CCM iache kutumia siasa kwenye nyumba za ibada

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
23,251
Reaction score
28,406
Tumeshuhudia Abduli akiahidi kitita cha mchango wake kukarabati kanisa! Abduli mwanasiasa wa chini ya zulia amejijengea umaarufu wa kugawa vitita vya fedha hadharani huku wengi wetu hatujui biashara znayofanya zaidi ya kujua mtoto wa mama.

Viongozi wa CCM ndio huajialika harakaharaka kwenye misiba hasa makanisani ili wavune wapigakura! Tabia hii si nzuri mbele ya mwenyezi Mungu waiache.
 
🫵👉💐💐💐💐💐💐🌸🌸
 
Back
Top Bottom