Nina wahakikishieni vyama vya upinzani hususana vinavyounda UKAWA kama mtang'ang'ania mwaka huu. Nina uhakika mwaka 2016 mtaanza "0" na kujakuyafikia aghalau mafanikio mliyoyapata mika 20+ itawachukua miongo mingi au mnaweza mkapotea kabisa na kuwakatisha wananchi juua ya vyama vya upinzani.
Tofauti kubwa sana iliyopo kati ya CCM na vyama vingine ni kuwa CCM haiwezi kununuliwa na mtu.
Kuna vyama vimenunuliwa na vimeuza nafasi za kugombea urais, jambo ambalo CCM ililikataa ikamkata mtu anayetaka kununua ikulu.
Ikulu sio biashara...
Nimeshakuambia jana ulitudanganya baada ya KOMBAJR kukupa za uso ukatokomea na mume wako tusikokujua leo unakuja na uongo mwingine sisi tutakuamini vipi?Wewe vipi? Unamatatizo "Nilishakuambia mimi sio dada. Nakuomba uwe na heshima. Nenda kwenye jukwa la jocks, hapa tunaongea siasa. Nenda ukaprove wrong hiyo thread yangu ya jana sio hapa wengine hawaijui.
Mkuu hapo umemsahau nyoka mwenye makengeza(Chenge) alipiga zote izo, ila kura za maoni bado yupo anadunda sjui hyo ccm ya mafisadi imebadilikia wapi. ccm ni pango la wezi,mafisadi,wachawi,wanafk,wapiga deal,maharamia,na wauza madawa ya kulevya.
Annael wewe si ndio muumini mkubwa wa falsafa ya hakuna Mungu??
Wewe si ndio wajifanya hakuna Yesu...Mungu wala kiyama wala utakaso??
Kitu gani umeandika hapo?? unakumbuka kwenye nyuzi zako nimewahi kukwambia wewe ni mpuuzi tu kama wengine??
Ha ha yaani CCM ndo imefikia kuwatumia watu kama nyinyi wenye mafundisho ya kishetani kuwatetea?? ndio maana CCM inafanyia ukatili wakutisha raia zake coz inaongozwa na kutetewa na watu wenye mrengo wa shetani kama wewe....
Kama ni huo utakaso waambie CCM wafukuze watu hawa wafuatao....
1. Jakaya Mrisho Kikwete (ESCROW...RICHMOND)
2.Benjamin William Mkapa (EPA...NBC....TANGOLD...MEREMETA)
3.Abdulrahman Kinana (ujangili wa pembe za ndovu)
4.Benard Membe (mabilioni ya gaddafi)
5. Anna Tibaijuka (ESCROW)
6.Mhongo (ESCROW)
Wapo wengi sana ambao nyie vidampa mmezibwa macho kuwaona fukuzeni hao tuone utakaso ukikamilika Kima wewe....