CCM Hali mbaya, Janja yake Yabainika !

CCM Hali mbaya, Janja yake Yabainika !

Nawashaur Ccm kwa vile hawatak serikal 3 ambazo ndo maon ya wenye nchi .waende ZANZIBAR wafute ile katiba yao ili turudi kama mwanzo ambapo tulikuwa na Nchi moja yaan TANZANIA na serikal mbili, yaan serikal ya JMT na SMZ na hamna kitu kinachoitwa Tanganyika wala Zanzibar.(hayo ndo maboresho ya serikal 2)

ITAKUWA FEDHEHA kubwa sana kama Ukawa watakubal kurud na kujadil Mambo ambayo sis Wananchi hatukuyapendekeza ktk rasimu ya Pili ya Katiba.
 
Kuna vitu viwili ambavyo ni sahihi na ccm wanaviogopa sana ; Serikali moja na serikali tatu
1. Serikali moja - ilikuwa muafaka sana. Ila wanaiogopa Zanzibar.
2. Serikali tatu - wanaogopa kuondoa dhana ya chama kushika hatamu.

Hali hiyo imewafanya wapiganie serikali mbili ambazo sio sahihi kwa kuwa Tanganyika inapoteza utaifa wake

Na ndio ukweli wenyewe !!!
 
Mtaishi katika uongo hadi lini?
ccm imemsomesha nani ?
...Watu wanasoma kwa jitihada zao bwana !

Wanasema maneno ya kukaririshwa tu. Eti ccm imetusomesha. Ni dhahiri namna gani serikali ya ccm imetengeneza kundi la watu wasio na uwezo wa kufikiri, kuchanganua wala kujenga hoja zenye mantiki. Atuambie ni budget gani ya ccm imesomesha watu na ni wangapi tangu 1977?
 
ccm imesomesha wajinga tu kama kina nape, ila tuliosomeshwa na baba zetu hatuwez tetea ujinga kwa sabab hatuna nadhiri. nikumbushen hivi ni nan yule aliyetoroka monduli kwa sabab ya usnitch
 
...na wanaotakiwa kurudi BMK ni ccm na sio UKAWA.
Mpaka sasa hakuna BMK, kuna vikao vya kujadili katiba ya ccm

Kweli kabisa !
...yaani sasa wanawashawishi UKAWA warudi kujadili Katiba ya ccm
 
Mkuu, tujaribu kujiuliza kwa nini Rais aliamua kuelemea upande wa chama chake na kuwaacha wananchi wengi wengine? Pale BMK alikuwa mgeni rasmi kama Rais wa nchi hivo alikuwa akitoa maagizo kwa wanachama wake kusimamia msimamo wa chama chake. Rais angejitambua pale alikuwa kama mkuu wa nchi na kutoonesha HAMASA ya chama chake basi wabunge wa chama chake (sio wote) tungewalaumu kwa kuegemea maslahi ya chama.

Ndugu yangu maji yalizidi unga.Alishindwa kuchanganya za kwake na za kuambiwa,akaamua kutumia za kuambiwa tu.............Ila kwa kweli RAIS hatuna hilo tulijuwe tusubiri 2015 tumuombe Mungu ili tupate RAIS BORA na si BORA rais.
 
Mimi ugomvi wangu na baadhi ya wanachama changu ni kutetea maoni ya wananchi.serikali 3 haziepukiki.
 
ccm imesomesha wajinga tu kama kina nape, ila tuliosomeshwa na baba zetu hatuwez tetea ujinga kwa sabab hatuna nadhiri. nikumbushen hivi ni nan yule aliyetoroka monduli kwa sabab ya usnitch

si rubani wa kipepeo
 
Wengine wamehoji itakuwaje Rais wa Muungano akiwa Mzanzibari, maana Zanzibar itakuwa na Marais wawili, na Tanganyika itakuwa haina Rais hasa ikizingatiwa kuwa nafasi za umakamu hazina nguvu yoyote kikatiba wala kisheria.

NB
Tujadili bila kuweka ushabiki wala itikadi.
Hili ni suala la kitaifa.

Hapo ndio itakuwa issue !
Tuombee wazanzibari wawe wapole.
Maana Rais wa Jamhuri Karume, Rais wa Zanzibar Nahodha.
Tanganyika itakuwa mtoto wa kambo !
Na hapo ndio ccm watamkumbuka Warioba.
 
