Hawafiki hata laki sabaHizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
Hizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
Waliposema wana wanachama milioni kumi na tatu ilikuwa ni maandalizi ya kisaikolojia ili kura ziibwe.Stay alerted!Hizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
Sana sana kamanda..hii miezi miwili itakua michungu sana kwaoNo reform No Election imefanikiwa sana
Ni mwanzo mzuri kwa watanzania kuamka.Kipimo cha CCM ni kampeni za wabunge hazina watu kabisa
Rostam Azizi press conference yako imepuuzwa, nobody is interested in it/discussing it
Duh ile unaiita press conference kweli? Hivi hizi akili ndo mtaweza pambana na CCM kweli? Duh!!! whatever, take home msg ni hiyo!www.jamiiforums.com
Hizo takwimu ni uchakachuaji wa taarifa za NIDA, hawakujua wataumbukaHizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
HeheheHizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
Gentleman hii idadi ndio mliipanga kwenye vikao vyenu vya Siri? Inaendana sana n tume ya uchaguzihuenda wapiga kura zaidi ya milioni 31 wakampigia kura Dr.Samia Suluhu Hassan oct.29,2025.🐒