CCM haina wanachama milioni 13

CCM haina wanachama milioni 13

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,155
Reaction score
48,399
Hizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.

Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.

Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
 
Kipimo cha CCM ni kampeni za wabunge hazina watu kabisa
 
Hizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.

Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.

Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
Mkuu hapo ulipo inawezekana we mwenyewe ni mwanachama wa CCM lkn hujijui na umeshapiga kura ya ndio inasubiri kuingia kwenye box!!
 
Pilipili ya shamba yawawashia nini (*2) Twanga pepeta internationale
 
Hizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.

Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.

Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
watu kwa maelfu na mamilioni yao,
wataendelea kujikusanya kadiri inavyowezekana kumpokea, kumuona na kumsikiliza kipenzi chao Dr Samia Suluhu Hassan,
na hatimae Oct 29,2025 ni kutiki tu ✔️

porojo na nonsense zingine ni useless tu 🐒
 
CCM ina wanachama 15ml.+,Waliotawanyika kila pembe ya nchi, ambao wangeitaji kuhudhuria mikutano lakini usafiri unawakwaza hivyo chama huwasaidia kufika kwenye mikutano! CDM, ina wapiga dili wa mijini WALIOVURUGWA!
 
Hizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.

Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.

Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni ishara kuwa CCM ilitoa takwimu za uongo kuwa chama chao kina wanachama milioni 13.
Hio beba beba uwanja unapojaa ndio justification ya hao wanachama m13 lakini kiu halisia hawapo
 
watu kwa maelfu na mamilioni yao,
wataendelea kujikusanya kadiri inavyowezekana kumpokea, kumuona na kumsikiliza kipenzi chao Dr Samia Suluhu Hassan,
na hatimae Oct 29,2025 ni kutiki tu ✔️

porojo na nonsense zingine ni useless tu 🐒
Umechagua kazi ngumu sana kuitetea Ccm ya Sasa ya akina Abdul
 
Gentleman,
wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu, kazi hii hua ni ya kizalendo na haichoshi kwasabb kuna Neema na Baraka za Mungu ndani yake 🐒
 
Back
Top Bottom