Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,966
- 51,105
Sijui!!Unayoizungumzia ni CCM au CHADEMA ?
Kwa maana hiyo ni rukumbarukumba!Sijui!!
Wewe housegirl wa Lissu umejuaje mambo ya CCM?Viongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.
Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya anavyoona inafaa ili kujinusuru!
Chama kimetekwa nyara!!
Kahaba hakubaliki hapendwi na wananchi hapendwi hadi ndani ya Chama.Unayoizungumzia ni CCM au CHADEMA ?
HahahViongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.
Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya anavyoona inafaa ili kujinusuru!
Chama kimetekwa nyara!!
walawasishtuke ni imani yangu kuwa kufa kwa ccm ndiyo kupona kwa taifa hili ,hivyo wajikaze waisaidie ccm kufa japo kwa staha.Viongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.
Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya anavyoona inafaa ili kujinusuru!
Chama kimetekwa nyara!!
Viongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.
Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya anavyoona inafaa ili kujinusuru!
Chama kimetekwa nyara!!
Shida ni kuwa UN sii ya majambazi ila hilo lichama ni la majambazi akicheza tu hata yeyeatekwe na kupotezwa.Mimi siamini kwa kweli ya Professor Asha Rose Migiro ameshindwa KUSIMAMIA Chama??? Ana uzoefu wa KUSIMAMIA UN ashindwe Chama???
Hizi porojo bhana
Shida ni kuwa UN sii ya majambazi ila hilo lichama ni la majambazi akicheza tu hata yeyeatekwe na kupotezwa.
Wewe housegirl wa Lissu umejuaje mambo ya CCM?
Viongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.
Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya anavyoona inafaa ili kujinusuru!
Chama kimetekwa nyara!!
UN alikuwa anasimamia ama kuongoza kwa kufuata miongozo iliyopo?Mimi siamini kwa kweli ya Professor Asha Rose Migiro ameshindwa KUSIMAMIA Chama??? Ana uzoefu wa KUSIMAMIA UN ashindwe Chama???
Hizi porojo bhana
tofautisha chama na genge la wahuni ccm ilishajifia kitamboMimi siamini kwa kweli ya Professor Asha Rose Migiro ameshindwa KUSIMAMIA Chama??? Ana uzoefu wa KUSIMAMIA UN ashindwe Chama???
Hizi porojo bhana