sababu...
1. Vyama pinzani vyote NI dhaifu
2. Viongozi wa vyama pinzani ni walamba asali wazuri.
3. Tanzania bado hatuna chama kikuu Cha upinzani ,hiki kinachojinasibu ni kikuu,ni upotoshaji.
4. Vyama vingi vya upinzani vimekaa kikabila ,na kiukanda,havizingatii umoja wa kitaifa.mf.chadema
5. Viongozi wengi wa vyama pinzani ni wabinafsi/wa roho wa madaraka na watu kujikweza Sana.
6. Walio wengi wanapambania matumbo yao na Mali zao ,na si dhana ya kuchukua dola.
Niwakumbushe, Mwal Nyerere alipoanza harakati za kuchukua dola kutoka kwa wa ingereza, kwanza alianza kutengeneza umoja wa kitaifa, alikataa ukabila/ukanda n.k, lkn pia CCM hii imepitia reform nyingi Sana. Kuna vichama vingi tu Mwalimu Nyerere alipambana na kuviunganisha Hadi leo hii tunaiita CCM.
Nyinyi vyama pinzani acheni kutupotezea muda wetu eti mnataka kuchukua dola [emoji1745][emoji1745]! kiurahisi hivi hivi. Msitupotezee muda wetu bhana. Jifunzeni kutoka kwa mwalimu Nyerere na harakati zake. Kinyume na hapo acheni kutupotezea muda wetu.
Hakuna Cha CHADEMA, Wala NCCR ,Wala sijui chauma, n.k walio na mwelekeo na ndoto za kuchukua dola .ni dhaifu, dhaifu, dhaifu.