Ndugu yangu maji yalizidi unga.Alishindwa kuchanganya za kwake na za kuambiwa,akaamua kutumia za kuambiwa tu.............Ila kwa kweli RAIS hatuna hilo tulijuwe tusubiri 2015 tumuombe Mungu ili tupate RAIS BORA na si BORA rais.
Umenena kweli mkuu, sijui wananchi wengine hasa wa vijijini wanalifahamu hili!
 
Nawashaur Ccm kwa vile hawatak serikal 3 ambazo ndo maon ya wenye nchi .waende ZANZIBAR wafute ile katiba yao ili turudi kama mwanzo ambapo tulikuwa na Nchi moja yaan TANZANIA na serikal mbili, yaan serikal ya JMT na SMZ na hamna kitu kinachoitwa Tanganyika wala Zanzibar.(hayo ndo maboresho ya serikal 2)

ITAKUWA FEDHEHA kubwa sana kama Ukawa watakubal kurud na kujadil Mambo ambayo sis Wananchi hatukuyapendekeza ktk rasimu ya Pili ya Katiba.
Upo sawa mkuu lakini huwezi kuwa na SMZ bila kuwa na Zanzibar. Hili ndilo kosa waasisi wa muungano huu walilifanya na sasa ni jukumu letu kulirekebisha. Cha ajabu wapenda vurugu hawataki!!!!!!!!!!!
 
nilisha wahi kusema ikiwa wazo lakatiba litashindwa Dr Kikwete anawashauri na hao ndio watabeba mzigo sasa moto utanuwakia ikiwa alishauriwa ila yeye akadharau nasasa yanamtokea puani kuna siri huyu big boss nimjuwaji sasa imekula kwake
 
Umenena kweli mkuu, sijui wananchi wengine hasa wa vijijini wanalifahamu hili!

Kaka siyo wa VIJIJINI hata sisi wa MJINI pia tupo kama hatuelewi somo.Na hasa ukiwa chama chetu hiki ndiyo kabisa na akili inakuwa imeondoka.
 
na mtanganyika yeyote anayependa serikal mbili ni mjing a
Inategemea wewe una maana gani unaposema mjing a! Kwa mtazamo wangu wote wanaopenda serikali mbili ni werevu sana kwa sababu wanalinda mfumo unaowahakikshia usalama wao.
 
Kaka siyo wa VIJIJINI hata sisi wa MJINI pia tupo kama hatuelewi somo.Na hasa ukiwa chama chetu hiki ndiyo kabisa na akili inakuwa imeondoka.
Inasikitisha mno, tena utawakuta vijana na wasomi pia.
 
Kufunguka kwa wananchi ni jambo zuri sasa uwezo wa waTZ kufikiri na kuchanganua mambo umeongezeka na kwenye ile chati ya dunia tutapanda ngazi mbili au tatu hivi kama FIFA walivyoipandisha TFF.

Mikwara yote ya CCM ni namna ya kutunza kitumbua chao na vinginevyo. Rasimu imekaa vyema kabisa kumweka kila mwananchi katika hali ya uwajibikaji kwa nafasi aliyomo kuanzia mkuu wa nchi hadi chini. Kwa CCM hilo ni pigo na wakaona mchepuko ndio njia mbadala wakati ngonjera za kila siku zinaimba mchepuko sio dili kwani madhara yake ni makubwa sana.
 
Inasikitisha mno, tena utawakuta vijana na wasomi pia.

Hivi Tanzania yetu inawasomi au waganga NJAA?Wale wote tunaodhani ni wasomi n ambao wapo Serikali tuliofikiri kwa kuteuliwa kwao kutaleta mabadiliko ndani ya serikali,badala yake ni madudu zaidi yanayoendelea,sasa sijui hawa walisoma ili kufuta ujinga na kujua kusoma ,kuhesabu na kuandika tu?Ni aibu kaka nafuu kuwa wa kawaida tu na veytu vyako vichache kuliko kuwa PHD lakini kila wakati unakuwa wakusogezwa na mwanasiasa,akikohoa unakimbilia kuuliza nini MKUU badala ya kumkimbiza mwanasiasa ili MSOMI anappkohoa MWANASIASA aje mbio kuuliza kama amekosea lakini inakuwa tofauti.

Zaidi ya 200 bn zinatolewa professor anatetea anaona sawa na anatukana ili kufanya UWONGO kuwa kweli,mwisho wa siku unawaambiwa wenzako hwana akili wakati tulio nje na mabo shule hatujaenda tunajiuliza kama shule yake lengo lilikuwa kufuta ujinga tu?

Hivyo kaka yangu hawa wasomi wetu wajiangalia upya vinginevyo thamani na heshima yao kama wasomi imekwisha
 
Back
Top Bottom