CCM imeanza kuzaliwa upya na kutakaswa

CCM imeanza kuzaliwa upya na kutakaswa

Annael wewe si ndio muumini mkubwa wa falsafa ya hakuna Mungu??

Wewe si ndio wajifanya hakuna Yesu...Mungu wala kiyama wala utakaso??

Kitu gani umeandika hapo?? unakumbuka kwenye nyuzi zako nimewahi kukwambia wewe ni mpuuzi tu kama wengine??

Ha ha yaani CCM ndo imefikia kuwatumia watu kama nyinyi wenye mafundisho ya kishetani kuwatetea?? ndio maana CCM inafanyia ukatili wakutisha raia zake coz inaongozwa na kutetewa na watu wenye mrengo wa shetani kama wewe....

Kama ni huo utakaso waambie CCM wafukuze watu hawa wafuatao....

1. Jakaya Mrisho Kikwete (ESCROW...RICHMOND)

2.Benjamin William Mkapa (EPA...NBC....TANGOLD...MEREMETA)

3.Abdulrahman Kinana (ujangili wa pembe za ndovu)

4.Benard Membe (mabilioni ya gaddafi)

5. Anna Tibaijuka (ESCROW)

6.Mhongo (ESCROW)

Wapo wengi sana ambao nyie vidampa mmezibwa macho kuwaona fukuzeni hao tuone utakaso ukikamilika Kima wewe....

Kama una ushahidi peleka mahakamani
 
Last edited by a moderator:
MNA haki ya kujifariji hali no tete nilitegemea kuimalika in pamoja Na watu kuhamia CCM sasa wanatoka
 
MNA haki ya kujifariji hali no tete nilitegemea kuimalika in pamoja Na watu kuhamia CCM sasa wanatoka

Ahadi hewa. Tuamkee
 

Attachments

  • 1440746645179.jpg
    1440746645179.jpg
    22.1 KB · Views: 116
Back
Top Bottom