Shukrani Kamanda kwa taarifa hii muhimu!Wakuu wote JF heshima mbele sana,
- According to the dataz nilizozipata sasa hivi ni kwamba Kamati Kuu ya CCM itakutana kwa kikao cha dharura kuanzia tarehe 11, September 2009. Ni hivi majuzi tu kamati hiyo na NEC yake walikutana na kuleta kizaa zaa ambacho mpaka leo bado wananchi hatujamaliza kutafakari yaliyojiri, baadaye yakaja ya Chadema na sasa CCM kukutana tena, kuna nini hasa? Na je kuna uhusiano wowote wa hivi vikao?
- Anyways, sasa naomba kuwaomba wakulu wangu kumradhi, maana niko safarini na mpiganaji mmoja kati ya wapiganaji 11, hata hizi dataz nimezinasa kwa bahati na haraka sana, nimekwua out of access yoyote toka majuzi ni leo tu kwa bahati hapa nimeomba mtandao wa msamaria mwema, hata hivyo baada ya kumaliza hii post sitakuwa na access tena ya mtandao wala dataz mpaka nitakaporudi mjini tena, na itachukua muda sana maana huku kuna shughuli nzito sana za masilahi ya taifa.
Salaam kwa wote!
Respect and Out!
Field Marshall Es! ni Wazee wa Sauti ya Umeme!
Wapiganaji wa nini? wa viti vya ubunge tena 2010? acha kutufanya watoto! wadanganye hao hao! CCM ninyi nyote mafisadi, jitetee utakavyo!
wakati mwingine napata kichefuchefu kusikia FMES yuko na wapiganaji!!!! sijui wa nini, hakuna fisadi liyeenda jela, hakuna liyerudisha mali,hakuna nothing! mnabaki wapiganaji rudi safarini nitakuuliza maswali mazito, nyie ni watu wa kuogopwa kama ukoma! mnatumwa na CCM kubaka mawazo ya baadhi watu humu na kufanya watu wawaze na kuitumaini CCM!
Mnajua kuwa hapa hampaswi kufurahisha genge...kwanza hakuna mtu mwenye mpango wa kumtoa jk 2010 na pia hakuna mtu mwenye ubavu wa kwenda kumsearch Lowasa nyumbani kwake na bado hajazaliwa nchi hiii f@%$#*%&u youNilipata tetesi kuwa Mh Lowassa alisachiwa juzi,sikujua hasa nini lengo la kumsachi lkn inasemekana kabambwa na pesa nyingi sana.. mamilioni ya pesa. Sasa hofu yangu ni ktk agenda hizo za kina Lowassa ambao wanaonekena tishio kwa Jk 2010. Mungu ijaalie ccm ianguke kwa kishindo
nisaidie mkuu.. najaribu kutuma haiendi na nina salio la kutoshaNasi tuwe wajanja.Tujiunge kwa wingi kupitia matandao uliozinduliwa hivi majuzi. Tuma MSG 'CHADEMA' kwenda 15710.
Mkuu naungana na wewe, Ubunge wa Taifa HAUPO. Mama Kilango namkubali kuliko hao wengine, missaada yake kwa SAME hakuna wa kupinga humu.
Wengine wana bwabwaja bwabwaja tu.
Mnajua kuwa hapa hampaswi kufurahisha genge...kwanza hakuna mtu mwenye mpango wa kumtoa jk 2010 na pia hakuna mtu mwenye ubavu wa kwenda kumsearch Lowasa nyumbani kwake na bado hajazaliwa nchi hiii f@%$#*%&u you
Hivi kazi au sifa ya mbunge mzuri ni misaada???
Nafikiri kama ndiyo hivyo then Mafisadi ndiyo wanaongoza!!!!
Mnajua kuwa hapa hampaswi kufurahisha genge...kwanza hakuna mtu mwenye mpango wa kumtoa jk 2010 na pia hakuna mtu mwenye ubavu wa kwenda kumsearch Lowasa nyumbani kwake na bado hajazaliwa nchi hiii f@%$#*%&u you
Mkuu naungana na wewe, Ubunge wa Taifa HAUPO. Mama Kilango namkubali kuliko hao wengine, missaada yake kwa SAME hakuna wa kupinga humu.
Wengine wana bwabwaja bwabwaja tu.
Wapiganaji wa nini? wa viti vya ubunge tena 2010? acha kutufanya watoto! wadanganye hao hao! CCM ninyi nyote mafisadi, jitetee utakavyo!
wakati mwingine napata kichefuchefu kusikia FMES yuko na wapiganaji!!!! sijui wa nini, hakuna fisadi liyeenda jela, hakuna liyerudisha mali,hakuna nothing! mnabaki wapiganaji rudi safarini nitakuuliza maswali mazito, nyie ni watu wa kuogopwa kama ukoma! mnatumwa na CCM kubaka mawazo ya baadhi watu humu na kufanya watu wawaze na kuitumaini CCM!
Baelezee mkuu sisi tuna note book- Mkuu, vipi siku ile uliponialika kwako na kunikutanisha na master minder wa Meremeta, tena ukanitambulisha kwake kwa furaha sana kwamba ni baba yako mdogo vipi hiki kuchefu chefu kilikuondoka kwa muda au huwa kinaangalia sura na undungu kwanza? Bwa! ha! Ha! maana ningetegemea utapike kabisa kuwa karibu na yule fisadi namba one! kumbe kinakukuta kusikia niko na wapiganaji wanaolala macho kwa ajili ya wananchi? Halafu ukaniomba saa sita za usiku kuja kupiga picha na mpiganaji anayekutia kichefu chefu!! that is wasup!
- Mkuu ndio maana huwa ninasema hivi viongozi wetu ni reflection yetu wenyewe, yaani sisi wananchi mimi na wewe na kichefu chefu cha makengeza Bwa! ha! ha! kichefu chefu na kiroho papo au?
Respect.
FMEs!
Shalom,Baelezee mkuu sisi tuna note book
Shalom,
Mbona wawekezaji hawaji? Tumeambiwa huji tena kwasababu mama kakunyima nauli. Eti ukipewa pesa unaoa Kyela mpaka ziishe.
Mtoto wa watu uliyemwacha na mimba huku kajifungua, njoo utoe pesa za matunzo. Huyo msichana alikuwa na mchumba wake, ukamdanganya kwamba utampeleka USA, wewe mkulu kwa usanii umenishinda.
Niko na kakako Malafyale hapa. Ni mzee wa heshima, sio kama wewe msanii na kibaka wa wake za watu. Wewe inabidi uwe unashinda na Kinanasi tu maana mambo yenu yanafanana.
kupitia CCM? Hujui ina wenyewe?asante kwa taarifa mkuu, leo niko huku mtera tunapanga mikakati ya kugombea Ubunge kwenye hili jimbo kupitia CCM... naamini hicho kikao kitakua kinafanyikia Kule Ikulu Dar es salaam maana huku kuko shwari hakuna heka heka
Ni kikao cha dharula au kipo kwenye kalenda yao?
Nahisi kuna kitu kikubwa kinakuja katika siasa za nji hii. Tuombe tu mwisho uwe mwema, maana tumeshasikia wana CCM wameuana.
Mkuu naungana na wewe, Ubunge wa Taifa HAUPO. Mama Kilango namkubali kuliko hao wengine, missaada yake kwa SAME hakuna wa kupinga humu.
Wengine wana bwabwaja bwabwaja tu.