Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,083
- 8,222
Lilishamwangusha, Lowassa alikuwa anamtunishia jamaa akiamini yeye ndiye alimweka ikulu. Sasa hawa wamemwangusha nini Mama? Hivi kuna mtu mtiifu kwa mamlaka kama Majaliwa kwa sasa, kumuondoa Majaliwa ni kumuonea na kuleta taharuki kubwa kwenye chama. Pamoja na mapungufu yake mengine mtu mwingine mtiifu sana kwa mamlaka ni Mwigulu, kumtoa huyo utaonekana una matatizo wewe mtumbuaji.No problem aendelee nao tu, Kikwete hakuwa mjinga kumuondoa Lowassa na baraza lake alipoona litamwangusha.
Thubutu!!!! 😅😅😅😅😅Hilo gazeti litafungiwa?
Hawajui CCM ni taasisi siyo individuals kama ilivyo kwingineAcheni ramli chonganishi, CCM huwa wanajua kushughulikia mambo yao ya ndani kwa weledi mkubwa! Kuna migogoro ilishaibuka huko mikubwa mnoo, ikatulizwa, mojawapo ni ule mgogoro wa 2015 ambao mwishowe waliwatupia takataka lao huko kwenu mkalimeza mazima, likawamaliza nyinyi. Hamna mgogoro CCM kwa sasa.
Taasisi au ni dola ya polisi?Hawajui CCM ni taasisi siyo individuals kama ilivyo kwingine
Tafsiri ya dola ni ipi? Na yenyewe ni sehemu ya taasisi. Umeridhika sasa?Taasisi au ni dola ya polisi?
Mkuu ajiandae kisaikolojia kivipi? Mitano tena ama!Huu mnyukano ni mkali sana. Mama awe makini sana ndani ya chama hawamtaki 2025. Ajiandaee kisaikolojia.
Mkuu ajiandae kisaikolojia kivipi? Mitano tena ama!!!!!!Huu mnyukano ni mkali sana. Mama awe makini sana ndani ya chama hawamtaki 2025. Ajiandaee kisaikolojia.
Mkuu Waterloo unaposema imeandikwa "makusudi kabisa" ina maana KUSUDI lake nini?Imeandikwa makusudi kabisa.
Mkuu Ame Tafsiri yako ya neno "dola" kama ulivyoelezea hapa naona ungetudandavulia vizuri maana humu wengine tunapata elimu piaTafsiri ya dola ni ipi? Na yenyewe ni sehemu ya taasisi...Umeridhika sasa?
Mkuu gazeti limeandika kwamba mama hana wazo la kugombea! Hii haina maana hawezi kugombea, ila kwa sasa kutokana na majukumu mengi aliyonayo kwa nchi na muda bado sana ndio maana hajatamka kuhusu mitano tena.Gazeti pendwa la Uhuru leo limeidhinisha rasmi kuwa Mama wa Zenji 2025 agombei tena
View attachment 1888171
Mkuu umenikumbusha mbaliUsiwaamini ccm hata nukta.Bashiru na gwajima walisema vyeo vile vinawatosha
..alikuwa na nia nzuri ya kurudisha haki na utu miongoni mwa Watanzania.alisema au hakusema. hatutaki agombee. she is not a presidential material. aliuokota tu ndomana hana plan wala vision anapuyanga tu.
na hii ikawe fundisho kwa yeyote anaepata kuwa rais ahakikishe anateua the right person for the vp position.