jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,562
- 25,875
Huo wizi unaoendelea nchini kwasasa si uutaje na uwataje hao wezi wewe mwenyewe?Angalia kauli za wanaojiita wapinzani kwa sasa,wao na hayati Magufuli tu, maovu na wizi unaoendelea nchini kwa sasa hawauoni, wanalamba asali kwerikweri!
Kataa wahuni
Kwanini uwategemee wapinzani na wewe ni ccm ambayo inaunda serikali unayosema inaiba?
Ni wakati wa kupambana na hali zenu.