CCM itaendelea kutawala na kutawala!

CCM itaendelea kutawala na kutawala!

yalishapita hayo mnadai mlifungiwa mmefunguliwa cha kushangaza mmekuwa mazuzu hamna hoja mnajikombakomba tu na hoja hapa ni kwamba hamna upinzani sasa kama mmefunguliwa mko huru tunataka kuwaona sasa mkiwa wapinzani wa kweli na sio CCM B

Punguza unafiki, nenda wewe ukawe mpinzani. Hao wapinzani umewaajiri wewe?. Mmejifungia ndani, mnasubiri Mbowe ndio awa semehe.
 
sababu...

1. Vyama pinzani vyote NI dhaifu

2. Viongozi wa vyama pinzani ni walamba asali wazuri.

3. Tanzania bado hatuna chama kikuu Cha upinzani ,hiki kinachojinasibu ni kikuu,ni upotoshaji.

4. Vyama vingi vya upinzani vimekaa kikabila ,na kiukanda,havizingatii umoja wa kitaifa.mf.chadema

5. Viongozi wengi wa vyama pinzani ni wabinafsi/wa roho wa madaraka na watu kujikweza Sana.

6. Walio wengi wanapambania matumbo yao na Mali zao ,na si dhana ya kuchukua dola.

Niwakumbushe, Mwal Nyerere alipoanza harakati za kuchukua dola kutoka kwa wa ingereza, kwanza alianza kutengeneza umoja wa kitaifa, alikataa ukabila/ukanda n.k, lkn pia CCM hii imepitia reform nyingi Sana. Kuna vichama vingi tu Mwalimu Nyerere alipambana na kuviunganisha Hadi leo hii tunaiita CCM.

Nyinyi vyama pinzani acheni kutupotezea muda wetu eti mnataka kuchukua dola [emoji1745][emoji1745]! kiurahisi hivi hivi. Msitupotezee muda wetu bhana. Jifunzeni kutoka kwa mwalimu Nyerere na harakati zake. Kinyume na hapo acheni kutupotezea muda wetu.

Hakuna Cha CHADEMA, Wala NCCR ,Wala sijui chauma, n.k walio na mwelekeo na ndoto za kuchukua dola .ni dhaifu, dhaifu, dhaifu.
Miaka ya 60 ana 70 hakuna mtu aliyefikiri Ujamaa ungekufa siku moja, lakini ujamaa sasa ni itikadi ya zamani, ni historia. CCM itakuwa historia siku moja! Hata kama CHADEMA haitaua CCM, CCM itajiua yenyewe.
 
Mbona huyo mwamba alipondwa kwenye mkutano mkuu wa CCM , na watu wakashangilia?. Tena alipondwa na Katibu Mkuu mstaafi wa CCM .
sasa unaweza kushindana maneno na unafiki na mswahili kama Katibu mkuu mstaafu wa CCM huoni mpaka alizua taharuki ya kuja kuombewa msamaha kwamba ulimi uliteleza,we vipi bwana.

ingekuwa ni shangilio la heri lisingerekebishwa
 
Hapana, wapinzani wa Tanzania wanapata shida mno kutokana na woga na ujinga wa Watanzania wengi kama wewe.

Wapinzani wenyewe waoga walikimbia nchi hadi simba joel kawaiga ameamua kukimbia nchi
 
kwa hiyo umekubali kuwa chawa wa CCM si ndio

hamna mnachofanya tangu mmekuwa huru kazi yenu ni kuimba mapambio na kuiponda awamu ya 5 sasa subirini 2025 CCM ichukue kila kona sijui mtasema maridhiano au makubaliano mlivyo wajinga

Kwani Sasa hivi CCM ipo na imechukua kila kitu kuanzia ubunge, udiwani na vijiji/mitaa. Lakini baadala muiwajibishe CCM mmekaa mnaleta majungu ya 2025 na kulaumu upinzani. Punguzeni ujinga. Bungeni mmejaza CCM lakini lawama kwa CHADEMA, hiyo ni akili au matope.
 
Punguza unafiki, nenda wewe ukawe mpinzani. Hao wapinzani umewaajiri wewe?. Mmejifungia ndani, mnasubiri Mbowe ndio awa semehe.
mbowe alichagua kuwa mpinzani sasa naapogeuka kuwa mlamba asali hapo ndio panaleta shaka kubwa ya upinzani wa Tanzania.

ningeamua kuwa mpinzani ningekuwa tofauti na wapinzani wa sasa kuanzia mwenyekiti wako mbowe na wengine kama lipumba,hashim rungwe,zitto na yule jamaa wa nccr jina limenitoka.
 
