Kama ni hivyo msiwalalamikie wanaposhindwa kuunga mkono agenda zenu za maslahi ya chama chenuwaandamane wao wenyewe na mamazao maana wakiambiwa waandamane huwa wanasema waandamane na watoto wao.

Gharama za maisha nenden mkaandamane na mamazenu ili zipunguzwe kama ambavyo huwa mnawambia wapinzan waandamane na watoto wao wakiwambia muandamane.Chadema na ACT gharama za maisha wao haziwahusu, ndio maana huwezi kusikia wanamtetea mtanzania yeyote yule zaid wanapambana na marehemu magufuli
wewe umesema hujawahi kuwa na chadema hivyo huwez kuachana nao so kwa kuwa huna ubia na upinzani andamana na mamako nyumban kwenu na huna uhalali wa kuhoji chochote kuhusu upinzani.Kama ni hivyo msiwalalamikie wanaposhindwa kuunga mkono agenda zenu za maslahi ya chama chenu
Mwamba una nafasi gani pale Chadema?wewe umesema hujawahi kuwa na chadema hivyo huwez kuachana nao so kwa kuwa huna ubia na upinzani andamana na mamako nyumban kwenu na huna uhalali wa kuhoji chochote kuhusu upinzani.
kwanin mkuu unauliza hivyoMwamba una nafasi gani pale Chadema?
Acha uongo banakwamba mwelekeo wa chadema unautambua wewe sukuma gang, jiandaeni 2025 mnaenda kufutika uso wa dunia hata udiwani mliozoea kupita bila kupingwa hamtauona.
kwa hio sukuma gang hamkupita bila kupingwa baadhi ya maeneo.Acha uongo bana
Mi sijui ila 2025 CCM kama kawakwa hio sukuma gang hamkupita bila kupingwa baadhi ya maeneo.
kama hujui kawaulize sukuma gang wenzio wanaohaha usiku na mchana kuhusu chadema, kwa taarifa yako huku kanda ya ziwa sukuma gang wote hawapiti mbele ya chadema kama unabisha tafta wengine uwaulize hata udiwani hampati.Mi sijui ila 2025 CCM kama kawa
Haya tukutane 2025kama hujui kawaulize sukuma gang wenzio wanaohaha usiku na mchana kuhusu chadema, kwa taarifa yako huku kanda ya ziwa sukuma gang wote hawapiti mbele ya chadema kama unabisha tafta wengine uwaulize hata udiwani hampati.
Angalau wewe umetambua hilo kuliko wale sukuma gang wabishi.Haya tukutane 2025
Unapotezewa muda kwani umelazimishwa kufuatilia mambo ya upinzani.
Sasa kama upinzani ni dhaifu si ndio mufurahi mtawale milele hili bandiko ni la nini kama si kutujazia [emoji706] kwenye sever
andamana na babako nyumbani kwenu ili ujinusuru maana lissu alipowambia kuandamana mlinwambia aandamane na watoto wake so na wewe andamana na mamako au babako ujinusuru na ugumu wa maisha.
Kuwaambia Watanzania waandamane wakati wao na familia zao zipo nyumbani kukataa kwa Watanzania kwenye Hili ndio kuwa wajinga?
Eventually CCM will collapsesababu...
1. Vyama pinzani vyote NI dhaifu
2. Viongozi wa vyama pinzani ni walamba asali wazuri.
3. Tanzania bado hatuna chama kikuu Cha upinzani ,hiki kinachojinasibu ni kikuu,ni upotoshaji.
4. Vyama vingi vya upinzani vimekaa kikabila ,na kiukanda,havizingatii umoja wa kitaifa.mf.chadema
5. Viongozi wengi wa vyama pinzani ni wabinafsi/wa roho wa madaraka na watu kujikweza Sana.
6. Walio wengi wanapambania matumbo yao na Mali zao ,na si dhana ya kuchukua dola.
Niwakumbushe, Mwal Nyerere alipoanza harakati za kuchukua dola kutoka kwa wa ingereza, kwanza alianza kutengeneza umoja wa kitaifa, alikataa ukabila/ukanda n.k, lkn pia CCM hii imepitia reform nyingi Sana. Kuna vichama vingi tu Mwalimu Nyerere alipambana na kuviunganisha Hadi leo hii tunaiita CCM.
Nyinyi vyama pinzani acheni kutupotezea muda wetu eti mnataka kuchukua dola [emoji1745][emoji1745]! kiurahisi hivi hivi. Msitupotezee muda wetu bhana. Jifunzeni kutoka kwa mwalimu Nyerere na harakati zake. Kinyume na hapo acheni kutupotezea muda wetu.
Hakuna Cha CHADEMA, Wala NCCR ,Wala sijui chauma, n.k walio na mwelekeo na ndoto za kuchukua dola .ni dhaifu, dhaifu, dhaifu.
Ni kwa namna unavyojibu kila mtu humu Jf unajitoa Sana hupendi kuona Chadema inakosolewa ndio maana nikakuuliza Hilo swali?kwanin mkuu unauliza hivyo
sababu...
1. Vyama pinzani vyote NI dhaifu
2. Viongozi wa vyama pinzani ni walamba asali wazuri.
3. Tanzania bado hatuna chama kikuu Cha upinzani ,hiki kinachojinasibu ni kikuu,ni upotoshaji.
4. Vyama vingi vya upinzani vimekaa kikabila ,na kiukanda,havizingatii umoja wa kitaifa.mf.chadema
5. Viongozi wengi wa vyama pinzani ni wabinafsi/wa roho wa madaraka na watu kujikweza Sana.
6. Walio wengi wanapambania matumbo yao na Mali zao ,na si dhana ya kuchukua dola.
Niwakumbushe, Mwal Nyerere alipoanza harakati za kuchukua dola kutoka kwa wa ingereza, kwanza alianza kutengeneza umoja wa kitaifa, alikataa ukabila/ukanda n.k, lkn pia CCM hii imepitia reform nyingi Sana. Kuna vichama vingi tu Mwalimu Nyerere alipambana na kuviunganisha Hadi leo hii tunaiita CCM.
Nyinyi vyama pinzani acheni kutupotezea muda wetu eti mnataka kuchukua dola [emoji1745][emoji1745]! kiurahisi hivi hivi. Msitupotezee muda wetu bhana. Jifunzeni kutoka kwa mwalimu Nyerere na harakati zake. Kinyume na hapo acheni kutupotezea muda wetu.
Hakuna Cha CHADEMA, Wala NCCR ,Wala sijui chauma, n.k walio na mwelekeo na ndoto za kuchukua dola .ni dhaifu, dhaifu, dhaifu.
Siina cheo chochote mkuu ila wapuuz sitawaacha wapite hivihivi.Ni kwa namna unavyojibu kila mtu humu Jf unajitoa Sana hupendi kuona Chadema inakosolewa ndio maana nikakuuliza Hilo swali?
Acheni kuiba kura zetu...sababu...