CCM hamuwezi kushindana na Teknolojia

CCM hamuwezi kushindana na Teknolojia

Marekani hawafungii mitandao hovyo lazima wawe na sababu muhimu sio kufungia ili waue raia wake.

Kwa China sielewi maana wao ni role model wetu na udikteta tumejifunzia kwao.
kuna nchi inaongoza kwa kufungia mitandao kama marekani, from as simple as financial websites kama binance mpaka website za whistle blowing! kufungia ni vitu vya kawaida ndugu mhalifu
 
Naziona juhudi za CCM kupambana na watu wanaotumia mitandao ya kijamii kukikosoa chama hicho.

China nchi ambayo CCM wanajibaraguza kuwa wanafuata mfano wake, hawazimi mitandao bali huwapa wachina mbadala wa kile wanachozuia wasitumie.

Sasa CCM wanazima TikTok, Whatsapp, YouTube na Twitter bila ya kuwa na mbadala wake.

CCM ijue kuwa haiwezi kushindana kwenye zama hizi za teknolojia janja (Smart technology) kwa kutumia mifumo ya analojia kama vile kuteka au kukamata watu wanaoikosoa mitandaoni.

Jifunzeni imekuwaje No reforms No Election iliishinda Kampeni yenu ya Oktoba tunatiki.
NAAMINI HII NI FURSA KWA VIJANA WETU WA ICT KUJA NA MBADALA WA MITANDAO YA KIJAMII YENYE MAUDHUI YA KITANZANIA.
makonda ATALIWEKA SAWA HILI
 
Back
Top Bottom