CCM ilivyomfanyia unyama Mbunge Rose Kamili Iringa

CCM ilivyomfanyia unyama Mbunge Rose Kamili Iringa

Vyama vya upinzani tz vijitahidi ktk kuimarisha namna ya kujilinda maanayake hakuna wakuweza kuwasaidia suala hilo!
 
......................... and some CCM bastards make it funny at the cost of humanity. You will feel the wrath of the payback.
 
Tz taratibu watu wanaanza kuwa WANYAMA; enzi za Mwalimu mambo haya hayakuwepo kabbisa! hukumu hizi zitakuja kunoga pale zitakapo hamia kwa wahujumu uchumi!
 
Mkuu wa kaya si aliaagiza wana magamba waache unyonge?
 
Na nyie Chadema bana come on! Yaani kwenye sekeseke mnawaachia wamama watu wazima halafu vijana mnakimbia.

Nilitegemea hayo yamkute Kamanda Lema
 
ccm ni chama wahuni na washenzi wakubwa huyu mama hakika hayo machozi yaliyomwagika wote walio husika na huo unyama MUNGU atawahukumu
 
Kwa hiyo Mamndenyi utajisikia vizuri hata wewe ukijitenga na wenzio wakukabili tu!

Hivi nchi gani mnaileta Tanzania...? Mnadhani CCM itakuwepo milele?

Akili za JK zitawapotezea dira na muelekeo enyi watu!

Hawa siyo watu wa kuaminika;
Wanayaanza wenyewe halafu wanabaki kulia lia tu;

Ni kwa vipi aliweza kujitenga na wenzie,
Kuna mengine ambayo hapendi kuyaweka wazi.
 
Rose Kamili, alitekwa ili awe kama 'dhabihu' wanachadema waache kufuatilia uchaguzi ili ccm wapate muda wa kuhujumu Uchaguzi, walianza kwa kutoa fomu za uwakala zisizo na Mihuri, wakashtukiwa baada ya Muda fomu zikagongwa mihuri, wakaja na hoja ya kuzuia Helcopta, hoja ikaonekana haina mashiko ikatupwa. wakaona bora wamteke Rose kamili kwa tuhuma za kutunga na pia wampige na wamdhalilishe tena wampeleke kwenye Ofisi ya CCM na sio Polisi, Sisi wote ni Watanzania na hatupaswi kufika huko sisi wote tuna mikono kama mliyo nayo ninyi... Silaha zinapatikana kwa wingi na kila aina... Serikali kama haitaki vyama vingi iseme na ifute kwa kweli uvumilivu una kikomo tusijefikia hatua ya ukomo.. Rwanda walivumilia mivutano kama hii walipofika ukomo waliuana maelfu... Jamani tusifike huko
 
Hawa siyo watu wa kuaminika;
Wanayaanza wenyewe halafu wanabaki kulia lia tu;

Ni kwa vipi aliweza kujitenga na wenzie,
Kuna mengine ambayo hapendi kuyaweka wazi.
hivi wewe ni dume au jike -- maana huna huruma ya ki-ubinadamu hata kidogo - mwanamke kutekwa na midume 13 huku akitishiwa uhai eti unasema kujifanyisha - kweli duniani kuna viumbe na binadamu
 
kikwete ni kiongozi dhullumat aliyewHi kutokra kwenye nchi yetu tangia aruhusu mauaji ya akina ulimbokamwangosi kibanda na wslewa arushanilijia kuna siku atafanya mabaya zaifi ya haya
 
Hakuna kitu hapo fix tu alafu we mama mbona babu hajafika kukuona kulikoni?
 
Kama kweli yamefanyika poa tu mkuu wa wilaya alifanyiwa vitendo vya udhalilishaji na vijana wa cdm mbona haikuwauma au mkuki kwa kuruwe? Hembu mwenye kumbukumbu ya DC atupie hapa fasta
 
Ubaya tu ni kuwa kesi hizi huwa hazifiki mwisho tukaujua ukweli...
 
mambo mengine tuwaachie wenyewe wayamalize
mana kila kukicha linazuka jipya itafikia mahali
watu wanatoana :nod::nod::nod:
 
Hawa siyo watu wa kuaminika;
Wanayaanza wenyewe halafu wanabaki kulia lia tu;

Ni kwa vipi aliweza kujitenga na wenzie,
Kuna mengine ambayo hapendi kuyaweka wazi.


RPC amesema walipewa ulinzi kwa kila chama ila huyu mama "AKACHEPUKA" ndo matokeo yake haya!! CDM wanamdharirisha huyu mama kusema eti akibakwa!! ni tusi kubwa sana kwa mama mtu mzima, "mke" wa kiongozi wao, ilikuwa wapi kamati ya ulinzi kushindwa kumlinda wife wa Boss? mpaka "anatekwa" na MACCM?....
 
Yetu macho,huwezi kumfanyia mwenzako unyama halafu ikapita hivi hivi,,majibu yakeke yatasikika muda sio mrefu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom