ntemintale
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 952
- 1,872
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiko mbioni kupasuka vipande vikuu viwili ambavyo ni "CCM asili" na "CCM wahamiaji"
Wale asili watapambana kufa na kupona kubakia kwenye madaraka. Huku wale CCM wahamiaji watambana kufa na kupona kupata madaraka, watapata wafuasi ndani ya CCM yenyewe.
CCM itameguka vipande viwili na hapo ndipo ule utabiri wa Hayati Baba wa Taifa Mwl Nyerere utatimia, i.e. Upinzani ndani ya CCM yenyewe.
CCM haitabaki salama.