CCM imepigwa kitu kizito kisogoni

CCM imepigwa kitu kizito kisogoni

Ni Suala la muda mfupi ujao, haya niyasemayo yatadhihirika huko site.

CCM ya wanyonge imepigwa kitu kizito na CCM ya wanamtandao.

Hili sio la kuogopa kusema,labda Moderators wanifanyie yao kwa kuuondoa uzi huu.

Ila ukweli utabaki kuwa ukweli.

CCM Kwa hii safu yenu mpya,
mmeingizwa chaka na walewale walioshindwa kulivua gamba na kuiacha ikiwa hoi.

Walewale walioiacha hadi ikaingia ICU.

Hakuna kipindi CCM itaishi kwa unafiki baina ya wanachama wenyewe kwa wenyewe kama sasa.
Maana hata wale makatibu walioanza

Ni vigumu kusema CCM haitagawanyika kuelekea 2025.

CCM mnaweza kubaki na raisi asiye dhibiti bunge la jamhuri.endapo wapinzani watakuwa makini.
Maana wabunge wa CCM kwa 75% ni ngumu kurudi bungeni 2025.

Wapinzani mngekuwa makini,hiki ndio kipindi muhimu.ili mrudi site kujijenga.
Achaneni na kugombana na marehemu JPM.

Tokeni huko mijini mje kuongea lugha ya wapiga kura na kero zao.

CCM hii ya mama na Kinana kwa mtindo huu wa majibu ya jazba kwa wananchi.

Kama tume itasimamia haki...CCM 2025 ni ngumu sana kutoboa.

View attachment 2170598View attachment 2170601
Ccm ina wenyewe nyie MATAGA wa kusifu na kuabudu njooni tudai katiba mpya achana hz buku 7 kwa siku mtaishia kupauka tu
 
Ni Suala la muda mfupi ujao, haya niyasemayo yatadhihirika huko site.

CCM ya wanyonge imepigwa kitu kizito na CCM ya wanamtandao.

Hili sio la kuogopa kusema,labda Moderators wanifanyie yao kwa kuuondoa uzi huu.

Ila ukweli utabaki kuwa ukweli.

CCM Kwa hii safu yenu mpya,
mmeingizwa chaka na walewale walioshindwa kulivua gamba na kuiacha ikiwa hoi.

Walewale walioiacha hadi ikaingia ICU.

Hakuna kipindi CCM itaishi kwa unafiki baina ya wanachama wenyewe kwa wenyewe kama sasa.
Maana hata wale makatibu walioanza

Ni vigumu kusema CCM haitagawanyika kuelekea 2025.

CCM mnaweza kubaki na raisi asiye dhibiti bunge la jamhuri.endapo wapinzani watakuwa makini.
Maana wabunge wa CCM kwa 75% ni ngumu kurudi bungeni 2025.

Wapinzani mngekuwa makini,hiki ndio kipindi muhimu.ili mrudi site kujijenga.
Achaneni na kugombana na marehemu JPM.

Tokeni huko mijini mje kuongea lugha ya wapiga kura na kero zao.

CCM hii ya mama na Kinana kwa mtindo huu wa majibu ya jazba kwa wananchi.

Kama tume itasimamia haki...CCM 2025 ni ngumu sana kutoboa.

View attachment 2170598View attachment 2170601
Wewe hivi punde TU,siulikuwa unawacheka wapinzani na kuwaombea mabaya ,Sasa kama waliokuwa na msaada ilikuwaje wewe nagenge lenu mkawa mnawahujumu😜
 
Hii nchi wapinzani(chadema) hawapo serious kbsa.. Wenyewe kazi yao ni kubishana twitter..

Siku mbowe akifariki au ikijitoa kabsa chadema.. Itakufa kifo cha mende..
Hii ina uhusiano gani na hii mada? Unataka CDM wapinge mabadiliko ndani ya CCM? Frustrations zako ya maisha yako magumu usiweke hadharani kiasi hiki. Kufa kiume.
 
