CCM Hali mbaya, Janja yake Yabainika !

CCM Hali mbaya, Janja yake Yabainika !

Kuna hatari ya taifa kugawanyika vipande vikuu viwili.Tayari taasisi za kidini hasa Roman catholic wamebaini makosa yao ya awali. wiki jana tumeshuhudia U-TURN kali kutoka TEC baada ya kutoka sauti ya individual bishops wakilaumu ukawa bila kujua kuwa ukawa ni wananchi.
mkuu fuatilia maneno halis ya askof sio taarifa zilizopikwa. Hakuna makosa ila upotoshwaji wa taarifa
 
Kuna hatari ya taifa kugawanyika vipande vikuu viwili.Tayari taasisi za kidini hasa Roman catholic wamebaini makosa yao ya awali. wiki jana tumeshuhudia U-TURN kali kutoka TEC baada ya kutoka sauti ya individual bishops wakilaumu ukawa bila kujua kuwa ukawa ni wananchi.

Sio kosa lako,ulisoma magazeti ya kufungia vitumbua.Kanisa katoliki halijatoa matamko mawili tofauti, ila magazeti ndio yaliposha.
 
Kwa tathimini yangu ndogo kadiri ccm walivyojitahidi kutumia nguvu kutangaza rasimu yao ya serikali 2 ndivyo walivyowafanya watu wengi waelelewe zaidi hila zao na hivyo kuwafanya watu wengi waielewe zaidi rasimu yao ya serikali3, shida ccm kwa sababu ya utawala wao mbovu kwa miaka 50 sasa kila wazo jema waliogopa there too conscious! maana kipimo chao ni maovu yao mwisho wao umefika!
 
[Q UOTE=Bobwe2;10012783]Serekali 3 ni kifo kwa ccn.[/QUOTE]
Ndio maana inapingwa!!
 
Hali ni mbaya upande wa ccm baada ya hila zake za kuchakachua rasimu ya katiba iliyowasiliswa na Tume ya Jaji Joseph Warioba kubainika.

Imebainika kwamba kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko ya katiba, 2012, waliojitoa kwenye bunge maalumu la katiba ni ccm.

Kujitoa kwa ccm kisheria kunatokana na uamuzi wao wa kuachana na rasimu iliyowasilishwa na Tume na kuamua kujadili rasimu iliyowasilishwa na kikundi fulani cha ccm kinyume cha sheria ya mabadiliko ya katiba.

Aidha kauli za baadhi ya makada wa ccm ambao wameonyesha kukerwa na hila hizi na kuweka wazi kuwa itakuwa ngumu katiba kupatikana bila UKAWA, kauli ya msajili kuwataka ccm warejee kwenye rasimu ya warioba, na ukimya wa walioandaa rasimu ya ccm vinaashiria hali ni mbaya ndani ya ccm.

Hivi sasa kuna mnyukano ndani ya ccm ambapo wakongwe wanadai hakukuwa na haja ya kuigharimu nchi kwa kuanzisha mchakato wa katiba na mwisho wa siku kuyakataa maoni ya wananchi.

NB
Tujadili bila kuweka ushabiki wala itikadi.
Hili ni suala la kitaifa.

... ninawashangaa wabunge wanaotoka makundi mengine kwa kukaa kujadili katiba ya ccm badala ya kujadili katiba ya Tanzania !
 
Wanabodi

Naleta mada tofauti kidogo
Baada ya kuonekana CCM wanajadili kitu tofauti na rasmu iliyoewasilishwa sasa ni muda muafaka wana CDM,CUF and NCCRE pia na washiriuka wao wa karibu kukutana kwa dharura kuijadili rasmu ya katiba mpya mahala popote kwa wiki 2 mfululizo huku wakilipia airtime ya TV kwa ajili hiyo; watafutwe wadau wa maendeleo ya maendeleo ili kusudi hoja zilizopo ktk rasmu ya jaji warioba zijadiliwe bila uwepo wa ccm na hili lifanyike kabla ya bunge maalum ya katiba; hii itaongeza zaidi uelewa wa wananchi ktk maswala ya katiba na kuelewa ni jinsi ngani Ukawa wanatetea rasmu ambayo waliiunda wao wenyewe; hii itakuwa pigo la mwisho kwa ccm maana baada ya hapo hawatakuwa na namna zaidi ya kuhakikisha wanajadili kilichoandikwa au wanajitoa kwa mantiki ile ile ya kutoenda ktk bunge maalum. Ktk bunge hili jipya basi lijiendendeshe kama bunge maalum kivuli ili wakati wa kura za maoni iwe rahisi kupata kura za wapenda haki na maendeleo wa nchi hii; hili pendekezo naoma lifanyiwe kazi na wadau wa maendeleo na ijulikane hili linaruhusiwa kisheria na kiutaratibu hivyo mhimu Ukawa wakaliona maana kinachofanywa na ccm ni k uongeza coverage ya maoni yao potofu kabisa katika wana wa nchi hii ya maziwa na asali yaani Tanzania
 
