Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 222
Mimi namshauri kama kweli huyu ni mbunge kwenye celebrum na medula oblngata yake aondoe memory ya itikadi za chama Badala yake a overwwite space ilokuwa na itikadi ya chama na real requirement za jimbo lake.
- Tutashangaa tukikuuliza idaidi ya shule zasekondari na primary zilizopo jimboni mwako ukawa hujui
- Utachekesha kama Mbunge unasisitiza Itikadi ya chama wakati hujui idadi ya madaktari walimu au wanafunzi waliopo jimboni mwako
Je muheshimiwa mbunge toka upate ubunge unaweza kutupa japo takwimu zozozte chache za jimbo lako?
ndugu..... mbona unauliza as if alichokiandika ndio everything in his brain?............. hata wewe haya maswali yaliyoko hapa sio everyquestion you have......... you can discuss his agenda or not, the choice is yours................
hizo takwimu zikiletwa zinakanyagwa kama takataka............ zisipoletwa mnazidai!!.............. dah, kwa kweli baadhi ya wanaJF ni sooo...........