Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,840
Tanga mna mahaba mazuri sn na CCMMichango ipo sana,,tena sana ,,,
kila siku ya MUNGU lazima mtoto umpe 800 shilling wanasema ya kula chakula mchana,,,
Kama mtoto hana pesa za ubwabwa anarudishwa nyumbani,,, hizo ni taarifa toka shule za tanga mjini..
Msambweni sec school iliyopo Tanga mjini,,,,watoto wasiokuwa na 800 za ubwabwa wanarudishwa nyumbani kila siku.
Hivi kweli mtoto akose elimu kisa tamaa za walimu?
Kama ni kwl michango mashuleni hakuna na imefutwa na serikali hii michango ya nn?
hivi mtoto kula mchana ubwabwa wa shule ni lazima?
Kama sio mradi wa walimu ni kitu gani?
Kitambulisho cha mmachinga kukopea BankBima ya afya bure kwa kila mtanzania wapi????
Wewe unatakiwa kupimwa mkojo probably unatumia Ngada!Walimu wanaingiaje hapo?wasitii mamlaka toka juu??Michango ipo sana,,tena sana ,,,
kila siku ya MUNGU lazima mtoto umpe 800 shilling wanasema ya kula chakula mchana,,,
Kama mtoto hana pesa za ubwabwa anarudishwa nyumbani,,, hizo ni taarifa toka shule za tanga mjini..
Msambweni sec school iliyopo Tanga mjini,,,,watoto wasiokuwa na 800 za ubwabwa wanarudishwa nyumbani kila siku.
Hivi kweli mtoto akose elimu kisa tamaa za walimu?
Kama ni kwl michango mashuleni hakuna na imefutwa na serikali hii michango ya nn?
hivi mtoto kula mchana ubwabwa wa shule ni lazima?
Kama sio mradi wa walimu ni kitu gani?
Pole sana mkuu. Umeandika kwa uchungu mpaka nimemkumbuka hayati Mh. F. Kabuye.Michango ipo sana,,tena sana ,,,
kila siku ya MUNGU lazima mtoto umpe 800 shilling wanasema ya kula chakula mchana,,,
Kama mtoto hana pesa za ubwabwa anarudishwa nyumbani,,, hizo ni taarifa toka shule za tanga mjini..
Msambweni sec school iliyopo Tanga mjini,,,,watoto wasiokuwa na 800 za ubwabwa wanarudishwa nyumbani kila siku.
Hivi kweli mtoto akose elimu kisa tamaa za walimu?
Kama ni kwl michango mashuleni hakuna na imefutwa na serikali hii michango ya nn?
hivi mtoto kula mchana ubwabwa wa shule ni lazima?
Kama sio mradi wa walimu ni kitu gani?
Hivi hawa watoto wametenda dhambi gani kustahilii hiyo adhabu!!?
chief unachanganya madesa. Hii ni Chadema sema mkulu kachomekea kwenye campaign zake. I'm kidding lkn. don't take me SERIOUSBima ya afya bure kwa kila mtanzania wapi????
kama hujui hata elimu bure ilianzia kwa wapinzani,chief unachanganya madesa. Hii ni Chadema sema mkulu kachomekea kwenye campaign zake. I'm kidding lkn. don't take me SERIOUS
Zilongwa mbali zitendwa mbaliKwahiyo ulitaka mtoto wako akakae kwenye nini kama hujapeleka dawati ila nakushauri kama unaona kazi kwenda na dawati mpeleke shule za private kule hawaendi na madawati.
Mmeishiwa , kwasasa mpo kishabiki ili watoto waweze kufrush vyooKwani wakati mnawakataa hamkujua kitakachofuata?
Upumbavu kweli ni mzigo, haujifichi.Kwahiyo ulitaka mtoto wako akakae kwenye nini kama hujapeleka dawati ila nakushauri kama unaona kazi kwenda na dawati mpeleke shule za private kule hawaendi na madawati.
Unatetea Nini hapo,Umeombwa kuchangia dawati unasema michango mingi bora ungelipa ada.
Haya tutajie na michango mingine uliyoambiwa na kiasi gani kwa kila item.
Sio unakuja kudanganya watu hapa.
Hatari sanaPole sana mkuu. Umeandika kwa uchungu mpaka nimemkumbuka hayati Mh. F. Kabuye.
Sidhani kama serikali ndy walibuni mambo ya ubwabwa mashuleni,,Wewe unatakiwa kupimwa mkojo probably unatumia Ngada!Walimu wanaingiaje hapo?wasitii mamlaka toka juu??
Duu!! Aisee!!Tanga mna mahaba mazuri sn na CCM
Haha kubwa unaiacha inapanda kichwani na ubongo unaunya.Yaani upinzani mtanyooka,kama hutaki kuchangia michango kaa naa mtoto wako nyumbani shida iko wapi?
Majuha bwana hivi cdm mbona mlikuwa mnachangiwa kufanya shughuli zenu sasa iweje mzuie watu wasichangie elimu?
Cdm kuchangiwa sawa ila elimu kuchangia kosa midomo juu!!
Wewe upimwe na mavi,Wewe unatakiwa kupimwa mkojo probably unatumia Ngada!Walimu wanaingiaje hapo?wasitii mamlaka toka juu??