Upinzani kwa sasa haupo
 
mtatoa macho hamtoamini kitakachowatokea maana itakuwa ni zaidi ya kupigwa na kitu kizito kichwani hamna jipya kwa sasa mnarukaruka tu kama bisi zinazokaangwa baada ya kukosa hoja mmekimbilia kwenye bodaboda na vicoba mtasaga lami nakwambia na bado

Yani kwa Sasa CCM Ina majimbo yote bara , CHADEMA haina mbunge, ila unaitishia CHADEMA kuwa 2025 hawatapata chochote. Sasa hapo unatishia au unajishaua.
 
Kazi ya wapinzani wa Tanzania ni kupambana na magufuli hadi kieleweke

Na yeye alipambana na wapinzani mpaka kuwalima risasi na kuwapoteza wengine mpaka leo. Ila mwisho kafa yeye kauacha upinzani.
 
Wapinzani wenyewe waoga walikimbia nchi hadi simba joel kawaiga ameamua kukimbia nchi

Wewe ukioneshwa bastola utakimbia mbioa, mwenzako kalimwa risasi, bado akae bongo Hakuna usalama.
 
mbowe alichagua kuwa mpinzani sasa naapogeuka kuwa mlamba asali hapo ndio panaleta shaka kubwa ya upinzani wa Tanzania.

ningeamua kuwa mpinzani ningekuwa tofauti na wapinzani wa sasa kuanzia mwenyekiti wako mbowe na wengine kama lipumba,hashim rungwe,zitto na yule jamaa wa nccr jina limenitoka.

Asante kwa kukubali kuwa wewe sio mpinzani, stick to CCM , ya upinzani yaache. Utaumiza kichwa bure.
 
sababu...

1. Vyama pinzani vyote NI dhaifu

2. Viongozi wa vyama pinzani ni walamba asali wazuri.

3. Tanzania bado hatuna chama kikuu Cha upinzani ,hiki kinachojinasibu ni kikuu,ni upotoshaji.

4. Vyama vingi vya upinzani vimekaa kikabila ,na kiukanda,havizingatii umoja wa kitaifa.mf.chadema

5. Viongozi wengi wa vyama pinzani ni wabinafsi/wa roho wa madaraka na watu kujikweza Sana.

6. Walio wengi wanapambania matumbo yao na Mali zao ,na si dhana ya kuchukua dola.

Niwakumbushe, Mwal Nyerere alipoanza harakati za kuchukua dola kutoka kwa wa ingereza, kwanza alianza kutengeneza umoja wa kitaifa, alikataa ukabila/ukanda n.k, lkn pia CCM hii imepitia reform nyingi Sana. Kuna vichama vingi tu Mwalimu Nyerere alipambana na kuviunganisha Hadi leo hii tunaiita CCM.

Nyinyi vyama pinzani acheni kutupotezea muda wetu eti mnataka kuchukua dola [emoji1745][emoji1745]! kiurahisi hivi hivi. Msitupotezee muda wetu bhana. Jifunzeni kutoka kwa mwalimu Nyerere na harakati zake. Kinyume na hapo acheni kutupotezea muda wetu.

Hakuna Cha CHADEMA, Wala NCCR ,Wala sijui chauma, n.k walio na mwelekeo na ndoto za kuchukua dola .ni dhaifu, dhaifu, dhaifu.
Na itaendelea kutawaliwa na kutawaliwa
 
kabisa 100%

na wakiambiwa ukweli wanasema tuwe wapinzani tuingie vitani tusimuachie mbowe hahhahhhahahhah wanachekesha kweli

Wewe ni CCM lakini kutwa unasikitika upinzani haupo, tukueleweje. Ulitakiwa kufurahia baadala ya kusikitika.
 
2025 sio mbali endeleeni kujikombakoomba mshindwe hata kuwaeleza wananchi mtawafanyia nini halafu uone dawa itakavyowaingia

sijui hata mtaingia kwa hoja gani,hiyo ya sasa ya kumchafua MWAMBA itawafelisha sana

nawangoja kwa hamu

Inaonekana unaumia Sana kuhusu upinzani. Hapo ndipo napata mashaka Sana, mwana CCM kuomboleza juu ya upinzani.
 
Back
Top Bottom