Mbunge wa CCM
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 475
- 22
ndugu watanzania wenzangu
kwanza nichukue nafasi hii kuwapongeza na kuwatakia utumishi mwema wenye mafanikio mawaziri wote walioteuliwa katika wizara mbalimbali pamoja na wasaidizi wao. nawahalkikishia pia ushirikiano wangu katika kutimiza majukumu yemnu mliyokabidhiwa kwa manufaa ya serikali ya CCM na taifa zima kwa ujumla.
hivi karibuni tumeshuhudia gumzo pana na refu lililohusishwa na kitendo cha wabunge wa chadema kutoka nje ya ukumbi wa bunge mjini dodoma wakati mh. rais akianza kusoma hotuba yake ya kuzindua bunge la 10.
binafsi niseme wazi kuwa sikushtuka wala kushangaa. nilikuwa nimeishajiandaa kwa tukio lile kwani ilishajulikana kuwa ingekuwa vile. ila nilichoona ni kuwa kuna mambo ambayo wanaCCM tunapaswa kujifunza na kuwa tayari kama tunataka chama chetu kivuke wimbi hili la mabadiliko. mambo hayo ni kama ifuatavyo
1. kupeleka itikadi ya chama kwa kundi la vijana amabo wanonekana kushabikia mambo wasiyoyajua vizuri hali inayotafsiriwa kuwa vijana hawakitaki tena chama cha mapinduzi japo uzoefu unaonyesha kuwa vijana wamekuwa hawatabiriki siku zote na katika nchi mbalimbali
2. chama kijikite katika kujenga taswira ya kuaminika machoni pa wananchi ikiwa ni pamoja na kujiweka kando na matendo yanayoweza kukiunganisha na mamabo yanayopigwa vita nchini kwa sasa kama ufisadi nk.
3. chama kupitia serikali yake kijitahidi kuimarisha usimamizi wa utekelezaji wa mipango mbalimbali ya maendeleo inayotokana na ilani yake ya uchaguzi ili kidhihirishe kwa vitendo utashi na uwezo wa kusimamia juhudi za kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini
4. kwa wakati huu chama kijitenge kabisa na hatua yoyote ya kukaa na chadema ama chama chochote kingine kujadili jamabo lolote la kitaifa na iwapo itaonekana vyema basi chama kichukue hatua chenyewe bila kushirikisha chamas kingine
5. chama kiimarishe ushirikiano na vyama vya CUF na vingine vilivyo vidogo ili kujihakikishia kuungwa mkono na wadau anwai wa maendeleo
6. juhudi zisizo za dhahiri sana zifanywe kwenye idara za usalama wa taifa na vyombo vingine vya dola kuweka mizania ya chokochoko za udini, ukabila na uzanzibari katika urari ili kupunguza taratibu na hatimaye kumaliza kabisa hofu iliyoanza kujengeka ya kukua kwa hali hizo zisizoendana na utamaduni wa siasa zetu
7. mwenge wa uhuru utumike kuimarisha uzalendo na uwajibikaji wa raia katika kushiriki michakato mbalimbali ya kidemokrasia na kuamsha ari ya kisiasa kwa wale amabo ari hiyo imeshuka (rejea idadi ndogo ya watu waliojitokeza kupiga kura)
8. kujitahidi kulipatia ufumbuzi suala la mambi ya kuasisiwa mchakayo wa kuandikwa katiba mpya lakini bila uharaka na kupeleka turufu yake kwa wapinzani wa CCM
kuna mengi, lakini kwa haya machache niseme kuwa Tanzania yenye ufanisi tele inawezekana chini ya CCM
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZU
You can't teach an old dog new tricksndugu watanzania wenzangu

Hapo unaonyesha kudharau hekima ya vijana na nadhani unataka warubuniwendugu watanzania wenzangu

Chama hiki kilikuwa kinaheshimika sana. Lakini kama ilivyo katika maisha ya kila kitu kuwa na stages za incubation, maturity, and declination. CCM imeshapitia incubation 1977-1983, Maturity 1983-2008 (tena ilikuwa ni rough period kwa CCM), sasa hivi kimo kwenye declination itakayokamilika baada ya miaka miwili au mitatu tu.2. chama kijikite katika kujenga taswira ya kuaminika machoni pa wananchi ikiwa ni pamoja na kujiweka kando na matendo yanayoweza kukiunganisha na mamabo yanayopigwa vita nchini kwa sasa kama ufisadi nk.
