CCM kama ARSENAL

Van pierre

Member
Mar 27, 2011
25
0
Meeen nimejitahidi sana kukipenda hiki chama cha CCM,but nimechemsha!!jamani madudu yote yanayoendelea nchini yanatokanana udhaifu wa hiki chama!!ni juzi tu nikiwa sinza mida ya usiku nilitumia ka energy kangu kalikobaki mwilini kubishana na mtu kama 5 hivi ambao wapo very against na CCM,me nilikuwa naitetea CCM!!Ilipofika mida mibovu nikarudi kwangu mitaa ya Ubungo,nikiwa nimesweat sana kwa kijoto cha ndani ya daladala kutokana na ile foleni ya ubungo ambayo ccm wameshindwa kuisolve,nafika mtaani nakuta hamna umeme!!!nikajikuta naropoka mwenyewe DAMN F..... CCM!!!Ama kweli CCM ni kama arsenal,hata uwapende vipi one day utawatukana tu!! Hawa jamaa hawapendeki and hawajui hata njia moja ya kuwapendeza wapenzi wao!!!!CCM equal to ARSENAL!!!WENGER equal to KIKWETE!!!THEY HAVE BOTH FAILED
 
Mkuu kuna mashabiki wa Man Utd ambao ni CCM,kuna mashabiki wa Arsenal ambo ni CHADEMA,kuna Mashabiki wa Chelsea ambao ni CCM,na pia kuna mashabiki wa Liverpool ambo ni Chadema na CCM.Hapo unasemaje?

Loh,una masikhara!
 
Ulikuwa na hoja nzuri lakini imetibuliwa na mfano uliopinda hasa kuifananisha CCM na Arsenal.Tuombe radhi gunners tusio CCM!
 
Tehetehe....wanaweza fanana kabisa...hii fano yako bana mimi iko penda sana

Mwenyekiti wa CCM kazi kulia lia.......Kocha wa aseno kazi kulia lia....tehetehe........

Ila watake radhi ndugu zangu asenali ze ganazi wasije kurarua

Samahanini watani zangu Gunners, tukutane kuleeeeeeeeeeeeee mtaani kwetu Sports and Entertainment
 
Me mwenyewe arsenal damu,kila mwaka natengana na amount flani ili nipate ujezi wao mpya!!ila hawa watoto wanatuboa saaanaaa!ctosahau madudu waliyoyafanya mechi na birmigham,man kwenye ukweli lazima 2ongee! Arsenal wanatunyima raha sana wapenz wake huku mtaani! Yani ni kama ccm,ukiwasifia tu wanakuumbua!!!
Ulikuwa na hoja nzuri lakini imetibuliwa na mfano uliopinda hasa kuifananisha CCM na Arsenal.Tuombe radhi gunners tusio CCM!
 
du wakereketwa mmemaindi chama lenu kushushiwa hadhi ee? ila si mkubali tu na mipango yenu eti ya soka la kuburudisha sio wenzio twakamata mataji kwa kwenda mbele
 
Mtoa mada umesema kweli. Mimi mpaka juzi tu nilikua mshabiki wa arsenal lkn saiv nimeamua sitaki tena ushabiki wa timu za uingereza. Maana arsenal ilikua imevielekea vikombe 3 vyote wameporwa ma.***** wale sina ham nao hata kuwaona kudadeki. Mafala wale waende tu.

Kuhusu ccm sijui maana mie sijawahipo kuipenda ccm hata siku moja. Tokea 1995 ccm haijawahi kupata kiti ktk jimbo langu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom