Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,929
- 828,574
Huko serikalini kuna mvutano mkubwa kati ya serikali kwa upande mmoja na IGP. Mzigo anataka kutupiwa IGP kuwa ndiye mhusika mkuu wa madhila yote hayo. Wanagombana wao kwa wao kuhusu hayo mauaji. Kikwete ndiyo amepotea kabisa, hataki kujumuishwa kwenye lolote, ICC inanukia, travel bans na vikwazo vitaanza kuuma muda si mrefu.