Naiwaza chadema ya Dr. Slaa ingekuwepo leo hii walikuwa wanabeba majimbo 75%
Ila Hawa wahuni wamerudi baada ya kuua upinzani, kumuua Mkapa, Jiwe, nk...
dr.mihogo yupo ccm sasa tuone 2025 awezeshe ccm ibebe majimbo yote siyo lazima awe chadema
 
Kinga za viongozi kutoshitakiwa ziondolewe haraka sana ili nidhamu ya kauli iwepo na usawa kwa wote.
 
Wewe hivi punde TU,siulikuwa unawacheka wapinzani na kuwaombea mabaya ,Sasa kama waliokuwa na msaada ilikuwaje wewe nagenge lenu mkawa mnawahujumu
Nilikwisha kuambia mimi siangalii mahaba ya chama bali naangalia matendo ya viongozi waliopewa dhamana na kile wanachokifanya kwa wakati husika.

Endelea kufuatilia mada zangu mwisho utanielewa.
commonmwananchi
10101.
 
Hii ina uhusiano gani na hii mada? Unataka CDM wapinge mabadiliko ndani ya CCM? Frustrations zako ya maisha yako magumu usiweke hadharani kiasi hiki. Kufa kiume.
.... Nimeongea kuhusu jinsi chadema wanavyopoteza fursa ya kutafuta wafuasi.. Wenyewe wanaendeleza chuki tu..

Then mzee hapa tunashauriana tu... Hatujuani hakuna haja ya chuki na maneno mabovu... Hujui maisha yangu cjui maisha yako
 
IMG-20220331-WA0006.jpg
 
Uko sahih kbsa wamerudishwa kimkatat San hawa
Kikao Chao Cha Lindi mzee kikwete ,makamba ,kinana na junior Nape nadhani mama hakuwepo ndo matokeo yakehaya pengine japokua waliita kumbukizi ya hayati mzee nape pale mtama Lindi
 
Sasa hivi ukifurukuta tu Unapolepolewa mpaka unaangukia . .....
IMG-20220331-WA0018.jpg
 
CDM badilikeni acheni Uanaharakati....!

FANYENI SIASA, tambueni mahitaji halisi ya mlala hoi na jinsi gani ya kusolve..!

2025 ni Kama Kumsukuma Mlevi ...!
Iwe kwa Katiba mpya au hii hii...iwe Kwa Tume mpya au hii hii ...

Muuza mihogo ukimwambia andamana Dai KATIBA Mpya haielewi.

Lakini ukimwambia bei ya mafuta Kukaangia mihogo itashuka ukinichagua ujue umempata..!

Mtu wa Kawaida Ukimwambia 'tozo la miamala' hatuambiwi tena Zimekusanywa shin ngapi ? Na Zinaenda Wapi? Anaelewa. Amkeni Amkeni!

Lile Genge la 'Wahuni' limesusiwa Chama. Mnataka nini tena?
Muuza MIHOGO ukimwambia mafuta ya kula yamepanda atakuelewa....! Okay, hivi unaelewa sanduku la kura la CCM ni TISS na Polisi? Kwa mfumo uliopo CCM hawahitaji kura yako hata usipopiga watashinda kwa asilimia 90, Hilo hulijui? Katiba mpya kwanza mfumo wa upigaji kura urudi kwenye uhalisia, vinginevyo, TISS na Polisi watapenyeza kura bandia kwa mabavu chaguzi zote.
 
Ni Suala la muda mfupi ujao, haya niyasemayo yatadhihirika huko site.

CCM ya wanyonge imepigwa kitu kizito na CCM ya wanamtandao.

Hili sio la kuogopa kusema,labda Moderators wanifanyie yao kwa kuuondoa uzi huu.

Ila ukweli utabaki kuwa ukweli.

CCM Kwa hii safu yenu mpya,
mmeingizwa chaka na walewale walioshindwa kulivua gamba na kuiacha ikiwa hoi.

