CCM: Kamati Kuu Kukaa Chini Dar

Hii ndiyo hali halisi ndani ya CCM inayoonyesha hawana jipya halafu hiyo picha hapo juu mpiganaji dhdi ya mafisadi Mama Kilango alikubali fisadi Lowassa naye awe mualikwa? au tinga lilitia kifua? Hakuna jipya kwenye hivi vikao ni USANII MTUPU!!!.[/B]


one word, PROPAGANDA! yaani kuonyesha chama kipo hai wakati chama kipo ICU
 
kama anna kilango yuko serious na ufisadi basi aanze na mumewe ambaye amekula pesa za konoike kuliko nalaila kiula. sherehe imejaa mafisadi watupu kuanzia mwinyi,na msuya.

- Jamani huu mjadala ni wa kikao cha Kamati Kuu ya CCM, labda ifunguliwe thread ya sherehe za Malecela, lakini hapa naomba tuachieni tujadili kamati kuu please!

- Mkulu Bangasule karibu tena, aliyeiba hela za umma kule JWTZ kupitia Meremeta, na kushirikiana na Mkapa kupora Kiwira ni Gen. Mboma na wewe unajua vizuri sana how he did it, sasa kwa nini kwanza usitusaidie haya ndio urukie ya wizi wa Mama Kilango Gulf Air na kama unavyosema sasa wizi wa Malecela, Kononike.

- Yaaani uweke dataz za wizi wa Malecela Konoike, hiyo itakuwa bonge la scandal ambalo hata maadui zake kule Mtandao hawakulijua, Mwalimu na kitabu chake alishindwa kuandika, lakini wewe unajua, weka hapa mkuu tuchambue, lakini baada ya kutuwekea ya Mboma kwanza, au? Bwa! ha! ha!


FMES
 
wakati makamba anaweka mbele maslahi yake binafsi na ya wanae. Ni ukweli usiopingika kwamba Makamba amekuwa akiongoza foleni ya kuomba msaada kwa Manji na hata kwa watuhumiwa wengine wa ufisadi, Samahani kwa kusema hayo lakini Makamba ni mmoja kati ya viongozi cheap sana.Nawasilisha

- According to the dataz, Manji amemjengea hata nyumba anayoishi sasa!

FMES!
 

Jamani huu mjadala ni wa kikao cha Kamati Kuu ya CCM, labda ifunguliwe thread ya sherehe za Malecela, lakini hapa naomba tuachieni tujadili kamati kuu please!

Ni kweli kabisa, Mkuu, hayo si mahala pake hapa.

Aliyetuharibia mwelekeo ni yule aliyedai kwamba vikao vilifanyika bila mwenyekiti Kikwete kwa vile eti alikuwa na udhuru wa kuhudhuria sherehe. Hivyo ndivyo sherehe ilivyochomekwa chomekwa humu.

Wengine tukasema...aaaaah...tafadhali bana, tukamwambia huyo mleta habari za vikao huyo, kwamba, Kikwete hawezi kukosa kikao cha CCM Taifa, eti ana udhuru kwenda kunywa kwa Malecela. Hakuwa na kikao muda huo.

i364_CCMDiversion2.JPG

 
Ni kweli kabisa, Mkuu, hayo si mahala pake hapa.

Aliyetuharibia mwelekeo ni yule aliyedai kwamba vikao vilifanyika bila mwenyekiti Kikwete kwa vile eti alikuwa na udhuru wa kuhudhuria sherehe. Hivyo ndivyo sherehe ilivyochomekwa chomekwa humu.

Wengine tukasema...aaaaah...tafadhali bana, tukamwambia huyo mleta habari za vikao huyo, kwamba, Kikwete hawezi kukosa kikao cha CCM Taifa, eti ana udhuru kwenda kunywa kwa Malecela. Hakuwa na kikao muda huo.


- Mkuu unazidi kujivua nguo tu, watu hapa wanataka dataz za kikao ambazo huna, sasa labda ukae pembeni usubiri maana bado tunazitafuta za usiku wa leo,

- Kikao kitaisha karibuni na agenda ya mwisho ni makundi ndani ya CCM, ambayo Sekretariat imeifikisha kwa kuibana bana ili isionekane kwamba ni ishu ya Mwakyembe na Rostam, ingawa ndio hasa ni a na madhumuni ya hii hoja kuwepo mezani, sasa bado tunafuatilia hii ishu huko ndani naomba usianze fujo zako na kutuharibia mtiririko wa habari.

Thanxs.

FMES!
 
