CCM imeanza kuzaliwa upya na kutakaswa

CCM imeanza kuzaliwa upya na kutakaswa

Serikali ya ccm majanga wezi mafisadi mnaacha tuu yaondoke yenyewe nyie hamna shida nayo madamu yameondoka mmebaki safi hakuna cha ziada wala sheria aifuatwi!!! Kweli nimeamini ccm kumeoza ndo mwenyekiti aliwahi kuomba wezi warudishe tuu walichoiba basi hakuna kufuata sheria tena kulindana tuu sasa siku zenu za kulindana zinaelekea ukingoni...
 
Kipindi ccm inaanzisha dhana ya kujivua gamba na kuwatosa mafisadi Wenye tuhuma vyama vya upinzani vilikuwa vikikebehi na kudai magamba yameshindwa kuwavuka,lakini hili wimbi la watuhumiwa wa ufisadi kuhamia upinzani na kusafishwa au kusamehewa dhambi za ufisadi wao linatia shaka,wimbo wa wapinzan umegeuka toka kwenye kupinga ufisadi mpaka kuondoa mfumo was ki ccm,kwa lowasa kuingia chadema INA maana mafisadi wenzake wote kama akina karamagi wapo huko kiroho,upinzani umepoteza hoja na kupoteza misingi na uhalisia wake na ndio maana wajuvi kama akina Dr was ukweli Slaa na profesa lipumba wamejiondoa kwenye nyadhifa zao
Kwa hiyo rushwa imekwisha huko CCM?
 
Bora hata lowasa kupitisha Mkataba wa Richmond ilikuwa ni amri ktoka juu kutoka juu kama, Jana Lowasa kazuiliwa na polisi upareni kwenda kumzika mzee Kisumo wakisema ni amri kutoka juu, so anayepokea amri kutoka juu hana hatia hata police tuwasameheni tu maana wanapokea amri kutoka juu!!!! Hii ndiyo Tanzania mamlaka ya juu imekuwa dictator kama Adolf Hitler!!
 
tibaijuka,chenge, ngeleja,january,rizwani, jk , rugemalira, rutabanzibwa, nyalandu,
 
Gamba kuu limevuka bado vigamba vidogo kama bashe,Sofia simba,zungu Wa Ilala,peter serukamba ,yani waondoke hata asubuhi hii tujenge chama
 
  • Thanks
Reactions: bdo
Joka Makengeza likijivua gamba ndo nitaanza kuona unafuu...Otherwise ni danganya toto tu!
 
katika ile list of shame. ndani ya ccm bado kuna watuhumiwa wa ufisadi 10..
 
CCM yenyewe ndilo gamba lenyewe ambalo limeanza kukimbiwa na wanachama walioanza kujitambua,ndio maana walishindwa kuwavua magamba wanachama wake ndani ya 90 kama walivyoahidi kwa kuwa CCM ndilo gamba lenyewe linalotakiwa kuondolewa.
 
Ccm wote ni magamba/mafisadi labda chama isiwepo katika uso wa dunia
 
"Amri ya kuzuia mkataba wa Richmond usivunjwe ilitoka juu" By E.N. Lowassa

kama ni kweli mzalendo na aliona mapungufu kwa nn asingeikataa mapema na kutoisaini
mbona magufuli aliweza kukataa barabara mbovu mbele ya rais
 
Back
Top Bottom