econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,761
- 41,224
upinzani huu huu unaolamba asali sasa hivi sijawahi kuwa nao kwa hiyo siwezi kuachana nao
Asali ipi?. Hayo ni maneno ya kisiasa. Hakuna Cha asali Wala nini
upinzani huu huu unaolamba asali sasa hivi sijawahi kuwa nao kwa hiyo siwezi kuachana nao
Tanzania hakuna upinzani, kosa wapambane na walioko madarakani wao wanapambana na marehemu
Chadema na ACT gharama za maisha wao haziwahusu, ndio maana huwezi kusikia wanamtetea mtanzania yeyote yule zaid wanapambana na marehemu magufuli
Kazi ya wapinzani wa Tanzania ni kupambana na magufuli hadi kieleweke
Wapinzani wa Tanzania ni wehu kama wehu wengine tu
Kuwaambia Watanzania waandamane wakati wao na familia zao zipo nyumbani kukataa kwa Watanzania kwenye Hili ndio kuwa wajinga?Hapana, wapinzani wa Tanzania wanapata shida mno kutokana na woga na ujinga wa Watanzania wengi kama wewe.
sasa unaweza kushindana maneno na unafiki na mswahili kama Katibu mkuu mstaafu wa CCM huoni mpaka alizua taharuki ya kuja kuombewa msamaha kwamba ulimi uliteleza,we vipi bwana.
ingekuwa ni shangilio la heri lisingerekebishwa
Kuwaambia Watanzania waandamane wakati wao na familia zao zipo nyumbani kukataa kwa Watanzania kwenye Hili ndio kuwa wajinga?
wewe ulienda ? na kama ulienda tupia ushahidi basi ...kutwa kuwasifia wanaume wenzenu humu acheni ufala fanyeni kazi .
sasa uswahili na unafiki wake plus maumivu aliyokuwa nayo wakati ule baada ya mwanae kuliwa kichwa unadhani ulambaji huu wa asali haukumchanganya.Point yangu Ni kwamba alisema kwenye mkutano mkuu ndio maana akaombewa radhi. Sasa Katibu was CCM mstaafu anamponda Magufuli kwenye mkutano mkuu, wewe unashangaa upinzani ambao Magufuli aliuchukia Hadi kudai hatapeleka maendeleo alipochaguliwa mbunge wa upinzani.
Leo hii kuna maandamano Kenya, Afrika Kusini, Nigeri na Tunisia kudai demokrasia, unafuu wa maisha nk. Hizo zote ni nchi zinazoongoza kwa uchumi na maendeleo Afrika yote. Sisi na umaskini wetu na hali ngumu za maisha kuna watu kama wewe wanapendekeza tukae nyumbani tu tusifanye chochote. Kwani wanasiasa na raia wa nchi hizo hawarisk maisha yao? Jiwe aliwaletea woga watanzania kutokana na ukatili wake.Kuwaambia Watanzania waandamane wakati wao na familia zao zipo nyumbani kukataa kwa Watanzania kwenye Hili ndio kuwa wajinga?
Na Magufuli atake asitake ataongezewa muda....sababu...
1. Vyama pinzani vyote NI dhaifu
2. Viongozi wa vyama pinzani ni walamba asali wazuri.
3. Tanzania bado hatuna chama kikuu Cha upinzani ,hiki kinachojinasibu ni kikuu,ni upotoshaji.
4. Vyama vingi vya upinzani vimekaa kikabila ,na kiukanda,havizingatii umoja wa kitaifa.mf.chadema
5. Viongozi wengi wa vyama pinzani ni wabinafsi/wa roho wa madaraka na watu kujikweza Sana.
6. Walio wengi wanapambania matumbo yao na Mali zao ,na si dhana ya kuchukua dola.
Niwakumbushe, Mwal Nyerere alipoanza harakati za kuchukua dola kutoka kwa wa ingereza, kwanza alianza kutengeneza umoja wa kitaifa, alikataa ukabila/ukanda n.k, lkn pia CCM hii imepitia reform nyingi Sana. Kuna vichama vingi tu Mwalimu Nyerere alipambana na kuviunganisha Hadi leo hii tunaiita CCM.
Nyinyi vyama pinzani acheni kutupotezea muda wetu eti mnataka kuchukua dola [emoji1745][emoji1745]! kiurahisi hivi hivi. Msitupotezee muda wetu bhana. Jifunzeni kutoka kwa mwalimu Nyerere na harakati zake. Kinyume na hapo acheni kutupotezea muda wetu.
Hakuna Cha CHADEMA, Wala NCCR ,Wala sijui chauma, n.k walio na mwelekeo na ndoto za kuchukua dola .ni dhaifu, dhaifu, dhaifu.
Una hoja ya msingi ktk hili, but issue ya maridhiano naona weng hawakuitaka kbs je mfano CDM walipaswa waendelee na siasa zilezile za jino kwa na visasi? Maan nakumbuka kipind kile CDM walisemwa san kua wanatafuta vurugu hawaitakii amani nchi yetu!! Sasa wanatakiwa wafanye siasa za aina gan hasa kwa zama hiz za utandawaz tofaut na kipind cha Mwalimu!sababu...