Wakuu, Katipa mpya haikuwa ajenda ya CCM kabisa na hata kwenye ilani yao ya 2010 hakukuwa na hata ka-harufu ya kuitaja taja, ni JK tu alifikiri angeweza kuwapatia wananchi zawadi nzuri ili hata kizazi kijacho kikumbuke uongozi wake.

Nia ya JK ilikuwa njema hadi tunapata ile rasimu ya pili - Matatizo makubwa yameanzia pale kwenye ule uzinduzi wa Bunge lenyewe la Katiba!! hapo CCM ndipo ikamwonyesha makucha yake!!

Ki Sheria JK anaweza kabisa kunusuru mchakato huu hata leo, lakini Je CCM watakubali hizo Serikali 3 wakati wao walimkabidhi 2 ??

Jibu: Hakuna katiba, tuuguze majeraha ya matumizi ya mabillion ya pesa sambamba na muda wetu kwenye mchakato huu, tufanye viraka kidogo kwenye katiba yetu ya sasa then twende kazi 2015.
 
Ccm wanapewa kiburi na wananchi wenyewe, mabaya meng yanaanikwa lakn mwsho wa siku njaa ya wabongo inapelekea kununuliwa kama karanga na kufanywa makuhad wa wasariti, kwa mfano wote wanaotetea serikali mbili na huku wakijua fika si maazimio ya wananchi. Kuna watu wamekubali kurubuniwa kwa vj sent kdgo na ccm ili kutengeza propanga za kuwahadaa wananchi waone mawazo yao hayakuwa sahh. Nchi hii ni ya wananchi lkn ccm wanajifanya wao ndio miungu wa nchi hii na kwamba bila wao nchi haitakwenda kumbe sivyo. Katiba mpya ni muhimu japo hila za ccm zinachelewesha. Wanasema "ngoma ikilia sana mwisho hupasuka" nnacho kiamini pamoja na hila zote za ccm hawana mwendo wa hatua kumi mbele wataumbuka vibaya, kwakua sauti ya wanyonge ni sauti ya Mungu.
 
Wanabodi

Naleta mada tofauti kidogo
Baada ya kuonekana CCM wanajadili kitu tofauti na rasmu iliyoewasilishwa sasa ni muda muafaka wana CDM,CUF and NCCRE pia na washiriuka wao wa karibu kukutana kwa dharura kuijadili rasmu ya katiba mpya mahala popote kwa wiki 2 mfululizo huku wakilipia airtime ya TV kwa ajili hiyo; watafutwe wadau wa maendeleo ya maendeleo ili kusudi hoja zilizopo ktk rasmu ya jaji warioba zijadiliwe bila uwepo wa ccm na hili lifanyike kabla ya bunge maalum ya katiba; hii itaongeza zaidi uelewa wa wananchi ktk maswala ya katiba na kuelewa ni jinsi ngani Ukawa wanatetea rasmu ambayo waliiunda wao wenyewe; hii itakuwa pigo la mwisho kwa ccm maana baada ya hapo hawatakuwa na namna zaidi ya kuhakikisha wanajadili kilichoandikwa au wanajitoa kwa mantiki ile ile ya kutoenda ktk bunge maalum. Ktk bunge hili jipya basi lijiendendeshe kama bunge maalum kivuli ili wakati wa kura za maoni iwe rahisi kupata kura za wapenda haki na maendeleo wa nchi hii; hili pendekezo naoma lifanyiwe kazi na wadau wa maendeleo na ijulikane hili linaruhusiwa kisheria na kiutaratibu hivyo mhimu Ukawa wakaliona maana kinachofanywa na ccm ni k uongeza coverage ya maoni yao potofu kabisa katika wana wa nchi hii ya maziwa na asali yaani Tanzania

Hilo ni jambo la muhimu sana !
 
Back
Top Bottom