CCM inachekesha sana. Kwamba kusomesha vijana ili wawe Baba lishe na mama lishe ndio vijana watamkubali mama Samia!

CCM inachekesha sana. Kwamba kusomesha vijana ili wawe Baba lishe na mama lishe ndio vijana watamkubali mama Samia!

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Yuko wapi Polepole na yule kijana wa Mbeya ambae alipotea baada ya kulipiwa faini na wanaCHADEMA?

Vpi kuhusu Ufisadi unaoendelea sasa hivi hapa nchini?

Vipi kuhusu CCM mtandao kula keki ya taifa mpala kuvimbiwa?

Leo hii mnadhania kusomesha vijana Veta kuwq mama ntilie ndio CCM itakubalika?
 
1768588515142.jpg
 
Unajua ni kwanini askari wengi hawaoi graduates.. Hawataki kuwa outsmarted!
 
Back
Top Bottom