kuwa napinga tu?

  nimesema hakuna aliyeenda jela na hakuna aliyerudisha mali, unataka nitoe hoja gani tena, kama sio kutukana? Mkuu, hujui humu ni kila mtu anatoa mawazo yake kusema mimi ni mtu wa hatari sana , unanitisha mbona mawazo yangu humu yanaendana na wengi tu waliochangia thread hii? kusema kuwa mimi ni mtu wa hatari ndiyo umetoa hoja, unaniogopa,unanitisha au huna la kazi kuwa dragged tu?

  au ni mmoja wa makamanda wa mafisadi kwa miaka yoote hii 40!

  sina la kusema mkuu, you need to rethink before posting, nimetoa hoja kama unaona sina hoja kaa pembeni niache na akili yangu ndoogo, japo wewe mwenye akili kubwa sijaona hoja nuliyotoa kwenye thread hii!

  I am happy to hear mimi ni mtu wa hatari na nimepotoka kwa kusema CCM wote mafisadi! LOL!!
   
 15. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  umejueje kuwa kamati kuu ccm wanakikao? Maslahi gani ya taifa? Sisi tumezoea kudanganywa lakini tunaomba Msitudanganye sana maana mtatuua...........
   
 16. K

  K4jolly JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gembe,

  Gembe, naomba nikuulize hivi wenye hali mbaya ni hao makamanda wa kupinga ufisadi au ni mafisadi wenyewe?? MAFISADI kwa sasa hivi wanahali mbaya saana tokea wamsulubu Spika kwani walitaka kumnyanganya kadi yake hawakufanikiwa! na sasa bado wanahaha kwenye bunge linalokuja Novemba kwani Serikali inatakiwa ilete majibu kuna deadline hapo kumbuka hakuna lililotekelezwa hata moja la kuwawajibisha wale wote wa Richmond? na Spika mwenyewe haelekei kubadili ngozi kirahisi kama wanavyofikiri na tiyari makamanda wameshatamka hawakubaliani na maelekezo ya kikao kile cha NEC wenyewe waliapa kuitetea katiba! na wananchi wapiga kura tunaangalia game linavyochezwa! na uchaguzi ndo huo 2010!

  Unadhani mwenye hali mbaya ni nani kwenye hili game?
   
 17. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2009
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  "CCM IKITIKISIKA NA NCHI ITATIKISIKA" wadau, who said this?
   
 18. C

  Calipso JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nilipata tetesi kuwa Mh Lowassa alisachiwa juzi,sikujua hasa nini lengo la kumsachi lkn inasemekana kabambwa na pesa nyingi sana.. mamilioni ya pesa. Sasa hofu yangu ni ktk agenda hizo za kina Lowassa ambao wanaonekena tishio kwa Jk 2010. Mungu ijaalie ccm ianguke kwa kishindo
   
 19. Jembe Ulaya

  Jembe Ulaya JF-Expert Member

  #19
  Sep 8, 2009
  Joined: Oct 27, 2008
  Messages: 456
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  makamanda wapo chadema bwana wamevaa kombati na wanawaumbua mafisadi kichizi na walianza na list of shame yenye mafisadi kumi na moja. ccm wapo wakeleketwa nao ni kumi na moja wamekuja na ze komedi yao wakituzuga kwamba wanapinga ufisadi wakati wanazunguka na kufadhiliwa na fisadi papa.

  komedi hio itaenda hivi- wataitwa na nec tutazugwa tena kwamba wanaonywa kuacha kuwashambulia mafisadi na wao kwa 'jeuri' wataendelea. nia yao waonekane wao ndio wanaopinga ufisadi na sio chadema. itakapofika mwakani watakaa meza moja na mafisadi wataungana kukubali kuimarisha chama kwa kuwa ccm itakuja na ilani inayopinga ufisadi. 'watakitikisa' chama, chama 'kitatikisika' lakini ni bora chama kitikisike ilimradi watu waache kuwa na ushabiki kwa chadema. kama kawaida watanganyika tutadanganyika tena na ahadi ambazo hawana mpango wa kuzitekeleza. kutawachagua nao wtasema ilani haitekelezeki. hii yote sinema tu. anayebisha abishe lakini yangu macho, muda utadhihirisha ninayoyasema hapa.
   
  Last edited: Sep 8, 2009
 20. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #20
  Sep 8, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mkuu naungana na wewe, Ubunge wa Taifa HAUPO. Mama Kilango namkubali kuliko hao wengine, missaada yake kwa SAME hakuna wa kupinga humu.

  Wengine wana bwabwaja bwabwaja tu.
   
Loading...