CCM imepigwa kitu kizito kisogoni

Ccm ina wenyewe nyie MATAGA wa kusifu na kuabudu njooni tudai katiba mpya achana hz buku 7 kwa siku mtaishia kupauka tu
 
Wewe hivi punde TU,siulikuwa unawacheka wapinzani na kuwaombea mabaya ,Sasa kama waliokuwa na msaada ilikuwaje wewe nagenge lenu mkawa mnawahujumu😜
 
Hii nchi wapinzani(chadema) hawapo serious kbsa.. Wenyewe kazi yao ni kubishana twitter..

Siku mbowe akifariki au ikijitoa kabsa chadema.. Itakufa kifo cha mende..
Hii ina uhusiano gani na hii mada? Unataka CDM wapinge mabadiliko ndani ya CCM? Frustrations zako ya maisha yako magumu usiweke hadharani kiasi hiki. Kufa kiume.
 
Naiwaza chadema ya Dr. Slaa ingekuwepo leo hii walikuwa wanabeba majimbo 75%
Ila Hawa wahuni wamerudi baada ya kuua upinzani, kumuua Mkapa, Jiwe, nk...
dr.mihogo yupo ccm sasa tuone 2025 awezeshe ccm ibebe majimbo yote siyo lazima awe chadema
 
Kinga za viongozi kutoshitakiwa ziondolewe haraka sana ili nidhamu ya kauli iwepo na usawa kwa wote.
 
Wewe hivi punde TU,siulikuwa unawacheka wapinzani na kuwaombea mabaya ,Sasa kama waliokuwa na msaada ilikuwaje wewe nagenge lenu mkawa mnawahujumu[emoji12]
Nilikwisha kuambia mimi siangalii mahaba ya chama bali naangalia matendo ya viongozi waliopewa dhamana na kile wanachokifanya kwa wakati husika.

Endelea kufuatilia mada zangu mwisho utanielewa.
commonmwananchi
10101.
 
Hii ina uhusiano gani na hii mada? Unataka CDM wapinge mabadiliko ndani ya CCM? Frustrations zako ya maisha yako magumu usiweke hadharani kiasi hiki. Kufa kiume.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... Nimeongea kuhusu jinsi chadema wanavyopoteza fursa ya kutafuta wafuasi.. Wenyewe wanaendeleza chuki tu..

Then mzee hapa tunashauriana tu... Hatujuani hakuna haja ya chuki na maneno mabovu... Hujui maisha yangu cjui maisha yako
 
Uko sahih kbsa wamerudishwa kimkatat San hawa
Kikao Chao Cha Lindi mzee kikwete ,makamba ,kinana na junior Nape nadhani mama hakuwepo ndo matokeo yakehaya pengine japokua waliita kumbukizi ya hayati mzee nape pale mtama Lindi [emoji38][emoji23][emoji1787][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa hivi ukifurukuta tu Unapolepolewa mpaka unaangukia [emoji1156]. .....
 
Muuza MIHOGO ukimwambia mafuta ya kula yamepanda atakuelewa....! Okay, hivi unaelewa sanduku la kura la CCM ni TISS na Polisi? Kwa mfumo uliopo CCM hawahitaji kura yako hata usipopiga watashinda kwa asilimia 90, Hilo hulijui? Katiba mpya kwanza mfumo wa upigaji kura urudi kwenye uhalisia, vinginevyo, TISS na Polisi watapenyeza kura bandia kwa mabavu chaguzi zote.
 
Kinana,Makamba,Nauye,dah,tumeliwa.Wana CCM tuko wapi?Jamani tunarudi kwenye CCM ile ile ya kimaslahi!?Really.
 
CCM mmewahi kuwa na Rais anayedhibiti bunge ?
 
Pambana na hali yako?
Hii nchi wapinzani(chadema) hawapo serious kbsa.. Wenyewe kazi yao ni kubishana twitter..

Siku mbowe akifariki au ikijitoa kabsa chadema.. Itakufa kifo cha mende..
 
Katiba Mpya
Kuna familia ambazo inabidi tukubaliane kama Taifa zipigwe marufuku kugombea nafasi yoyote ile ya uongozi maana tumeshaona namna walivyo na uchu wa madaraka na kutaka kujibinafsishia hii nchi kama mali binafsi.
 
Hii nchi wapinzani(chadema) hawapo serious kbsa.. Wenyewe kazi yao ni kubishana twitter..

Siku mbowe akifariki au ikijitoa kabsa chadema.. Itakufa kifo cha mende..
Anza Wewe Mkubwa....(ufariki)…...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…