Yaani kijitahidi badala ya kufanya kweli. Ni nani wanaoweza kufanya hivyo iwapo ilani yenyewe ni viraka viraka tu3. chama kupitia serikali yake kijitahidi kuimarisha usimamizi wa utekelezaji wa mipango mbalimbali ya maendeleo inayotokana na ilani yake ya uchaguzi ili kidhihirishe kwa vitendo utashi na uwezo wa kusimamia juhudi za kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini
Akili mbovu hiyo, ni kwa sababu huko CCM hakuna wajenga hoja, hivyo wanaogopa kuumbuliwa4. kwa wakati huu chama kijitenge kabisa na hatua yoyote ya kukaa na chadema ama chama chochote kingine kujadili jamabo lolote la kitaifa na iwapo itaonekana vyema basi chama kichukue hatua chenyewe bila kushirikisha chamas kingine
Hii ni contradiction ni 4 hapo juu; hata hivyo tunajua kuwa CUF ni CCM-2.5. chama kiimarishe ushirikiano na vyama vya CUF na vingine vilivyo vidogo ili kujihakikishia kuungwa mkono na wadau anwai wa maendeleo
Haya ni mawazo ya watu wanaotaka kutawala kwa kutumia nguvu. Mmefanya hivyo uchaguzi huu, kwa hiyo mnataka iwe ni sera ya kudumu6. juhudi zisizo za dhahiri sana zifanywe kwenye idara za usalama wa taifa na vyombo vingine vya dola kuweka mizania ya chokochoko za udini, ukabila na uzanzibari katika urari ili kupunguza taratibu na hatimaye kumaliza kabisa hofu iliyoanza kujengeka ya kukua kwa hali hizo zisizoendana na utamaduni wa siasa zetu
Katiba inayotakiwa ni ya Tanzania yote, sijui unaota nini kuwa na Katiba itakayoandikwa na CCM tu ahalfu ukadhani itakubalika na wote7. mwenge wa uhuru utumike kuimarisha uzalendo na uwajibikaji wa raia katika kushiriki michakato mbalimbali ya kidemokrasia na kuamsha ari ya kisiasa kwa wale amabo ari hiyo imeshuka (rejea idadi ndogo ya watu waliojitokeza kupiga kura)
8. kujitahidi kulipatia ufumbuzi suala la mambi ya kuasisiwa mchakayo wa kuandikwa katiba mpya lakini bila uharaka na kupeleka turufu yake kwa wapinzani wa CCM
Kama wewe ndiye sampuli ya wabunge wa CCM, basi Tanzania ina janga kubwa sana kwa sababu wapo 260 wanaolipwa milioni 12 kwa mwezi.kuna mengi, lakini kwa haya machache niseme kuwa Tanzania yenye ufanisi tele inawezekana chini ya CCM
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZU
Mheshimiwa Mbunge, heshima sanandugu watanzania wenzangu
kwanza nichukue nafasi hii kuwapongeza na kuwatakia utumishi mwema wenye mafanikio mawaziri wote walioteuliwa katika wizara mbalimbali pamoja na wasaidizi wao. nawahalkikishia pia ushirikiano wangu katika kutimiza majukumu yemnu mliyokabidhiwa kwa manufaa ya serikali ya CCM na taifa zima kwa ujumla.
hivi karibuni tumeshuhudia gumzo pana na refu lililohusishwa na kitendo cha wabunge wa chadema kutoka nje ya ukumbi wa bunge mjini dodoma wakati mh. rais akianza kusoma hotuba yake ya kuzindua bunge la 10.
