Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,027
- 14,921
Tatzo mmekosea target ya kujisafisha you are not in a right time.....
Muda haupo upande wa ccm
Muda haupo upande wa ccm
CCM ya Kinana ni kiboko ya mafisadi
Yani hakuna cha kuangalia sura ya mtu,rangi,jinsia,kipato wala cheo..mmesimamia kigezo cha maadili.wasiokua na maadili wamekatwa.safi sana..
Annael wewe si ndio muumini mkubwa wa falsafa ya hakuna Mungu??
Wewe si ndio wajifanya hakuna Yesu...Mungu wala kiyama wala utakaso??
Kitu gani umeandika hapo?? unakumbuka kwenye nyuzi zako nimewahi kukwambia wewe ni mpuuzi tu kama wengine??
Ha ha yaani CCM ndo imefikia kuwatumia watu kama nyinyi wenye mafundisho ya kishetani kuwatetea?? ndio maana CCM inafanyia ukatili wakutisha raia zake coz inaongozwa na kutetewa na watu wenye mrengo wa shetani kama wewe....
Kama ni huo utakaso waambie CCM wafukuze watu hawa wafuatao....
1. Jakaya Mrisho Kikwete (ESCROW...RICHMOND)
2.Benjamin William Mkapa (EPA...NBC....TANGOLD...MEREMETA)
3.Abdulrahman Kinana (ujangili wa pembe za ndovu)
4.Benard Membe (mabilioni ya gaddafi)
5. Anna Tibaijuka (ESCROW)
6.Mhongo (ESCROW)
Wapo wengi sana ambao nyie vidampa mmezibwa macho kuwaona fukuzeni hao tuone utakaso ukikamilika Kima wewe....
Wasiokubaliana na utaratibu waondoke-Butiku.