Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Watakwenda na ulinzi mkali wa JWTZ
hili nalihisi,hapo unazungumzia kiusalama,je sera na porojo watasema zipi,nadhan ndo swali la Bujibuji
Last edited by a moderator:
Watakwenda na ulinzi mkali wa JWTZ
ndo hapo OSOKONI asubiri tu kuangalia mwakan itakuaje??lakin matendo yalotokea kule yamebak akilin mwao,jana nilikoment kuwa even jk akienda mtwara kumnad mgombea wake 2015 atapaswa kujipanga sana ategemee zomeazomea pamoja na kurushiwa makopo,Wamakonde wamesha amua kuwa ccm ni haramu kwao,hakifugiki.wamesema wanaanza na uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka kesho. wanasema yeyote atakae chukua fomu kuomba uongozi kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI basi nyumba yake lazima ichomwe na yeye mwenyewe maisha yake yatakuwa hatarini. kiukweli ccm wana wakati mgumu sana Mtwara mjini, masasi,tandahimba, newala na huko kwa hawa ghasia.
Tena huyo mimi ningekuwa mshauri wake ni bora asije huku Mtwara maana itakuwa balaa kwa jinsi atakavyo bezwa na kuzomewa.kila kona ukipita lawama zote anaelekezewa yeye. watu wana sema haitakii mema Mtwara kwani haiwaingii akilini kwanini zile KM 60 mpaka leo hazijaisha na wala kampuni inayo jenga haija chukuliwa hatua zozote za kushindwa kukamilisha mradi kwa zaidi ya miaka 8ndo hapo OSOKONI asubiri tu kuangalia mwakan itakuaje??lakin matendo yalotokea kule yamebak akilin mwao,jana nilikoment kuwa even jk akienda mtwara kumnad mgombea wake 2015 atapaswa kujipanga sana ategemee zomeazomea pamoja na kurushiwa makopo,
Mh Kikwete ameisha kiri kukabidhi urais kwa CCM 2015.TOT itaongoza, then T-shirt, Kofia, Khanga, safari hii ili kuboresha wataongeza suruali na sketi, then pilao, na wali pombe za kienyeji, na kwa wale wagumu buku tano, Mtwara chaliiii!100% ya kura kwa magamba!
Mkuu sio kweli. Watanzania (sio Mtwara/Lindi pekee) ni wasahaulifu mno, hili litayeyuka tuu ifikapo mwisho wa mwaka huu na mheshimiwa rais atapeta tu huko pindi akitembelea sehemu hizo.ndo hapo OSOKONI asubiri tu kuangalia mwakan itakuaje??lakin matendo yalotokea kule yamebak akilin mwao,jana nilikoment kuwa even jk akienda mtwara kumnad mgombea wake 2015 atapaswa kujipanga sana ategemee zomeazomea pamoja na kurushiwa makopo,
ndo hapo OSOKONI asubiri tu kuangalia mwakan itakuaje??lakin matendo yalotokea kule yamebak akilin mwao,jana nilikoment kuwa even jk akienda mtwara kumnad mgombea wake 2015 atapaswa kujipanga sana ategemee zomeazomea pamoja na kurushiwa makopo,
Hivi CCM wataenda kuomba kura
Mtwara kwa style gani? kwa
bendi ya TOT na bongo flavor au
wataenda wakiwa wabubujikwa
machozi ?
Hivi CCM wataenda kuomba kura
Mtwara kwa style gani? kwa
bendi ya TOT na bongo flavor au
wataenda wakiwa wabubujikwa
machozi ?