CCM itapasuka vipande viwili

CCM itapasuka vipande viwili

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiko mbioni kupasuka vipande vikuu viwili ambavyo ni "CCM asili" na "CCM wahamiaji"

Wale asili watapambana kufa na kupona kubakia kwenye madaraka. Huku wale CCM wahamiaji watambana kufa na kupona kupata madaraka, watapata wafuasi ndani ya CCM yenyewe.

CCM itameguka vipande viwili na hapo ndipo ule utabiri wa Hayati Baba wa Taifa Mwl Nyerere utatimia, i.e. Upinzani ndani ya CCM yenyewe.

CCM haitabaki salama.
Mawazo ya KICHADEMA ni Upofu wa Kisiasa.
 
Usiwashtue, waache wanywe walilokwisha likoroga hilo. Wenye akili wanawaangalia tu. Wenye akili wameshagundua mapema wapi pa kusimama wakati wa kuhesabiwa. Ni muda tu, kibao kimeshageuka na kimegeuka vibaya kweli kweli. Alijsemea mtu fulani kuwa urais unatakiwa apewe mwanasiasa, akapuuzwa na sasa tunashuhudia muda mwingi unavyotumika kujijenga. Kitakochofuata ni baraza la mawaziri lililojaa wanajeshi tu akifikiri ndo pona yake. Kimsingi damu ya mtu ikimwagika huwa ina tabia ya kulia na inapoanza kulia uatona watu wanaanza kutenda ndivyo sivyo huku wakitawaliwa na hofu kuu. Wengine tumesikia na kuona wakipita huko mlimani city kubandika picha zao kuuuubwaa. Eti haya yote wanayofanya bado hawaamini kuwa kuna watu hawawajui kwa sura wanataka picha zibandikwe. Hii ni majibu ya damu za watu, bado hii ni hatua kuelekea kile tarajiwa. Wakati ukifika wataikabidhi nchi wenyewe kwa mikono yao pasi na kulazimishwa. Wakati huo upinzani watakuwa wamefunga milango hawapokei tena wahamiaji. Wahamiaji au wabaki waliko au watangaze kustaafu siasa. Upinzani watakuwepo wanaume wenye kujitambua, wenye uchungu wa kweli na taifa hili, wasio na ubinafsi tunaouona. Hakika YAMETIMIA!
 
Kama blanketi lilo wafunika Wazimbabwe hatimaye limefunguka na Wazimbabwe wameiona nuru, kadhalika iko siku hili blanketi linalo itwa CCM litatoweka na nchi itarindima kwa shangwe hakuna marefu yasiyo kuwa na ncha.
duh maskini umenyong'onyeaa!! we achana na izi issue utakufa bure kwa kioro bora unashiba sema alhamdullilah hayo mengine hayatuhusu
 
Mbona Nyarandu alipokuja mlisema huyu ndiye dume mbona wakitoka mnalia Sana vp kunya kanya kuku Bata kaharisha acheni ulimbukeni
Hoja sio Nyalandu. Bali kupasuka vipande viwili Asili na Wahamiaji kila kundi la maslahi yao
 
Yaani Mimi ninatamani mno!! Huo utabiri wa Mwl. Nyerere utokee hata leo. Tupate vyama viwili vyenye nguvu sawa, kama ilivyo USA na UK. Hapo ndipo tutakapoona spidi ya ajabu ya maendeleo ktk Taifa letu.

Eee Mungu sikia kilio chetu hiki
 
Mbona Nyarandu alipokuja mlisema huyu ndiye dume mbona wakitoka mnalia Sana vp kunya kanya kuku Bata kaharisha acheni ulimbukeni
Tunaangalia sababu zilio mtoa ni heri kama angekuomba ushauri labda na imani ungemsaadia atoe sababu yenye maana .umeshamsikia ataa shabiki wa arsenal ikifungwa na man united .shabiki anahamia man united kuwaunga mkono kwa sababu wameshinda na ndio ilikuwa sababu yake kuwa arsenal !!!???
 
kama sababu pekee ni hiyo basi upinzani kama sio CHADEMA Itakua ya kwanza kubomoka maana imeingiliwa na CCM wahamiaji hadi chumbani......
 
Watanzania watapona siku ccm ikifa!! Siku ccm ikifa uchumi utapaa maisha mazuri watu watayaonja sio Sasa kilichopo ni ushabiki wakipuuzi ndani ya ccm!!
 
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiko mbioni kupasuka vipande vikuu viwili ambavyo ni "CCM asili" na "CCM wahamiaji"

Wale asili watapambana kufa na kupona kubakia kwenye madaraka. Huku wale CCM wahamiaji watambana kufa na kupona kupata madaraka, watapata wafuasi ndani ya CCM yenyewe.

CCM itameguka vipande viwili na hapo ndipo ule utabiri wa Hayati Baba wa Taifa Mwl Nyerere utatimia, i.e. Upinzani ndani ya CCM yenyewe.

CCM haitabaki salama.
Usiseme hayati sema Mwenyeheri Nyerere!
 
Back
Top Bottom