Mengi na wapiga vita ufisadi wengine wanaweka mbele maslahi ya taifa katika hoja zao wakati makamba anaweka mbele maslahi yake binafsi na ya wanae. Ni ukweli usiopingika kwamba Makamba amekuwa akiongoza foleni ya kuomba msaada kwa Manji na hata kwa watuhumiwa wengine wa ufisadi,na ni ukweli usiopingika kwamba Makamba njaa ndiyo inayomsumbua.

Samahani kwa kusema hayo lakini Makamba ni mmoja kati ya viongozi cheap sana.

Nawasilisha

Ndiyo maana hii vita dhidi ya mafisadi ndani ya CCM ni USANII MTUPU!!!! Kwa sababu bado mafisadi wakubwa nchini bado wamekumbatiwa kwa nguvu zote za chama na hakuna wa kugusa!!!! Hata Mwenyekiti wa Chama alias Rais wa nchi anawaogopa!!! Haya ndiyo matatizo ya kuwa na kiongozi wa nchi ambaye hakuingia madarakani kihalali na ndiyo sababu kubwa ya kuhakikisha harudi tena madarakani 2010.
 
Mungu uliye juu tunakuomba utulinde watanzania na hili genge la mafisadi linakutana hatujui, ww ndo unajua wanachopanga......amin
 
ni kweli kabisa, mkuu, hayo si mahala pake hapa.

Aliyetuharibia mwelekeo ni yule aliyedai kwamba vikao vilifanyika bila mwenyekiti kikwete kwa vile eti alikuwa na udhuru wa kuhudhuria sherehe. Hivyo ndivyo sherehe ilivyochomekwa chomekwa humu.

Wengine tukasema...aaaaah...tafadhali bana, tukamwambia huyo mleta habari za vikao huyo, kwamba, kikwete hawezi kukosa kikao cha ccm taifa, eti ana udhuru kwenda kunywa kwa malecela. Hakuwa na kikao muda huo.

i364_ccmdiversion2.jpg

du! Hela zetu hizi wananywea
 
- Ni kweli kabisa zilikuwa ni hela za mchango wa ndugu wote wa Malecela, lakini hazikuwa hela zako kama unavyodai au zenu hapana huo ni upotofu wa ukweli.

Ahsante.

William.

Mkuu William umeamua kutoa suluhu mapeema, sio zake ni za family...lol
 
Mkuu William umeamua kutoa suluhu mapeema, sio zake ni za family...lol

- Hapana mkuu ni suala la kuwekana sawa, maana hata baadhi ya members humu waliohudhuria walichangia hii sherehe kama vile harusi zetu bongo, hata Malecelas huwa tunachangishana, kwa shughuli mbali mbali za kifamilia, ikiwa ni pamoja na kusomeshana nje ya nchi kwa wana familia.

- Tunafanya mambo mengi sana kifamilia, na hasa tukiwa njiani kuanzisha foundation kubwa kabisa. Wote tumeenda shule na kila mmoja wetu ana maisha yake tena very serious, kwa hiyo we are fine mkuu na tunamshukuru Mungu.


William.
 
- Wote tumeenda shule na kila mmoja wetu ana maisha yake tena very serious, kwa hiyo we are fine mkuu na tunamshukuru Mungu.[/B][/U]

That sounds great, but I think not only stuggle but opportunities counts most.

Mara nyingi kipindupindu huwa kinatokea maeneo yale kwa kuwa wapo katika mkondo wa kula ki..si ndugu yangu, na wala sio juhudi zao kutokuwa safi.
 
Mungu uliye juu tunakuomba utulinde watanzania na hili genge la mafisadi linakutana hatujui, ww ndo unajua wanachopanga......amin

Hakuna chochote kinachopangwa na hawa chenye maslahi ya nchi, bali maslahi yao tu. Ni USANII MTUPU!!!!! Tusitegemee jipya lolote la kushtua nyoyo za Watanzania.
 
- More datazz za CC, jana usiku na leo asubuhi:-

2. Kamati kuu imempa Mzee Malecela mamlaka ya kusimamia uchaguzi huo, akishirikiana na Mkuchika.

FMES

Ina maana Mzee amekabidhiwa tena lile jukumu lake la U-TINGATINGA alilokuwa akilalama wakati akipigwa chini wakati wa uchaguzi wa mgomea wa CCM 2005?

omarilyas
 
Hakuna chochote kinachopangwa na hawa chenye maslahi ya nchi, bali maslahi yao tu. Ni USANII MTUPU!!!!! Tusitegemee jipya lolote la kushtua nyoyo za Watanzania.

KIpo kaka kwani

MASLAHI YAO + MASLAHI YA CHAMA = Maslahi ya NCHI

Nivyo ilivyo katika dunia yote inayoamini katika matabaka kama ilivyo Tanzania ya baada ya Mwalimu Nyerere

omarilyas
 
Back
Top Bottom