binafsi niseme wazi kuwa sikushtuka wala kushangaa. nilikuwa nimeishajiandaa kwa tukio lile kwani ilishajulikana kuwa ingekuwa vile. ila nilichoona ni kuwa kuna mambo ambayo wanaCCM tunapaswa kujifunza na kuwa tayari kama tunataka chama chetu kivuke wimbi hili la mabadiliko. mambo hayo ni kama ifuatavyo
1. kupeleka itikadi ya chama kwa kundi la vijana amabo wanonekana kushabikia mambo wasiyoyajua vizuri hali inayotafsiriwa kuwa vijana hawakitaki tena chama cha mapinduzi japo uzoefu unaonyesha kuwa vijana wamekuwa hawatabiriki siku zote na katika nchi mbalimbali
2. chama kijikite katika kujenga taswira ya kuaminika machoni pa wananchi ikiwa ni pamoja na kujiweka kando na matendo yanayoweza kukiunganisha na mamabo yanayopigwa vita nchini kwa sasa kama ufisadi nk.
3. chama kupitia serikali yake kijitahidi kuimarisha usimamizi wa utekelezaji wa mipango mbalimbali ya maendeleo inayotokana na ilani yake ya uchaguzi ili kidhihirishe kwa vitendo utashi na uwezo wa kusimamia juhudi za kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini
4. kwa wakati huu chama kijitenge kabisa na hatua yoyote ya kukaa na chadema ama chama chochote kingine kujadili jamabo lolote la kitaifa na iwapo itaonekana vyema basi chama kichukue hatua chenyewe bila kushirikisha chamas kingine
5. chama kiimarishe ushirikiano na vyama vya CUF na vingine vilivyo vidogo ili kujihakikishia kuungwa mkono na wadau anwai wa maendeleo
6. juhudi zisizo za dhahiri sana zifanywe kwenye idara za usalama wa taifa na vyombo vingine vya dola kuweka mizania ya chokochoko za udini, ukabila na uzanzibari katika urari ili kupunguza taratibu na hatimaye kumaliza kabisa hofu iliyoanza kujengeka ya kukua kwa hali hizo zisizoendana na utamaduni wa siasa zetu
7. mwenge wa uhuru utumike kuimarisha uzalendo na uwajibikaji wa raia katika kushiriki michakato mbalimbali ya kidemokrasia na kuamsha ari ya kisiasa kwa wale amabo ari hiyo imeshuka (rejea idadi ndogo ya watu waliojitokeza kupiga kura)
8. kujitahidi kulipatia ufumbuzi suala la mambi ya kuasisiwa mchakayo wa kuandikwa katiba mpya lakini bila uharaka na kupeleka turufu yake kwa wapinzani wa CCM
kuna mengi, lakini kwa haya machache niseme kuwa Tanzania yenye ufanisi tele inawezekana chini ya CCM
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZU
Mheshimiwa Mbunge, heshima sana
Napenda kukupa pole kwa jitihada zako za kuokoa mgonjwa wenu ajulikanaye kama chama cha majambazi. Hakuna namna unavyoweza kuwakamata vijana wa TZ kama bado unamteua Zakia kuwa Mbunge, unapinga mazungumzo na wapinzani, dhahabu zetu zinaporwa na milima bandia inaongezeka, mfano Buhemba huku wakazi wake wakizama katika lindi la umaskini, unafanya kampeni kwa kutumia comedy bila kutoa majibu ya tatizo la ajira kwa vijana, mbaya zaidi ahadi za mwaka huu ndiyo fimbo yenu 2015. Huwezi kutushawishi kuwa mtajenga MAchinga Compelx 5 kabla ya 2015, Meli lake victoria, Kigoma kuwa Dubai, Tanga mji wa viwanda na mengine mengi.
Jambo lingine muhimu ni kuwa hakuna uwajibikaji, mfano madudu ya takukuru yanabarikiwa na viongozi wa nchi, tumesahau kabisa msamiati wa uwajibikaji.