Walewale walioiacha hadi ikaingia ICU.

Hakuna kipindi CCM itaishi kwa unafiki baina ya wanachama wenyewe kwa wenyewe kama sasa.

Maana hata wale makatibu wa wilaya na mikoa zaidi ya 260 walioanza kupigwa chini na jana pia UVCCM nao walipiga chini kadhaa.nao wanao watu nyuma yao.

Ni vigumu kusema CCM haitagawanyika kuelekea 2025.

CCM mnaweza kubaki na raisi asiye dhibiti bunge la jamhuri.endapo wapinzani watakuwa makini.
Maana wabunge wa CCM kwa 75% ni ngumu kurudi bungeni 2025.

Wapinzani mngekuwa makini,hiki ndio kipindi muhimu.ili mrudi site kujijenga.
Achaneni na kugombana na marehemu JPM.

Tokeni huko mijini mje kuongea lugha ya wapiga kura na kero zao.

CCM hii ya mama na Kinana kwa mtindo huu wa majibu ya jazba kwa wananchi.

Kama tume itasimamia haki...CCM 2025 ni ngumu sana kutoboa.

View attachment 2170598View attachment 2170601
Kinana,Makamba,Nauye,dah,tumeliwa.Wana CCM tuko wapi?Jamani tunarudi kwenye CCM ile ile ya kimaslahi!?Really.
 
CCM mmewahi kuwa na Rais anayedhibiti bunge ?
Ni Suala la muda mfupi ujao, haya niyasemayo yatadhihirika huko site.

CCM ya wanyonge imepigwa kitu kizito na CCM ya wanamtandao.

Hili sio la kuogopa kusema,labda Moderators wanifanyie yao kwa kuuondoa uzi huu.

Ila ukweli utabaki kuwa ukweli.

CCM Kwa hii safu yenu mpya,
mmeingizwa chaka na walewale walioshindwa kulivua gamba na kuiacha ikiwa hoi.

Walewale walioiacha hadi ikaingia ICU.

Hakuna kipindi CCM itaishi kwa unafiki baina ya wanachama wenyewe kwa wenyewe kama sasa.

Maana hata wale makatibu wa wilaya na mikoa zaidi ya 260 walioanza kupigwa chini na jana pia UVCCM nao walipiga chini kadhaa.nao wanao watu nyuma yao.

Ni vigumu kusema CCM haitagawanyika kuelekea 2025.

CCM mnaweza kubaki na raisi asiye dhibiti bunge la jamhuri.endapo wapinzani watakuwa makini.
Maana wabunge wa CCM kwa 75% ni ngumu kurudi bungeni 2025.

Wapinzani mngekuwa makini,hiki ndio kipindi muhimu.ili mrudi site kujijenga.
Achaneni na kugombana na marehemu JPM.

Tokeni huko mijini mje kuongea lugha ya wapiga kura na kero zao.

CCM hii ya mama na Kinana kwa mtindo huu wa majibu ya jazba kwa wananchi.

Kama tume itasimamia haki...CCM 2025 ni ngumu sana kutoboa.

View attachment 2170598View attachment 2170601
 
Pambana na hali yako?
Hii nchi wapinzani(chadema) hawapo serious kbsa.. Wenyewe kazi yao ni kubishana twitter..

Siku mbowe akifariki au ikijitoa kabsa chadema.. Itakufa kifo cha mende..
 
Katiba Mpya
Kuna familia ambazo inabidi tukubaliane kama Taifa zipigwe marufuku kugombea nafasi yoyote ile ya uongozi maana tumeshaona namna walivyo na uchu wa madaraka na kutaka kujibinafsishia hii nchi kama mali binafsi.
 
Hii nchi wapinzani(chadema) hawapo serious kbsa.. Wenyewe kazi yao ni kubishana twitter..

Siku mbowe akifariki au ikijitoa kabsa chadema.. Itakufa kifo cha mende..
Anza Wewe Mkubwa....(ufariki)…...
 
Back
Top Bottom