Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,556
- 1,394
I wouldn't put this past ccm. It is not beyond them.
Mwenyekiti wao kasema wazi kwamba Kamati Kuu ya ccm ilizungumzia swala la fujo na wakaamua kuwahimiza vijana wao wawapige wapinzani.
Watu wenye historia ya kutoa watu meno bila ganzi, na hata kucha, wenye Waziri Mkuu anayehimiza "wapigwe tu", watashindwa kuteka, kupiga na kudhalilisha wapinzani wao wakati wa uchaguzi? Jibu ni hapana!
Just imagine: polisi wamesema walipokea malalamiko ya mbunge kutoa rushwa, na malalamiko ya mbunge kutekwa na kuteswa wakati huo huo, na wakatajiwa watekaji, kisha wakamkamata tu mbunge na kuwaacha watekaji wake huru.
We are being governed by criminals.