Hawa siyo watu wa kuaminika;
Wanayaanza wenyewe halafu wanabaki kulia lia tu;
Ni kwa vipi aliweza kujitenga na wenzie,
Kuna mengine ambayo hapendi kuyaweka wazi.
huna akili wewe! Mbwa kasoro mkia
Hawa siyo watu wa kuaminika;
Wanayaanza wenyewe halafu wanabaki kulia lia tu;
Ni kwa vipi aliweza kujitenga na wenzie,
Kuna mengine ambayo hapendi kuyaweka wazi.
Ni vema upumb.avu wako ukauweka pembeni NYAU we!! 350,000/- na pound 500 ndio alizokuwa akitoa rushwa? dhambi hii mnayoifanya haita waacha na malipo yatatokea soon libunge lenu limoja lazima life tena.
Nampa pole ila atambue kuwa Mtoa rushwa ni adui mkubwa sana tusiwaonee huruma hata kidogo!
Hakuna cha hasira hapo walikuwa wanatekeleza amri za wakuu wao.
laki tatu unusu utawapa watu wangapi ? Kwa faida yako tu ni kwamba kila ubaya utalipwa ! Maana tunayo majina na anuani za wahusika wote .
Mkuu kazi ya kichwa sio kufugia nywele tu, fikirisha ubongo wako....nimesema nimesikitishwa sana kwa kichapo alichopewa huyu mtoa rushwa!! ila, liwe fundisho kwa wabunge wengine wenye lengo kama hili, kwa nini uwanunue watu kwa vijipesa vyako? 350,000 ni pesa nyingi sana kwa vijijini.
Hawa siyo watu wa kuaminika;
Wanayaanza wenyewe halafu wanabaki kulia lia tu;
Ni kwa vipi aliweza kujitenga na wenzie,
Kuna mengine ambayo hapendi kuyaweka wazi.
Nalaani kitendo cha kumkanyaga bibi wa watu sehemu za siri hasa ukizingatia sehemu hizo alikuwa anapumzika padre Slaa.
Kuna siku tutalipiza kisasi, Ipo siku inakuja, uvumilivu una mipaka yake mbona.......
we nduka wewe
Mamndenyi una roho ngumu sana dada yangu, humuonei huruma mwanamke mwenzio? Wanawake mna safari ndefu sana katika nchi hii. Sikutegemea kabisaHawa siyo watu wa kuaminika;
Wanayaanza wenyewe halafu wanabaki kulia lia tu;
Ni kwa vipi aliweza kujitenga na wenzie,
Kuna mengine ambayo hapendi kuyaweka wazi.
Hawa siyo watu wa kuaminika;
Wanayaanza wenyewe halafu wanabaki kulia lia tu;
Ni kwa vipi aliweza kujitenga na wenzie,
Kuna mengine ambayo hapendi kuyaweka wazi.
Ngoja wakukanyage na wewe lakini kwa maumbile yako buti litazamaHawa siyo watu wa kuaminika;
Wanayaanza wenyewe halafu wanabaki kulia lia tu;
Ni kwa vipi aliweza kujitenga na wenzie,
Kuna mengine ambayo hapendi kuyaweka wazi.
Hawa siyo watu wa kuaminika;
Wanayaanza wenyewe halafu wanabaki kulia lia tu;
Ni kwa vipi aliweza kujitenga na wenzie,
Kuna mengine ambayo hapendi kuyaweka wazi.
cdm mnaogopa kuwatumia redbrigade!? mda umefika sasa vikosi viimarishwe vya redbrigade..km mbwai bwai