Chama hakiwezi kujitenga na Rostam, Lowassa, Chenge, na waliojificha nyuma celtel nasikia munaiita airtel saa hizi. Mnapropagate udini na watu wamewaelewa vizuri
Yako mengi mhemishiwa hayo ni kwa uchache tu
Mkuu, vijana wanajua vizuri sana mambo yanayowahusu... kwa kuanza hivi tu kwangu mimi ni kwamba wewe ndio hujui vizuri... kuna upuuzi mmoja wanasiasa wengi mnao.. you think kwamba you are just think tanks by default. wewe ndio hujui vizuri sir, remember hata ukienda kule kijijini kwenu waweza kudhani kwamba watu hawajui vizuri, in fact they know but its our attitude that put them off1. kupeleka itikadi ya chama kwa kundi la vijana amabo wanonekana kushabikia mambo wasiyoyajua vizuri hali inayotafsiriwa kuwa vijana hawakitaki tena chama cha mapinduzi japo uzoefu unaonyesha kuwa vijana wamekuwa hawatabiriki siku zote na katika nchi mbalimbali
agreed2. chama kijikite katika kujenga taswira ya kuaminika machoni pa wananchi ikiwa ni pamoja na kujiweka kando na matendo yanayoweza kukiunganisha na mamabo yanayopigwa vita nchini kwa sasa kama ufisadi nk.
Mkuu kusimami hakuna maana tena, inabidi kureview everything, kusimami mara nyingi hakuna output or end in it... read between the lines3. chama kupitia serikali yake kijitahidi kuimarisha usimamizi wa utekelezaji wa mipango mbalimbali ya maendeleo inayotokana na ilani yake ya uchaguzi ili kidhihirishe kwa vitendo utashi na uwezo wa kusimamia juhudi za kuleta maendeleo ya kiuchumi na kijamii nchini
crap!!!4. kwa wakati huu chama kijitenge kabisa na hatua yoyote ya kukaa na chadema ama chama chochote kingine kujadili jamabo lolote la kitaifa na iwapo itaonekana vyema basi chama kichukue hatua chenyewe bila kushirikisha chamas kingine
Unajichanganya mwenyewe, hapo juu unasema kijitenge, chini unasema kijiunge... CCM haina haja ya kusema ijiunge na kafu.. kafu ni ccm akademia5. chama kiimarishe ushirikiano na vyama vya CUF na vingine vilivyo vidogo ili kujihakikishia kuungwa mkono na wadau anwai wa maendeleo
agreed6. juhudi zisizo za dhahiri sana zifanywe kwenye idara za usalama wa taifa na vyombo vingine vya dola kuweka mizania ya chokochoko za udini, ukabila na uzanzibari katika urari ili kupunguza taratibu na hatimaye kumaliza kabisa hofu iliyoanza kujengeka ya kukua kwa hali hizo zisizoendana na utamaduni wa siasa zetu
watu waliojitokeza si 42% ni zaidi ya hapo sema wizi ulifanya kazi na zile 5M ghost voters walioandaliwa7. mwenge wa uhuru utumike kuimarisha uzalendo na uwajibikaji wa raia katika kushiriki michakato mbalimbali ya kidemokrasia na kuamsha ari ya kisiasa kwa wale amabo ari hiyo imeshuka (rejea idadi ndogo ya watu waliojitokeza kupiga kura)
mambi ya kuasisiwa mchakayo ndio nini?8. kujitahidi kulipatia ufumbuzi suala la mambi ya kuasisiwa mchakayo wa kuandikwa katiba mpya lakini bila uharaka na kupeleka turufu yake kwa wapinzani wa CCM
kweli chama cha mapinduzu kidumuKIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZU
naskia mmoja alidhulumu sana hadi wagonjwa wa ukimwi hadi donor community wamemshtaki UNashakum si matusi mkuu, ila sasa wale wabunge waliokua na makesi ya rushwa na hata kukimbia nchini leo wamerudi na kutuwakilisha kweli ni wasafi? na je tuwaamini?
Mbunge wa CCM - Kuna msemo mmoja usemao "Clothers Makes a Pirate" Shida ya sasa ni kwamba watu wanakiusisha CCM na Mafisadi kwahiyo kitu constructive unachoweza fanya hama Chama...... Hapo hata mimi takuunga mkono
hahahahah,chama cha mapindu-zuzukidumu chama cha mapinduzu
Kaleta hoja na kama kuna watu wanaona hoja za ndugu yetu huyu ni dhaifu zioneshwe hivyo; kuzipuuzia au kumuita yeye majina hakufanyi hoja nyingine kuwa na nguvu. Turudi kwenye hoja hujibiwa kwa hoja!