Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,149
- 48,392
Naziona juhudi za CCM kupambana na watu wanaotumia mitandao ya kijamii kukikosoa chama hicho.
China nchi ambayo CCM wanajibaraguza kuwa wanafuata mfano wake, hawazimi mitandao bali huwapa wachina mbadala wa kile wanachozuia wasitumie.
Sasa CCM wanazima TikTok, Whatsapp, YouTube na Twitter bila ya kuwa na mbadala wake.
CCM ijue kuwa haiwezi kushindana kwenye zama hizi za teknolojia janja (Smart technology) kwa kutumia mifumo ya analojia kama vile kuteka au kukamata watu wanaoikosoa mitandaoni.
Jifunzeni imekuwaje No reforms No Election iliishinda Kampeni yenu ya Oktoba tunatiki.