Kipindi ccm inaanzisha dhana ya kujivua gamba na kuwatosa mafisadi Wenye tuhuma vyama vya upinzani vilikuwa vikikebehi na kudai magamba yameshindwa kuwavuka,lakini hili wimbi la watuhumiwa wa ufisadi kuhamia upinzani na kusafishwa au kusamehewa dhambi za ufisadi wao linatia shaka,wimbo wa wapinzan umegeuka toka kwenye kupinga ufisadi mpaka kuondoa mfumo was ki ccm,kwa lowasa kuingia chadema INA maana mafisadi wenzake wote kama akina karamagi wapo huko kiroho,upinzani umepoteza hoja na kupoteza misingi na uhalisia wake na ndio maana wajuvi kama akina Dr was ukweli Slaa na profesa lipumba wamejiondoa kwenye nyadhifa zao
3Kumbuka unabii aliowahi kuutoa Mwalimu Nyerere kuwa upinzani wa kweli wa kisiasa hapa nchini utatokea baada ya CCM kumeguka vipande vipande.
Huo unabii ndiyo umeanza kutimia kikamilifu mwaka huu, kwa kuwa kinachotokea hivi sasa la wimbi kubwa la makada wakubwa kabisa ndani ya CCM na kujiunga na upinzani ni dhahiri inaonyesha kuwa CCM inameguka vipande vipande.
Hata hivyo siyo kweli kuwa wote wanaotoka CCM ni mafisadi walokubuhu, hebu ipitie listi kama ya akina Lembeli, Esther Bulaya, Ole Madeye na wenyeviti kadhaa wa CCM wa mikoa.
Hata hivyo huyo uliyemtaja Karamagi vyombo vya habari vimemripoti kuwa amejiunga na CUF.
Vile vile ifahamike kuwa kinacholiumiza sana Taifa hili kwa sasa ni mfumo uliolelewa na CCM kwa nyakati hizi wa ufisadi.
Kwa maana hiyo basi hata kwenye vitabu vya dini maandiko yanasema kuwa mtu anayetubu dhambi zake hata kama dhambi zake zilikuwa nyekundu zitatakaswa na kuwa nyeupe kama theluji.
Hlo wimbi la maccm linapoingia Chadema hao watu wanatubu dhambi zao za ufisadi na wanazaliwa upya katika mfumo mpya.
Kwa hiyo lililo la umuhimu kwa Taifa hili kwa sasa ni kuundoa mfumo wa ufisadi wa CCM uliolelewa kwa kipindi kirefu, kupitia sanduku la kura ifikapo Oktoba 25 mwaka huu.
Hivi kuna mtuhumiwa yeyote wa escrow aliyegombea ubunge kwa tiketi ya ccm amedondoshwa? Kweli ccm ni wataalam wa kuandaa mafisadi3
Kama unamquote Nyerere basi kumbuka na haya:
1. Upinzani wa kweli utakuja iwapo ccm itagawanyika: kwa hali iliyopo ccm haiagawanyika ila waroho wa madaraka wameondoka CCM na wamebaki wanachama halisi na ccm imara imebaki.
2. Tangu hao walafi na waroho wa utawala wanatoka ccm Hakuna na wala haijasikika hata mmoja wao aliyetubu dhambi.
3. Nyerere alisema kiongozi bora hutoka ccm, na ni ukweli kabisa Maghufuli ni kiongozi bora na atashinda kwa kishindo maana ametoka kwenye chama kinachoandaa viongozi- still hata huyo Lowasa and et al wameandaliwa CCM, mtoto hawezi shindana na mzazi
4. Upinzani, hauna legacy ya kuandaa viongozi, for over 2 decades CDM, CUF , etc vimeshindwa kuwa na mtu wa kusimama kama mgombea wao na wamekodisha wagombea kutoka CCM
kama ni kweli mzalendo na aliona mapungufu kwa nn asingeikataa mapema na kutoisaini
mbona magufuli aliweza kukataa barabara mbovu mbele ya rais
Hivi kuna mtuhumiwa yeyote wa escrow aliyegombea ubunge kwa tiketi ya ccm amedondoshwa? Kweli ccm ni wataalam wa kuandaa mafisadi
Chenge peke yake ni 15%
Kipindi CCM inaanzisha dhana ya kujivua gamba na kuwatosa mafisadi Wenye tuhuma vyama vya upinzani vilikuwa vikikebehi na kudai magamba yameshindwa kuwavuka.
Lakini hili wimbi la watuhumiwa wa ufisadi kuhamia upinzani na kusafishwa au kusamehewa dhambi za ufisadi wao linatia shaka,wimbo wa wapinzan umegeuka toka kwenye kupinga ufisadi mpaka kuondoa mfumo was ki CCM.
Kwa Lowasa kuingia CHADEMA ina maana mafisadi wenzake wote kama akina Karamagi wapo huko kiroho,upinzani umepoteza hoja na kupoteza misingi na uhalisia wake na ndio maana wajuvi kama akina Dr was ukweli Slaa na profesa Lipumba wamejiondoa kwenye nyadhifa zao.
Kumbuka unabii aliowahi kuutoa Mwalimu Nyerere kuwa upinzani wa kweli wa kisiasa hapa nchini utatokea baada ya CCM kumeguka vipande vipande.
Huo unabii ndiyo umeanza kutimia kikamilifu mwaka huu, kwa kuwa kinachotokea hivi sasa la wimbi kubwa la makada wakubwa kabisa ndani ya CCM na kujiunga na upinzani ni dhahiri inaonyesha kuwa CCM inameguka vipande vipande.
Hata hivyo siyo kweli kuwa wote wanaotoka CCM ni mafisadi walokubuhu, hebu ipitie listi kama ya akina Lembeli, Esther Bulaya, Ole Madeye na wenyeviti kadhaa wa CCM wa mikoa.
Hata hivyo huyo uliyemtaja Karamagi vyombo vya habari vimemripoti kuwa amejiunga na CUF.
Vile vile ifahamike kuwa kinacholiumiza sana Taifa hili kwa sasa ni mfumo uliolelewa na CCM kwa nyakati hizi wa ufisadi.
Kwa maana hiyo basi hata kwenye vitabu vya dini maandiko yanasema kuwa mtu anayetubu dhambi zake hata kama dhambi zake zilikuwa nyekundu zitatakaswa na kuwa nyeupe kama theluji.
Hlo wimbi la maccm linapoingia Chadema hao watu wanatubu dhambi zao za ufisadi na wanazaliwa upya katika mfumo mpya.
Kwa hiyo lililo la umuhimu kwa Taifa hili kwa sasa ni kuundoa mfumo wa ufisadi wa CCM uliolelewa kwa kipindi kirefu, kupitia sanduku la kura ifikapo Oktoba 25 mwaka huu.
Kikwete hakuwa na maslai nazo hizo barabara mbovu, halafu mbona unajifanya kipofu hutaki kuona reality?
CCM ya Kinana ni kiboko ya mafisadi
Wasiokubaliana na utaratibu waondoke-Butiku.Yani hakuna cha kuangalia sura ya mtu,rangi,jinsia,kipato wala cheo..mmesimamia kigezo cha maadili.wasiokua na maadili wamekatwa.safi sana..