Hili ndilo tatizo kubwa la nchi hii na watu wake, hatuna uthubutu. The Boss, ni chama kipi kingine kimewahi kukamata madaraka ya nchi hii hadi useme hakuna replacement inayoaminika? Unatumia vigezo gani? Yaani unataka kuwaambia Watanzania waendelee kuongozwa na dead man walking kuliko kuwapa wengine ambao angalau wanajitutumua? What kind of thinking is this? Comments kama hizi huwa zinanikera kweli kweli kwani ni kama vile hivi tumelogwa, taifa limejaa dead men walking! Fikiria tunao watu wanaosema, hapana imetosha, hatuwezi kuendelea na watu wale wale, ni heri tufanye mabadiliko halafu anakuja mwingine anadai haoni mbadala, heri tuendelee na wale wale!
I understand, change can be scary. Doing anything for the first time or stepping into the unknown can at times be frightening and so requires courage and resolve, two ingredients most of us Tanzanians lack. But when one has hit rock bottom like we have, the only way out is up. It is insane to expect the same minds that led us into the pit to take us out of it hence the need for change; complete overhaul and complete about turn.
mkuu Mag3, watu nchi hii bado sana kwenye eneo la ukombozi wa kifikra....what's even more dismaying ni kuona kuwa ukombozi huu wa fikra kumbe bado unahitajika hata kwa watu "wenye vidato" vyao ambao tulitegemea wawe ndiwo crusaders. pathetic.
kuna mchangiaji mmoja kwenye uzi huu hapo juu amemjibu huyu bwana kuwa afadhali ya pengo kuliko jino bovu...a sobering answer to a slumbering retard!
anyways, historia inatufundisha kuwa watu wa aina hii watakuwepo daima...kama ilivyokuwa wakati Mwl Nyerere alipokuwa anigania uhuru - kuna wasomi wa wakati ule walitaka mkoloni ang'olewe lakini bado walitia shaka kuhusu mbadala (huku wakijua fika kuwa Mwalimu was already there at the helm of it all)
Ccm kwa lowasa wanalo mwaka huu wakimkimbia mshale wakimchukua mkuki yaani wana boonge la soo waamue kukumbatia moto uwachome au wauzime upepo uueneze kwingine sijui watauzimaje.
Hili ndilo tatizo kubwa la nchi hii na watu wake, hatuna uthubutu. The Boss, ni chama kipi kingine kimewahi kukamata madaraka ya nchi hii hadi useme hakuna replacement inayoaminika? Unatumia vigezo gani? Yaani unataka kuwaambia Watanzania waendelee kuongozwa na dead man walking kuliko kuwapa wengine ambao angalau wanajitutumua? What kind of thinking is this? Comments kama hizi huwa zinanikera kweli kweli kwani ni kama vile hivi tumelogwa, taifa limejaa dead men walking! Fikiria tunao watu wanaosema, hapana imetosha, hatuwezi kuendelea na watu wale wale, ni heri tufanye mabadiliko halafu anakuja mwingine anadai haoni mbadala, heri tuendelee na wale wale!
I understand, change can be scary. Doing anything for the first time or stepping into the unknown can at times be frightening and so requires courage and resolve, two ingredients most of us Tanzanians lack. But when one has hit rock bottom like we have, the only way out is up. It is insane to expect the same minds that led us into the pit to take us out of it hence the need for change; complete overhaul and complete about turn.
Typical statement from a dead man walking, at least this much I expected! Maybe you didn't say it in so many words, truth is you implied it and that is even worse; you don't even have the courage to do so plainly. Tatizo ni kwamba wanafiki mko wengi. Mara ngapi swali linajitokeza humu likiuliza hao wapinzani wamefanya nini, mbona wameshindwa kutimiza ahadi zao, kwa nini wanapenda kulia lia. Wakiandamana wakipinga, wakashambuliwa na polisi, wakapigwa wakaumizwa na hata wengine wakauawa, mpo watu mtakaowabeza mkidai wameyataka wenyewe. Shame on you people!
Mwambie baba yako aje kuwa crusader, fvck you!
CCM wakimpitisha lowassa, upinzani watamgaragaza vibaya sana. Na ndo UKAWA wanachoombea.
asante mkuu .Natabili katika picha hizi hapa chini ndio jinsi itakavyokuwa siku ya mkutano mkuu wa CCM kuteua jina moja la kugombea urais
View attachment 264687
Usishangae ndugu yangu, huyo Barbarosa ni specimen hasa ya watu wapuuzi waliokamata uongozi wa nchi hii toka wa juu kabisa hadi wa chini. Unaweza kukuta mtu mwenyewe ni Waziri au hata Mbunge na bahati yako uko mbali naye; angeweza kukung'oa hata meno kwa bisibisi. Hawa ndio wanakaa na kupanga mauaji na utekaji nyara kama aliyofanyiwa yule daktari masikini. They will go to any length kulinda mali zao za wizi na matendo yao ya kifisadi hata ikibidi kumtoa mtu roho. Je unaweza kuamini wengi unaowaona hapa chini wakimshambulia mwananchi mwenzao ni Wabunge?...aisee!
Mkuu nakupa like nyingi sana nikionaga comments sample ya the boss huwa siku inaharibika kabisa naenda zangu kula limao kupunguza hasira.
,hana uwezo wa kumleta balali labda kama anataka amfae aliko...tatizo la yote haya ni mwenyekiti wa chama..kawalea h hao miungu mtu..sasa watampanda kichwani....
... sababu zipo na inaonekana kuvunjika huku safari hii hakuepukiki - iwe kabla ya Uchaguzi au baada ya uchaguzi (itakapopoteza kiti cha Urais)...