CCM....Kamata Muongo Meeeeeen!

Highlander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
3,093
1,075
Nimetoka mahala huwa napata mtori majira ya asubuhi
nikakuta kada mmojawa ccm; tena kijana basi.
saizi yenu hiyohiyo ya vijana wa chadema.

Inaelekea kuna mtego umewekwa.
CCM wanasuburi apatikane mtu muhimu wa chadema kasema uongo mkubwa
halafu nao wataibuka na kauli mbiu mpya:

CCM....kamata muongo meeen!

My take: Nyie vijana wa chadema wakati mkifurahia miteremko yenu ya kufungua matawi
kumbukeni kuwa makini katika kauli zenu. Siasa si miteremko tu. kuna milima pia.
Na kwa bahati mbaya hamjaishi long enough kujua hilo.

Ila hii ya kamata mwizi imetulia?!!!!!!!!!!
 
You deserve a long time ban wewe huna maana hata kidogo
 
Sema ulikuwa unatoka chooni anayetoka kupata Mtori hawezi kutoa thread kama hii.
 
hehehe!

huu msemo naona umeingi a clouds fm lindi
 
Sema ulikuwa unatoka chooni anayetoka kupata Mtori hawezi kutoa thread kama hii.

jamani mjumbe tangu lini katakiwa kupigwa mawe? nimesikia kitu nikaona niwape. nalo hilo kosa? he...
 
nimetoka mahala huwa napata mtori majira ya asubuhi
nikakuta kada mmojawa ccm; tena kijana basi.
Saizi yenu hiyohiyo ya vijana wa chadema.

Inaelekea kuna mtego umewekwa.
Ccm wanasuburi apatikane mtu muhimu wa chadema kasema uongo mkubwa
halafu nao wataibuka na kauli mbiu mpya:

Ccm....kamata muongo meeen!

My take: Nyie vijana wa chadema wakati mkifurahia miteremko yenu ya kufungua matawi
kumbukeni kuwa makini katika kauli zenu. Siasa si miteremko tu. Kuna milima pia.
Na kwa bahati mbaya hamjaishi long enough kujua hilo.

Ila hii ya kamata mwizi imetulia?!!!!!!!!!!

...pumba hizi
 
Watoto wa facebook wamevamia jf,sasa wewe ulimshauri nini huyo kijana???kwa sababu mukama aliwahi kuja na kauli ya kupika kuwa chadema wameimport magaidi igunga akaaishia kudharauliwa tu ka mwehu!!!!!!!!!!!
 
kama huna cha kuport ni afadhali ukae kmya huku ukiangalia mijadala ya wenzako.
Invisible na Mods wengne nawaomben muwe mnafuta hzi Post siczo na kchwa wala miguu.. Znajaza Servers tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom