Hivi Tanzania yetu inawasomi au waganga NJAA?Wale wote tunaodhani ni wasomi n ambao wapo Serikali tuliofikiri kwa kuteuliwa kwao kutaleta mabadiliko ndani ya serikali,badala yake ni madudu zaidi yanayoendelea,sasa sijui hawa walisoma ili kufuta ujinga na kujua kusoma ,kuhesabu na kuandika tu?Ni aibu kaka nafuu kuwa wa kawaida tu na veytu vyako vichache kuliko kuwa PHD lakini kila wakati unakuwa wakusogezwa na mwanasiasa,akikohoa unakimbilia kuuliza nini MKUU badala ya kumkimbiza mwanasiasa ili MSOMI anappkohoa MWANASIASA aje mbio kuuliza kama amekosea lakini inakuwa tofauti.
Zaidi ya 200 bn zinatolewa professor anatetea anaona sawa na anatukana ili kufanya UWONGO kuwa kweli,mwisho wa siku unawaambiwa wenzako hwana akili wakati tulio nje na mabo shule hatujaenda tunajiuliza kama shule yake lengo lilikuwa kufuta ujinga tu?
Hivyo kaka yangu hawa wasomi wetu wajiangalia upya vinginevyo thamani na heshima yao kama wasomi imekwisha