CCM imepigwa kitu kizito kisogoni

CCM imepigwa kitu kizito kisogoni

CDM badilikeni acheni Uanaharakati....!

FANYENI SIASA, tambueni mahitaji halisi ya mlala hoi na jinsi gani ya kusolve..!

2025 ni Kama Kumsukuma Mlevi ...!
Iwe kwa Katiba mpya au hii hii...iwe Kwa Tume mpya au hii hii ...

Muuza mihogo ukimwambia andamana Dai KATIBA Mpya haielewi.

Lakini ukimwambia bei ya mafuta Kukaangia mihogo itashuka ukinichagua ujue umempata..!

Mtu wa Kawaida Ukimwambia 'tozo la miamala' hatuambiwi tena Zimekusanywa shin ngapi ? Na Zinaenda Wapi? Anaelewa. Amkeni Amkeni!

Lile Genge la 'Wahuni' limesusiwa Chama. Mnataka nini tena?
Ukweli ndio huo...wapinzani wao bado wanagombana na Makaburi.

Huu ndio wakati wa kuja frontier....
 
Nakubaliana na wewe kwamba walioifanya CCM kwenda ICU ndiyo wameeudi Chini ya upole wa mama SSH.
Ccm inaenda kuwa dhaifu lakini si dhaifu kufikia udhaifu wa upinzani.

Wapinzani bado hawajaweza kushawishi wapiga kura.
Wanacheza ngoma ya watawala. Wamekuwa ni kikundi cha kusubiri ccm kafanya nini na ndiyo watoke kusema.

Wapiga kura wanataka kusikia vitu tofauti kutoka kwa wapinzani.
 
Je haiwezekani wakaingia kwa njia ile ile waliyotumia?
  • Kwa kimemo
  • Kwa kuitwa, Nileteeni Fulani?
  • Kwa kutumia Nguvu!
Je nini hasa kitabadilika?
Hii kweli kabisa.
CCM wataendelea kuiba tuu, na vile wana case study ya 2020.
Hawawezi kuthubutu kuruhusu upinzani upate wabunge wengi, ili ujijengee tena.
 
Upinzani sijui wako wapi ... huu ndio ungekua wakati wa ku-push agenda zao,
 
Bibi wa Taifa😁😁😁
 
Watanzania waliokomboa nchi kibao za kusini mwa Afrika wakaenda mpaka Biafra wanashindwa vipi kuikoa nchi yao na ufisadi? Yuko jamaa kaniambia Mchungaji Msigwa alishatoa maana ya uwendawazimu. Nimejaribu kutafuta hiyo maana ya Mh Msigwa sijaipata. Moderators tusaidieni kuiweka hapa kwa ajili ya kunukuu.
 
Watanzania waliokomboa nchi kibao za kusini mwa Afrika wakaenda mpaka Biafra wanashindwa vipi kuikoa nchi ya na ufisadi? Yuko jamaa kaniambia Mchungaji Msigwa alishatoa maana ya uwendawazimu. Nimajaribu kutafuta hiyo maana ya Mh Msigwa sijaipata. Moderators tusaidieni kuiweka hapa kwa ajili ya kunukuu.
KILA mtu ni fisadi sema hatujapata tu nafasi ya kupiga
 
Ccm hii inakwenda kuiimarisha upinzani kama ilivyozoeleka na kama inavyotakiwa kuwa. Wapondaji wataongezeka, watukanaji, wale wa kusema serikali hii ni dhaifu na wale wa nchi hii haina raisi wataongezeka na kuwa wengi. Si kwa sababu hawakuwepo ila ni kwa sababu ccm hii ilipumzishwa kwa muda na sasa imerudi.
 
2025 upinzani njia nyeupe, wasipochukua watapata wabunge wengi sana. Ukitaka kuingia bungeni ni rahisi kupitia upinzani anza sasa mdogo mdogo. 90% ya wabunge wa Magufuli awatorudi tena bungeni 2025.
 
Wewe ni Liquid!

Piere liquid na yule babu wa kisiju mnazi wa yanga wamekuwa moto wa kifuu. Inakuwaje mwanasiasa mahiri kama DR Bashiru anakuwa moto wa kifuu? Katika uongozi wake hakuwa na watu nyuma yake. Atafute Katika hivi vyama vya siasa vilivyoko ahamie huko na baadhi ya waliokuwa nyuma yake ndani ya CCM. Wazalendo wa Taifa mmsaidie kiani kuliokoa taifa hili liwe na mzania wa kisiasa. Bila ya kufanya hivyo Watanzania twafa.
 
Ccm kamwe haitakaa itoke madarakani labda uvunjike yenyewe huu ni ukweli mchungu ambao hamtaki kuusikia

Na ndio maana nimeachaga kupiga kura
 
CDM badilikeni acheni Uanaharakati....!

FANYENI SIASA, tambueni mahitaji halisi ya mlala hoi na jinsi gani ya kusolve..!

2025 ni Kama Kumsukuma Mlevi ...!
Iwe kwa Katiba mpya au hii hii...iwe Kwa Tume mpya au hii hii ...

Muuza mihogo ukimwambia andamana Dai KATIBA Mpya haielewi.

Lakini ukimwambia bei ya mafuta Kukaangia mihogo itashuka ukinichagua ujue umempata..!

Mtu wa Kawaida Ukimwambia 'tozo la miamala' hatuambiwi tena Zimekusanywa shin ngapi ? Na Zinaenda Wapi? Anaelewa. Amkeni Amkeni!

Lile Genge la 'Wahuni' limesusiwa Chama. Mnataka nini tena?
Wakafanyie siasa wapi wewe ma.tacko? Hujui kwamba mikutano ya siasa imefungiwa na CCM? Puumbavu
 
2025 upinzani njia nyeupe, wasipochukua watapata wabunge wengi sana. Ukitaka kuingia bungeni ni rahisi kupitia upinzani anza sasa mdogo mdogo. 90% ya wabunge wa Magufuli awatorudi tena bungeni 2025.
Labda ubunge sawa ila sio nchi
 
Back
Top Bottom