Goodrich
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 2,091
- 1,179
- Thread starter
- #41
Ccm wanapewa kiburi na wananchi wenyewe, mabaya meng yanaanikwa lakn mwsho wa siku njaa ya wabongo inapelekea kununuliwa kama karanga na kufanywa makuhad wa wasariti, kwa mfano wote wanaotetea serikali mbili na huku wakijua fika si maazimio ya wananchi. Kuna watu wamekubali kurubuniwa kwa vj sent kdgo na ccm ili kutengeza propanga za kuwahadaa wananchi waone mawazo yao hayakuwa sahh. Nchi hii ni ya wananchi lkn ccm wanajifanya wao ndio miungu wa nchi hii na kwamba bila wao nchi haitakwenda kumbe sivyo. Katiba mpya ni muhimu japo hila za ccm zinachelewesha. Wanasema "ngoma ikilia sana mwisho hupasuka" nnacho kiamini pamoja na hila zote za ccm hawana mwendo wa hatua kumi mbele wataumbuka vibaya, kwakua sauti ya wanyonge ni sauti ya Mungu.
Amina !