CCM imeparaganyika, hofu imetanda ndani yao

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,144
Reaction score
48,369
Viongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.

Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya anavyoona inafaa ili kujinusuru!

Chama kimetekwa nyara!!
 
Wewe housegirl wa Lissu umejuaje mambo ya CCM?
 
Hahah
 
walawasishtuke ni imani yangu kuwa kufa kwa ccm ndiyo kupona kwa taifa hili ,hivyo wajikaze waisaidie ccm kufa japo kwa staha.
 
Viongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.

Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya anavyoona inafaa ili kujinusuru!

Chama kimetekwa nyara!!

Mimi siamini kwa kweli ya Professor Asha Rose Migiro ameshindwa KUSIMAMIA Chama??? Ana uzoefu wa KUSIMAMIA UN ashindwe Chama???

Hizi porojo bhana
 
Wewe housegirl wa Lissu umejuaje mambo ya CCM?
Screenshot_20251211_130737_Facebook.jpg
 
Viongozi wa Ngazi za juu wa chama hicho ni kama wameshikwa na butwaa hawajui wafanye nini kukinusuru chama chao kusambaratika baada ya safu za uongozi ndani ya chama hicho kuparaganyika.

Sasa hivi mambo ndani ya CCM hayafanywi tena kwa kuratibishwa kiuongozi, badala yake kila mtu anafanya anavyoona inafaa ili kujinusuru!

Chama kimetekwa nyara!!

Wiki moja iliyopita nilikuwa naongea na kiongozi mmoja wa mkoa, wa CCM, akawa analalamikia yaliyofanyika, akasema kuwa mauaji hayo yamewafanya wanaCCM kuonekana ni wauaji. Akadai kuwa huko mkoani kwake hawezi kuvaa nguo ya CCM, kwani ukivaa tu, watu wanakunyoshea vidole na kumuita muuaji. Akasema kuwa kama watu wanaamini kuwa wewe ni muuaji, ina maana wanaweza kukufanya chochote.
 
Mimi siamini kwa kweli ya Professor Asha Rose Migiro ameshindwa KUSIMAMIA Chama??? Ana uzoefu wa KUSIMAMIA UN ashindwe Chama???

Hizi porojo bhana
UN alikuwa anasimamia ama kuongoza kwa kufuata miongozo iliyopo?

Chama cha siasa hasa chama dhaifu kama CCM kinachotegemea dola kuendelea kupumua kwenye siasa za Tanzania, siyo rahisi kukiongoza!!
 
Back
Top Bottom