1. Vyama pinzani vyote NI dhaifu
2. Viongozi wa vyama pinzani ni walamba asali wazuri.
3. Tanzania bado hatuna chama kikuu Cha upinzani ,hiki kinachojinasibu ni kikuu,ni upotoshaji.
4. Vyama vingi vya upinzani vimekaa kikabila ,na kiukanda,havizingatii umoja wa kitaifa.mf.chadema
5. Viongozi wengi wa vyama pinzani ni wabinafsi/wa roho wa madaraka na watu kujikweza Sana.
6. Walio wengi wanapambania matumbo yao na Mali zao ,na si dhana ya kuchukua dola.
Niwakumbushe, Mwal Nyerere alipoanza harakati za kuchukua dola kutoka kwa wa ingereza, kwanza alianza kutengeneza umoja wa kitaifa, alikataa ukabila/ukanda n.k, lkn pia CCM hii imepitia reform nyingi Sana. Kuna vichama vingi tu Mwalimu Nyerere alipambana na kuviunganisha Hadi leo hii tunaiita CCM.
Nyinyi vyama pinzani acheni kutupotezea muda wetu eti mnataka kuchukua dola [emoji1745][emoji1745]! kiurahisi hivi hivi. Msitupotezee muda wetu bhana. Jifunzeni kutoka kwa mwalimu Nyerere na harakati zake. Kinyume na hapo acheni kutupotezea muda wetu.
Hakuna Cha CHADEMA, Wala NCCR ,Wala sijui chauma, n.k walio na mwelekeo na ndoto za kuchukua dola .ni dhaifu, dhaifu, dhaifu.
Ngoja nikuulize swali lini umewahi kuona Wapinzani wanawahamasisha wananchi kuandamana kwasababu ya bidhaa kupanda bei? au chochote kinachogusa maisha ya mwananchi wa kawaida?Leo hii kuna maandamano Kenya, Afrika Kusini, Nigeri na Tunisia kudai demokrasia, unafuu wa maisha nk. Hizo zote ni nchi zinazoongoza kwa uchumi na maendeleo Afrika yote. Sisi na umaskini wetu na hali ngumu za maisha kuna watu kama wewe wanapendekeza tukae nyumbani tu tusifanye chochote. Kwani wanasiasa na raia wa nchi hizo hawarisk maisha yao? Jiwe aliwaletea woga watanzania kutokana na ukatili wake.
Hata dictator magufuli akiwa Manyoni alipozuia mikutano mwaka 2016 alikuwa na fikra kama zako kuwa angeifuta chadema matokeo yake akafutika yeye the same to you kwa kuwa ni day light dreamer endelea kuota mchana kweupe na hio milele yako haitakuwepo labda kama unawafariji sukuma gang sawa.Milele ni ones life span, hivyo wewe utakuwa umezaliwa na umeikuta CCM na utakufa utaiacha!. Hiyo ndio milele yako.
P
sio magufuli tu na hata genge lake la sukuma gang.Kazi ya wapinzani wa Tanzania ni kupambana na magufuli hadi kieleweke
waandamane wao wenyewe na mamazao maana wakiambiwa waandamane huwa wanasema waandamane na watoto wao.Ngoja nikuulize swali lini umewahi kuona Wapinzani wanawahamasisha wananchi kuandamana kwasababu ya bidhaa kupanda bei? au chochote kinachogusa maisha ya mwananchi wa kawaida?
sababu...
1. Vyama pinzani vyote NI dhaifu
2. Viongozi wa vyama pinzani ni walamba asali wazuri.
3. Tanzania bado hatuna chama kikuu Cha upinzani ,hiki kinachojinasibu ni kikuu,ni upotoshaji.
4. Vyama vingi vya upinzani vimekaa kikabila ,na kiukanda,havizingatii umoja wa kitaifa.mf.chadema
5. Viongozi wengi wa vyama pinzani ni wabinafsi/wa roho wa madaraka na watu kujikweza Sana.
6. Walio wengi wanapambania matumbo yao na Mali zao ,na si dhana ya kuchukua dola.
Niwakumbushe, Mwal Nyerere alipoanza harakati za kuchukua dola kutoka kwa wa ingereza, kwanza alianza kutengeneza umoja wa kitaifa, alikataa ukabila/ukanda n.k, lkn pia CCM hii imepitia reform nyingi Sana. Kuna vichama vingi tu Mwalimu Nyerere alipambana na kuviunganisha Hadi leo hii tunaiita CCM.
Nyinyi vyama pinzani acheni kutupotezea muda wetu eti mnataka kuchukua dola [emoji1745][emoji1745]! kiurahisi hivi hivi. Msitupotezee muda wetu bhana. Jifunzeni kutoka kwa mwalimu Nyerere na harakati zake. Kinyume na hapo acheni kutupotezea muda wetu.
Hakuna Cha CHADEMA, Wala NCCR ,Wala sijui chauma, n.k walio na mwelekeo na ndoto za kuchukua dola .ni dhaifu, dhaifu, dhaifu.
Na kwasababu hujawahi kuwa nao nenda kaandamane na mamako nyumbani kwenu na sio kuleta hoja za upinzani wakati huwajui na huna ubia nao.upinzani huu huu unaolamba asali sasa hivi sijawahi kuwa nao kwa hiyo siwezi kuachana nao