CCM inakubali kuendeshwa kihuni

Kama mshana pia umejua kuwa Yupo Mungu,

Na Mungu huyo huongea KUPITIA vinywa vya manabii wake na yanatokea kweli,

Basi tumepiga hatua kubwa.

Note: Pale kitovuni mwa nchi pametanda wingu Zito sana sana. Hili halitatafsiriwa Hadi muda ufike
 
eti zamani nilikuwa namchukulia huyu jamaa kama ds, kumbe nilikuwa chaka
 
Ni porojo tu hapa ..mara dark days mara sijui brother maelekezo ..mara sjui nini bla blah kibao tu ..kila mtu atafute Chaka la kupiga aisaidie familia yake...
Tulidanganywa sana tukaambiwa sisi madivisheni foo hatujui kuchakata CODES.

Sambusa kashata na kabichi July 2025, BOOT KUU, RICE OBA, 2025 katelephone Saa100.

Tegua.
 
britanicca yupo kimkakati kuwafubaza watu humu, kuweni makini nae….

Anategemea taarifa kutoka kwa rafik zake wa TISS walio kwenye ranks ndogo, wasioweza fanya maamuzi yoyote.

Wanamdanganya sanaa
Huyu janja janja.

Ana kazi maalumu ya kutuliza "mizuka" ya watu.

Atakwambia subiri kesho jeshi linachukua nchi, august mambo yameiva, yesu anashuka, nchi imekombolewa.

Kumbe urongo ati.
 
Mbele kuna Giza nene
 
Ukiwa ndani ya CCM ni kitii kila watakachokufanyia - huwezi kuwa na option zaidi ya moja.
 
Alisema japo litachelewa!lakini July july jambo lao litatimia!

Sasa hatujui Kwa press ya jana imekamilishaje jambo lile!!?
Naamini kuna mengi tusioyajua na yaliyo jificha , muda unazidi kuyoyoma
 
Pole sana mkuu, najua hukutegemea meza kupinduliwa kimafia kwa namna mipango ilivyokuwa imesukwa.
Kwa mujibu ya nyuzi zako.
 
kuna bomu la mwisho litatumwa alafu watasambaratika na hawataaminika tena, bomu lenyewe ni lile la chatlle
 
Hiyo ya Kigamboni sababu ni wazi.Maana Hersi ana nasaba na GSM kibiashara.Asingeweza kupitishwa wakati Makonda bado ana ushawishi
 
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/1CFSUqQ1ns/
 
bado takribani mwezi mmoja na nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…