CCM imepigwa kitu kizito kisogoni

CCM imepigwa kitu kizito kisogoni

Ni Suala la muda mfupi ujao, haya niyasemayo yatadhihirika huko site.

CCM ya wanyonge imepigwa kitu kizito na CCM ya wanamtandao.

Hili sio la kuogopa kusema,labda Moderators wanifanyie yao kwa kuuondoa uzi huu.

Ila ukweli utabaki kuwa ukweli.

CCM Kwa hii safu yenu mpya,
mmeingizwa chaka na walewale walioshindwa kulivua gamba na kuiacha ikiwa hoi.

Walewale walioiacha hadi ikaingia ICU.

Hakuna kipindi CCM itaishi kwa unafiki baina ya wanachama wenyewe kwa wenyewe kama sasa.

Maana hata wale makatibu wa wilaya na mikoa zaidi ya 260 walioanza kupigwa chini na jana pia UVCCM nao walipiga chini kadhaa.nao wanao watu nyuma yao.

Ni vigumu kusema CCM haitagawanyika kuelekea 2025.

CCM mnaweza kubaki na raisi asiye dhibiti bunge la jamhuri.endapo wapinzani watakuwa makini.
Maana wabunge wa CCM kwa 75% ni ngumu kurudi bungeni 2025.

Wapinzani mngekuwa makini,hiki ndio kipindi muhimu.ili mrudi site kujijenga.
Achaneni na kugombana na marehemu JPM.

Tokeni huko mijini mje kuongea lugha ya wapiga kura na kero zao.

CCM hii ya mama na Kinana kwa mtindo huu wa majibu ya jazba kwa wananchi.

Kama tume itasimamia haki...CCM 2025 ni ngumu sana kutoboa.

View attachment 2170598View attachment 2170601
 

Lithuania Warned - in Writing!​


Russia has explicitly WARNED Lithuania that unless unrestricted rail passage is restored to the Russian state of Kaliningrad, immediately, "Russia will take action" against Lithuania.
These words were written and handed to the charge d' affaires of Lithuania, who was summoned to the Russian Foreign Ministry to receive the written warning today.
The last time Russia warned a country they had "X" time to do something, was Ukraine. Seven hours after being given that five hour deadline, the Russian Army entered Ukraine by force.

RELATED:

UPDATED 10:27 AM EDT -- Panic Buying in Kaliningrad as Lithuania "Sanctions" Russian Railroad

 
Back
Top Bottom