Kwani lazima CCM watawale milele? kwani lazima watuue ili watawale? Last year kabla ya uchaguzi nilikua bariadi niliyoyaskia kuhusu CCM yalinitisha kama ambavyo tena nimeyaskia RADIO WAPO asubuhi kupitia Dr. Slaa kuwa CCM wana-vikundi vya mauaji! Nina uhakika CCM wataleta maafa Tanzania, OMBI langu kwao, waondoke tu kwa amani at least wanetu waione nchi hii kwa macho yao mawili! MUNGU ibariki Tanzania, sipo kwajili ya kubishana ujinga na wajinga!
Hiyo radio inafanana na ile radio ya banyamule ya huko rwanda enzi za geneocide..same owner
Jamaa kumbe anatumiaga hako ka-radio bac balaaa..