CCM ilivyomfanyia unyama Mbunge Rose Kamili Iringa

CCM ilivyomfanyia unyama Mbunge Rose Kamili Iringa

Huu ni upambavu mkubwa uliofanywa na CCM, na ni wapumbavu tuu wanaoweza kushabikia upumbavu huu.Kama alikuwa anatoa rushwa mbona hao takukuru wameshindwa kuthibitisha kuwa mama wa watu alikuwa anatoa RUSHWA??????.
 
Hawa siyo watu wa kuaminika;
Wanayaanza wenyewe halafu wanabaki kulia lia tu;

Ni kwa vipi aliweza kujitenga na wenzie,
Kuna mengine ambayo hapendi kuyaweka wazi.

Rangi nyeusi ya udongo ni ishara ya mnato lakini ndivyo sivyo kafugie samaki na vyura maana wao hupenda kuishi kwenye madimbwi ....kitu zaidi ya masika ni kunyesha tu ....changanya na kutuama kwa maji na mchanganyiko wa takataka zinazo zama huko kwenye dimbwi.....ukipita karibu lazima utapike kama si kuharisha ......

Fasihi tata gambazee giza tu hapa...


 
Mkuu kazi ya kichwa sio kufugia nywele tu, fikirisha ubongo wako....nimesema nimesikitishwa sana kwa kichapo alichopewa huyu mtoa rushwa!! ila, liwe fundisho kwa wabunge wengine wenye lengo kama hili, kwa nini uwanunue watu kwa vijipesa vyako? 350,000 ni pesa nyingi sana kwa vijijini.

350,000 ni pesa nyingi sana vijijini! Kuwen Fair kwa nini mnamtetea Muhalifu? yaani mtu atoe rushwa achekewe? Kha!!

Mtashangiria sana na kutoa maneno ya kashfa kwa haya yaliyomkuta huyu mama lakini Tambua siku kibao kikigeuka mtatafuta pa kutokea si mnajifanya kuwa jeuli kutokana na kauli ya Mwenyekiti wenu.
 
Mm nachouliza cdm wamekosa kabisa suluhu ya hii kitu..kabisa yaani..nasari sasa kamili
 
Je,una mzazi?Umezaliwa na MWANAMKE kweli,tuache UVYAMA kilichotokea hata IBILISI hawezi kukitenda.

Wanawake wanaojiheshim ambao ni mamazetu hawashabikii siasa sa kipumbavu kama za chadema. Ushawahi kusikia mbunge yoyote wa kike msomi wa chadema kafanyiwa huo upuuzi. Wangeliua kabisa hilo changu. Nxt tym ajichunge
 
Mtashangiria sana na kutoa maneno ya kashfa kwa haya yaliyomkuta huyu mama lakini Tambua siku kibao kikigeuka mtatafuta pa kutokea si mnajifanya kuwa jeuli kutokana na kauli ya Mwenyekiti wenu.

Usipe daraja la heshima kumwita huyo mama huyo ni jinga jike linatumiwa bila kujijua. Anafikiri kwa kuwa kimegeo cha padri slaa watu watamuogopa. Rushwa ni adui wa haki wangemwadhib tuu ili nxt tym asirudie
 
Halafu bado tunajiona tu amani????
Mwenyenzi Mungu ampe kupona haraka!

Mwisho wa udhalimu wa ccm waja tu!
 
Hivi siku hizi taarifa za watoa rushwa zinapelekwa CCM au TAKUKURU? Ni kwa vipi kama ni kweli alikuwa anatoa rushwa, TAKUKURU ambao ndio kazi yao hawakujulishwa? Maswali ni mengi...
 
Hawa siyo watu wa kuaminika
Wanayaanza wenyewe halafu wanabaki kulia lia tu;

Ni kwa vipi aliweza kujitenga na wenzie,
Kuna mengine ambayo hapendi kuyaweka wazi.[/QUOTE
Kwani waliambiwa watembee kimakundi? Hivi kulikuwa na hali ya hatari iliyotangazwa Kalenga?
 
Wanawake wanaojiheshim ambao ni mamazetu hawashabikii siasa sa kipumbavu kama za chadema. Ushawahi kusikia mbunge yoyote wa kike msomi wa chadema kafanyiwa huo upuuzi. Wangeliua kabisa hilo changu. Nxt tym ajichunge

Kwa hiyo wanawake hawastahili kuwa wanasiasa?Na wale wanawake walioko CCM mbona hamuwaiti Machangu?Ina maana ukiwa chama cha UPINZANI ubinadamu wa mtu unaisha?Hebu fikiria Mama yako,mkeo au Dada yako afanyiwe hayo,utamwita CHANGU?Umzimza kabisa kichani kwako,kwamba sababu ni Mbungu wa CDM basi haki ya kuishi hana.Unatia kinyaa.Sidhani kama UBINDAMU wewe.
 
Khaa!! pauni 500 Kalenga? Are you siriaz?? za nini? Ngoja tusubiri ripoti kwanza
 
Makamanda, kama polisi haichukui hatua kuwakamata na kuwafikisha mbele ya sheria wahusika wote basi, ni halali kumfanyia jesca au mbunge yeyote wa ccm hayo hayo, komaeni makamanda!
 
Nalaani kitendo cha kumkanyaga bibi wa watu sehemu za siri hasa ukizingatia sehemu hizo alikuwa anapumzika padre Slaa.

una uhakika kwamba alikanyagwa sehemu hizo, kwani vipimo vinaeleza hivyo au ndio habari za kuambiwa ??
 
una uhakika kwamba alikanyagwa sehemu hizo, kwani vipimo vinaeleza hivyo au ndio habari za kuambiwa ??

Ungesoma tu huu uzi hapo juu usingetokwa na povu hivyo. Kipimo cha nini kwani yeye hajui sehemu zake za siri zipo wapi?
 
Hilo jeshi la MaCCM Green Guard lipo kikatiba??
Katiba ieleze wazi majeshi yetu ni yepi na muundo wake ukoje??
Wacheni kuunda vikundi vya wauwaji, tutauwana bure TZ, tuwe na hekima na busara!!
 
By wa hapahapa una uhakika kwamba alikanyagwa sehemu hizo, kwani vipimo vinaeleza hivyo au ndio habari za kuambiwa ??
REPLY

Ungesoma tu huu uzi hapo juu usingetokwa na povu hivyo. Kipimo cha nini kwani yeye hajui sehemu zake za siri zipo wapi?


MNANIFANYA NAKUWA KICHAA NACHEKA MWENYEWE NA COMPUTER
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom