CCM hamuwezi kushindana na Teknolojia

CCM hamuwezi kushindana na Teknolojia

Ilishinda vip na uchaguzi ulifanyika na Rais tunae?? lengo lilikua ni kuzuia uchaguzi kama ntakua sijakosea
Kwa taarifa yako lengo la kuzuia uchaguzi ule lilifanikiwa kwa 70%+, ni bahati tu watu walicheleww kuanza. Na safari hii watu wakisema uchaguzi haufanyiki hautafanyika kweli, maana hata polisi na jeshi wakitokea barabaraani, bado wapiga kura wataogopa kujitokeza, kwani wanajua watachomewa kwenye vituo vya kura, ama hata kuuwawa kwenye hilo kasheshe. Kwa sasa tunajiandaa kwa maandamano wakati wa michuoano ya AFCON iwapo mchakato wa katiba mpya utakuwa haujaanza.
 
Matatizo ya kujaza mavi kichwani badala ya akili
 
Naziona juhudi za CCM kupambana na watu wanaotumia mitandao ya kijamii kukikosoa chama hicho.

China nchi ambayo CCM wanajibaraguza kuwa wanafuata mfano wake, hawazimi mitandao bali huwapa wachina mbadala wa kile wanachozuia wasitumie.

Sasa CCM wanazima TikTok, Whatsapp, YouTube na Twitter bila ya kuwa na mbadala wake.

CCM ijue kuwa haiwezi kushindana kwenye zama hizi za teknolojia janja (Smart technology) kwa kutumia mifumo ya analojia kama vile kuteka au kukamata watu wanaoikosoa mitandaoni.

Jifunzeni imekuwaje No reforms No Election iliishinda Kampeni yenu ya Oktoba tunatiki.
Wewe mjuba bado una maumivu ya uchaguzi wa 2025 ambao mlijiapiza kuwa hautafanyika. Sasa uchaguzi ulifanyika na Rais tunaye. Hizi nyuzi zenu mnazoanzisha kila siku kutaka ku destabilise serikali mnapoteza muda tu.

Jihadhari na maumivu ya kichwa kwa kuwa Samia yupo hadi 2030
 
Ila hawa mapimbi kufunga mitandao ya kijamii halafu wanatumia VPN Kutoa taarifa na habari zao
Sijui huwa na maana gani?

2026 wao wanatumia akili za 1961
Fungeni basi na makampuni ya simu!
 
Ila hawa mapimbi kufunga mitandao ya kijamii halafu wanatumia VPN Kutoa taarifa na habari zao
Sijui huwa na maana gani?

2026 wao wanatumia akili za 1961
Fungeni basi na makampuni ya simu!
Kama wanaingia kwa VPN wewe unapata madhara gani?
 
Kwani VPN wanalipia Tsh ngapi?
Unashindwaje kuwa mtiifu kwa maamuzi yanayofanywa na chama chako?

Wana CCM mlipaswa msitumie kabisa VPN ili kuonesha kuwa kinachofanywa na Serikali yenu ni sahihi!
 
CCM ya kina Wassira bado wapo analogy wanadhani kampeni lazima uzunguke kijiji ukipiga debe kuwakusanya wanakijiji hawaamimi kampeni inaweza kufanywa kwa mitandao.
1768910095384.png

naona trump anafanya kampeni whatsapp
 
Naziona juhudi za CCM kupambana na watu wanaotumia mitandao ya kijamii kukikosoa chama hicho.

China nchi ambayo CCM wanajibaraguza kuwa wanafuata mfano wake, hawazimi mitandao bali huwapa wachina mbadala wa kile wanachozuia wasitumie.

Sasa CCM wanazima TikTok, Whatsapp, YouTube na Twitter bila ya kuwa na mbadala wake.

CCM ijue kuwa haiwezi kushindana kwenye zama hizi za teknolojia janja (Smart technology) kwa kutumia mifumo ya analojia kama vile kuteka au kukamata watu wanaoikosoa mitandaoni.

Jifunzeni imekuwaje No reforms No Election iliishinda Kampeni yenu ya Oktoba tunatiki.
nan anaikosoa ccm amekamatwa
 
hujajibu swali, kufungia mitandao kitu cha kawaida hata marekani na china wanafungia mitandao sana
Marekani hawafungii mitandao hovyo lazima wawe na sababu muhimu sio kufungia ili waue raia wake.

Kwa China sielewi maana wao ni role model wetu na udikteta tumejifunzia kwao.
 
Back
Top Bottom