visagold
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 327
- 177
Wananchi wazalendo na raia wema wa Tanzania, YADUMU MABADILIKO
Nimekaa nikatafakari kwa hali ya uchaguzi huu chama dola yaan CCM inapata wakat mgumu sana katika kampeni zake. Na hii nlidhan ninkwa miji mikubwa tu ama kwa vijana tuu ila hata wazee vijijin wanawaza kubadilika. Hali hii ni tofauti sana na awamu zilizopita sasa jee binafsi chama tawala kimekukosea nini
1. Ajira
2. Kashfa za Wizi na ufujaji fedha za umma.
3. Miundo mbinu mibovu
4. Ubabe ubabe mwingi katika maamuzi yao ikiwemo maamuzi ya katiba?
5. Uporomokaji wa sekta ya Elimu Tanzania.
6. Uporomokaji wa Thamani ya fedha (Tsh)
7. Kudorora kwa sekta ya afya kwa kukosekana kwa vifaa tiba na hospitali za kutosha nchini.
Unaweza chagua kati ya hizo na kuzichambua haswa kero yako inayosababisha msukumo wa mabadiliko nchini. Pia unaweza ongeza lile ambalo umeona limesahaulika.
Naomba niwasilishe