KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 86
Yaani uongozi wote wa CCM is a joke! Pale wamewekana mafisadi wote alafu wanataka kutueleza nini? Hiyo kamati ya maadili wangei-dissolve tu na wasiwe nayo maana hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuendeleza majungu!
MZEE, fisadis wamekamata miamba yote yenye nguvu ktk chama na serikali ! lets count that out. ccm hata iwe kwa nini au hata aje nani, yaani haiwezi kusafisishika, imekuwa kama kutu sasa ! suala ni kuangalia njia za kuing'oa. Ebu fikiria mtu kama mzee malecela, anakuja na kutamka hadharani eti kumuachia Muungwana ni suala la utamaduni ? hii mimi kama kada naita, "mazoea mabaya" aka "mazoea yana tabu". Ina maana pia ni utamaduni kwa ccm kuliongoza taifa hili kwa sababu wameshinda chaguzi kuu zote tokea mfumo wa vyama vingi kuanzishwa ? Mzee needs retirement! hadi leo hii, ccm haijaonja demokrasia, bali inaongelea demokrasia. siku pekee itapoonja demokrasia ni pale itakapotolewa madarakani na kukubali matokeo ya uchaguzi, besides that, its just the cheap talk of the run around ccm thugs!